Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Red Star basketball players refused to participate in the Euroleague campaign in support of Ukraine

🏀 Before the away match with Zalgiris, the teams had to raise a large banner in the colors of the Ukrainian flag with the inscription Stop war.

However, the players of the Serbian team did not do this.

As a result, Lithuanian fans booed them.
Galip SV
20220403_065911.png
 
Mwambie na pale Russia walipokataa kuwa has at a is ham ilia Ukraine badala yake Yale yalikuwa ni mazoezi tu ,aliwaamini ?
Na je anapata wapi uhalali wa kuwaamini ikiwa walishawahi kudanganya mwanzo!?
Ile ni mbinu ya kivita, ndio maana mpaka leo sio Marekani ama NATO anayejua mipango na mikakati ya Urussi ndani ya Ukrane.

Juzi tu Ufaransa wamemfukuza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa kushindwa kubaini mapema malengo na Mikakati ya Urusi Ukrane.
 
Refers to Vietnam war or Afghanistan war!
Huko tayari hakuna hata majeshi ya US na walau mabomu yale yalokua ynapigwa na US hayapo tena
Kuhusiana na UKRAINE bado kabisa MKUU ni ishu tofauti
Pia hayo mataifa uloyataja ukiachana na uharibifu wiundo mbinu namauaji nk yapo kama yalivyo ila UKRAINE ilimegwa 2014 inamegwa ama tayari ishamegwa 2022 kiufupi hizo nchi mbili ulozitaja zilipitia magumu ila walau ziliachwa kama zilivyoingiliwa
UKRAINE imemegwa imevunjwa vunjwa haipo kama ile ya mwezi mmoja nasiku kumi kabla ya hii OP na pia mpaka muda huu bado kuna majeshi ya RUSSIA injini mwake namapigano yanaendelea
UKRAINE ishagawanywa sidhanii kama hii OP ikimalizika UKRAINE inaweza kua na ukubwa wakimipaka kama ilokua nao mwanzo DON BAS kule imeshaenda ODESA ile nayo haitasalimika
Mwisho kabisa RUSSIA ile miko na majimbo waloikamata nakama wataibeba jumla jumla UKRAINE itakua kama morogoro haina bahari hapa itakua inaitegemea RUSSIA kwenye uwanda wa bahari kwa %100
Hii vita mnatamani kusema RUSSIA kapoteza ila ukiuangalia uhalisia wamambo huko field UKRAINE bora asingepiganwa hii VITA
 
Red Star basketball players refused to participate in the Euroleague campaign in support of Ukraine

🏀 Before the away match with Zalgiris, the teams had to raise a large banner in the colors of the Ukrainian flag with the inscription Stop war.

However, the players of the Serbian team did not do this.

As a result, Lithuanian fans booed them.
Galip SV
Walishindwa Zalgiris vs Crvena Zvezda Red Star free live score and video stream(2022/04/03 23:59) - AiScore Basketball LiveScore.
Zalgiris iliwashinda.
 
Ilhali mnamwona mzee, amefanya vizuri sana kuunganisha NATO. 1000x bora kuliko Trump. Sishangai Putin alijaribu kumsaidia Trump maana wakati wa Trump NATO ilidhoofika ikaonyehsa dalili za kumegeka.
Hao NATO ndio waliompigia kura?...Ameunganisha NATO lakini wananchi wake wananunua mafuta mara mbili ya bei ya mwaka jana..sasa hapo amefanikiwa nini?
 
Haiwezi kurudi kwa haraka, itachukua muda kusafisha na kuhakikisha kuwa silaha zilizozagaa kwa raia hazipo ili nchi itawalike maana waasi wanaweza zaliwa iwapo silaha zipo. Raia wengine hawapo, walikimbia wasiuwawe na Puttin. Puttin ni Bully. Ametumia nafasi na nguvu aliyonayo kuiharibu Ukraine na raia wake.
Putin ni Monster
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hao NATO ndio waliompigia kura?...Ameunganisha NATO lakini wananchi wake wananunua mafuta mara mbili ya bei ya mwaka jana..sasa hapo amefanikiwa nini?
Kama hujajua: wananchi wake walimchagua !! (ajabu kwako?). Hisabati yako - kumbe unafuata desturi ya kitaifa!
Haikupanda mara mbili. Imepanda, lakini jaribu tena kukadiria kiasi gani!!
(usiogope, hisabati si sumu)
 
Ukivamiwa na Jambazi wakakutupia mawe yakavunja vioo vya nyumba yako na kubomoa vifaa vingi lakini mwisho wakakuachia nyumba yako baada ya wewe kupigana kuwazuia, wewe ni mshindi japokuwa umepata hasara.
Haha Warussi wa JF sasa havi wanajivunia uharibifu wa miuondombinu na makazi ya watu kuwa ndiyo ushindi [emoji3]
 
Back
Top Bottom