3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,019
mbona ungepita kimya kama unanipuuza umequote nini sasa kwi kwi kwiNilivyoona source ya tweet zako imebidi nikupuuze
mbona ungepita kimya kama unanipuuza umequote nini sasa kwi kwi kwiNilivyoona source ya tweet zako imebidi nikupuuze
Hahahaha.Haha Warussi wa JF sasa havi wanajivunia uharibifu wa miuondombinu na makazi ya watu kuwa ndiyo ushindi [emoji3]
Umebarikiwa wewe mwenye akili🙏🙏🙏🙏Mwanangu nasikitika kukwambia ivi wewe huna akili kabisa yaani ji sawa na empty set
Urusi kwisha..anatafuta pa kutokea.Waende tu kweli Russia tishio aseee mataifa 30+ vs Russia wakiongozwa na baba yao USA bado hawafurukuti kwa mrussi.
Hii hadithi yako nzuri..The United States is forcing Europe to impose sanctions against Moscow, while they themselves are increasing imports of Russian oil and fertilizers.
Mikhail Popov, Deputy Secretary of the Security Council of Russia, spoke about this in an interview with Komsomolskaya Pravda.
According to him, the United States not only continues to import from Russia, but also increased it. Over the past week alone, the volume of oil supplies increased by 43%.
In addition, Washington "allowed its companies to export mineral fertilizers from Russia, recognizing them as essential goods."
"But Washington does not allow the Europeans to take similar measures yet," Popov stressed.
Tunachojua kuna mtu kamezeshwa ndoano imekwama kooni,ameamua kuretreat.Special operation imeota matendeUkraine na NATO wa bongo wanajivunia Nini?! Maana Ukraine imeshagawanywa Tena na muda siyo mrefu Ukraine it's kuwa nchi kasoro bahari
Mrussi wa kolomije huyo Mkuu,ana hasira kama za Baba yake Putin kwa sasa [emoji1787]mbona ungepita kimya kama unanipuuza umequote nini sasa kwi kwi kwi
Umemaliza kila kitu.Putin amejifunza kwa wenzake wengi waliomtangulia, sio rahisi wenzake kumuondoa. Anaijua vizuri na ameiweka FSB mfukoni kwake, ameweza kuitumia vizuri kisiasia kujiimarisha, kuwaweka wanasiasa wengine ambao wangeweza kumpa challenges na Oligarchs kwenye himaya yake.
Alipomuachia Medvedev Urais mwaka 2008 hadi 2012 bado yeye alibaki na nguvu zote za kuindesha Russia akiwa waziri mkuu!
Putin hafiki hata nusu ya uwezo wa Lavrentiy Beria aliyedumu kama Chief wa NKVD kwa miaka 15 na muasisi wa gurags, kabla ya hapo alikuwa senior officer kwenye Cheka na OGPU. Huwezi linganisha changamoto za Cheka au NKVD na changamoto za FSB aliyoongoza Putin. Beria alikuwa na roho mbaya na aliua millions of people pamoja na hayo alikuwa na akili sana. Ndio kashiriki the Great purges na alikuwa anatoa order za kuua yeye, forced labour kwenye gurags ndio alisimamia, ndio waasisi wa purges hao, hawa kina Putin walijifunza na kuwasoma.
Beria alikuwepo wakati mkuu wa NKVD muuaji Genrikh Yagoda anauwawa na yeye akatoka kuwa deputy na kuwa chief. Mtu aliyeishi miaka zaidi ya 25 na Stalin (nadhani unajua Stalin aliuwa wangapi tena walio karibu yake) kipindi cha kupambana kuishika USSR, WW2 mpaka Cold War. Wakaiba blueprints za nuclear warhead kutoka Marekani, mpaka akawa mtu wa kwanza kuitwa Stalin alipodondoka kabla ya kufa, mtu aliyeifunga Moscow kwenye msiba wa Stalin akafukuza wanajeshi wote akaleta NKVD ndio walinde ili wakimaliza msiba awateke politburo wenzake aongoze nchi, mtu aliyekuwa na mafaili ya kila mtu pale kwenye Presidium ya USSR huwezi nishawishi ana uwezo sawa na Putin hata siku moja.
Pamoja na hayo yote ila Beria aliuwawa kwa mipango iliyosukwa na Nikita Khrushchev asiye na elimu kubwa wala background ya maana tena akiwa position isiyo na maamuzi sana. Sasa unasemaje Putin hawezekani
Hakuna achievements ngumu za Putin ambaye alikuwa Director nchi ishatulia wahuni wameisha na Cold war imeisha. Hiki kitu Russia wamezoea, sio utamaduni wao eti mkuu wa nchi kastaafu kwa hiari. Medvedev tu ndio alikuwa kibaraka pale akastaafu
The Sleeping JoeMtizame anavyosinzia View attachment 2174818
The United States is forcing Europe to impose sanctions against Moscow, while they themselves are increasing imports of Russian oil and fertilizers.
Mikhail Popov, Deputy Secretary of the Security Council of Russia, spoke about this in an interview with Komsomolskaya Pravda.
According to him, the United States not only continues to import from Russia, but also increased it. Over the past week alone, the volume of oil supplies increased by 43%.
In addition, Washington "allowed its companies to export mineral fertilizers from Russia, recognizing them as essential goods."
"But Washington does not allow the Europeans to take similar measures yet," Popov stressed.
Ni kama Belarus ilivyo koloni la Urusi.Polish Deputy Prime Minister Jarosław Kaczynski says his country is open to hosting US nuclear weapons.
Poland imekuwa koloni la USA tayari.View attachment 2174918
Hao ni experts wa mchongo, kila nchi ijikite katika mipaka yake, na siyo kupangia nchi nyingine cha kufanya. Kwa tabia za Urusi, kumwekea nukes mlangoni ndicho pekee kitakachompa adabu nzuri. Wala US wasichelewe kutuma mzigo wa kutosha.Poland allowed the deployment of American nuclear weapons to "intimidate" Moscow. Russia has repeatedly opposed the location of the US nuclear arsenal in Europe. Experts believe that Warsaw is not aware of the possible consequences of such a policy
https://t.co/6R39JLxW2C https://t.co/rc5YKuytXAView attachment 2174917