Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

How people see the Russian Army since the war against Ukraine started:

20220403_183805.png
 
Kwa kuwa Russia wameshindwa kuiteka Kyiv na kuipindua serikali ya Ukraine na kupachika kibaraka wao kama walivyokuwa wamepanga hapo kabla basi hiyo tu ni ushindi mkubwa sana kwa Ukraine.

Hadi Warussia kwa hasira wakaamua wauwe tu raia wasio na hatia pamoja na kuharibu miundombinu ya Ukraine. Russia alipakaziwa u-super power feki kumbe ni kanyaboya tu.
Hivi kuna vita yeyote ambayo ilisha wahi kutokea alafu miundo mbinu isiharike na raia wasife?
 
Duh...aisee yaani hujui kuwa Zelensky aligawa silaha kwa wananchi wake?! Wananchi waligawiwa silaha hizo hadharani na mahojiano na baadhi yao kufanywa na baadhi na vyombo vya habari vya kubeberukama Alja zeera, BBC, CNN na kadhalika?! Zelensky alionywa mapema na baadhi ya taasisi kuwa utratibu huo no kinyume na sheria za kimataifa lakini yeye akaona kuwa ni Comedian halisi?! Halafu kuhusu hoja yako ya vyombo vya habari vya Urusi ni afadhali Mara elfu kuliko propaganda inayofanywa na BBC, Alja Zeera na wengineo wa magharibi...yaani kutwa kucha wanaokufa ni warusi tu yaani Ukraine hawafi...Mara utasikia majenerali wa Russia wamekufa lakini siku mbili baadaye unaona jenerali huyo anaonekana....yaani wanachonesha hao sijui BBC na wenzao ni kurudia mipicha kwa wiki nzima ya kinachodaiwa ni ubomoaji wa majengo, hospitali kuua watoto na kadhalika...Askari na hasa idadi yao wa ukraine waliokufa hatuambiwi...tunaambiwa tu warusi wamekufa 17,000 na zaidi...stupid media...this is outright biased reporting ..it is news spinning...it is propaganda...na walivyo washenzi Hawa West eti wanavifungia vyombo vya Russia
Wenzangu akina Nani?! Acha kunipangia makundi...wewe wenzio akina Nani?
Kaka tafadhali ujifunze kusoma na kutofautisha habari na mwawazo.
Vita ni majira ya propaganda. Hii ni dhahiri. Warusi wanatuma propaganda na Waukraine pia. Katika vita hii ya propaganda Waukraine wako mbele maana kwao wananchi wote wanapiga picha na kuzirusha. Wanajua wenyewe wasionyesha maiti za askari wao. Warusi wana matatizo zaidi maana hawaruhusiwi kusema "vita", pia hawana wananchi wanaorusha. Askari hawaruhusiwi kimsingi kwa hiyo kwao ni zaidi wale walioteuliwa (maafisa wa propaganda). Hivyo kiidadi ya picha Ukraine iko mbele.
Sasa vyombo vya habari kama BBC, Aljazeera.... na vyombo vya Warusi. Kama mwanahabari haruhusiwi kusema "vita" - na akitishiwa na adhabu kali muda wote (jinsi ilivyo Urusi) inaathiri habari anazotoa.
Nikiona mwanahabari anasema "tumesikia", "hatuwezi kuthibitisha", "tunapaswa kusahihisha" - kwangu ni dalili huyu anajaribu kufanya kazi kifundi na kwa umakini jinsi iwezekanavyo.
Hii sijaona upande wa vyanzo vya Kirusi . nimeiona upande wa wale unaoita "Western" .
Kuhusu Zelensky kumpa mtu yeyote silaha - hujaleta ushuhuda wowote. HApana, mimi sijaona habari hii. Lete ushuhuda!
 
Wamebaki wanatatarika kama mahindi ya bisi kikaangoni,nacheka sana wanavyojitahidi kutoa maelezo marefu ya kwa nini ule mkwara wa kukata gesi haujatekelezwa na Baba yao Putin hata baada kugomewa kulipwa kwa Ruble
Dah kumbe babu Puto afya iko gogoro 👇👇👇👇haya warusi wa bonyokwa, kwa mpalange wakazane na maombi tena yale ya ya kiothodox anyway msn ni wamagharibi wanamsingisia mzee wala haumwi alisikika mrusi mmoja wa kwa mtogole.

 
NATO will find ways to accept Finland and Sweden into the alliance "relatively quickly" if these countries want to join the organization, said Jens Stoltenberg.
Galip SV
20220403_065911.png
 
US Navy ships left the Black Sea because the American command realized that it might no longer be possible to provoke Russia with impunity, Deputy Secretary of the Russian Security Council Mikhail Popov told Komsomolskaya Pravda.

"This is one of the reasons. But there is another one - the Ukrainian friends of the Americans greatly aggravated the security situation in the Black Sea, ”he said.
Galip SV
20220403_065911.png
 
The full text of the statement of the Ministry of Defense of the Russian Federation:

“All the photographs and video materials published by the Kiev regime, allegedly testifying to some kind of “crimes” by Russian military personnel in the city of Bucha, Kiev region, are another provocation.

During the time this settlement was under the control of the Russian armed forces, not a single local resident suffered from any violent actions. Russian military personnel delivered and issued 452 tons of humanitarian aid to the settlements of the Kiev region.

All the time while the city was under the control of the Russian armed forces, and even more so after, until today, in Bucha, local residents freely moved around the city and used cellular communications.

Departure from the city of Buchi was not blocked. All local residents had the opportunity to freely leave the settlement in a northern direction, including to the Republic of Belarus. At the same time, the southern outskirts of the city, including residential areas, were fired around the clock by Ukrainian troops from large-caliber artillery, tanks and multiple launch rocket systems.

We would like to especially note that all Russian units completely withdrew from Bucha on March 30, the day after the in-person round of talks between Russia and Ukraine in Turkey.

Moreover, on March 31, the mayor of the city of Buchi, Anatoly Fedoruk, confirmed in his video message that there were no Russian soldiers in the city, but did not even mention any local residents shot in the streets with their hands tied.

Therefore, it is not surprising that all the so-called evidence of crimes in Bucha appeared only on the fourth day, when SBU officers and representatives of Ukrainian television arrived in the city.

Of particular concern is the fact that all the bodies, the images of which were published by the Kiev regime, after at least four days have not stiffened, do not have characteristic cadaveric spots, and unclotting blood in the wounds.

All this irrefutably confirms that the photographs and video footage from Bucha are another production of the Kiev regime for the Western media, as was the case in Mariupol with the maternity hospital, as well as in other cities.

Galip SV Liwagu
20220403_065911.png
 
German Foreign Minister Annalena Berbock announced her intention to tighten sanctions against Russia:

“We will tighten sanctions against Russia and will provide even more support to Ukraine in matters of its defense.”
Galip SV
20220403_065911.png
 
Special correspondent of Komsomolskaya Pravda Alexander Kots, author of the Telegram channel

I look at the unfolding hysteria around the "Buchan massacre", and I want to say to the scriptwriters: "You work poorly, without a twinkle and Cossack ingenuity." I say this as a person who spent the last month near Bucha.

Firstly, to call the events in Bucha “Ukrainian Srebrenica” is not a good comparison. The Yugoslav story of the massacre of Bosnian Muslims, which was blamed on the Serbs, is still controversial. The official version differs from the Serbian one in scale by orders of magnitude.

Secondly, one cannot make such gross factual errors in such cases. I'm talking about dates that don't beat at all. The first footage of the bodies with their hands tied was taken on April 1st. By this time, Russian troops had already left Bucha for several days as part of a regrouping. They were not in the city, I know for sure. And the bodies look (believe me, I've seen enough in 20 years of work in hot spots) as if they were killed a few hours ago. The Russian military could not do this, they were already at the border with Belarus.

Therefore, the "Buchan massacre" is either a large-scale staging. There is nothing to be surprised here. Ukrainian specialists in information and psychological operations were trained by the same people from Foggy Albion as the “rescuers” of the White Helmets.

Or these are traces of mass repressions that were perpetrated by the nationalists after our departure. The slightest suspicion is an execution without trial or investigation. I took a Russian humanitarian aid - the enemy. He gave milk to the Russians - a traitor. And then - according to the laws of war.

However, it is likely that both factors are present. But for them, new sanctions against Russia cannot be introduced. This means that the West will shyly lower its eyes.

Galip SV
20220403_065911.png
 
I am grateful to everyone who takes to the streets in the temporarily occupied cities. To all who are not afraid and go out. I am grateful to all who are afraid and come out. To all those who feel that without this decision to defend Ukraine and their freedom, the occupiers can gain a foothold.
And when people protest - and the more people protest - the harder it is for the occupiers to destroy us, to destroy our freedom. This is our common struggle! And it will be our common victory.
Volodymyr_Zelensky_Official_portrait.jpg
 
PUTIN kasukuma kete moja tu ya Ruble katikisa dunia yote. Europe wamepotea zile mbwembwe zao zimepotea wanasugua kichwa. LNG ya USA imefikia wapi?? Hapo bila shak EU wamejifunza kitu jinsi Marekani alivyo mnafiki.

EU imekosa kabisa mbadala wa Nishati ya Russia hawataki lipa kwa Ruble ila muda ni mwalimu mzuri tutaona msimamo wao. Nchi nyingi za Europe zipo tayari kulipa kwa Ruble.

Vikwazo havijafanya kazi kwa Russia ila vimefanya kazi kwao maisha yamekua magum kwao hii ni aibu kubwa sana waliyopata na hawaamini kama wamekwenda OP walitoa vikwazo kwa kupaniki.

West walileta propaganda kibao ili mradi Russia atengwe na dunia na plan zao walijua dunia yote itaenda swa na wao watatoa vikwazo kwa Russia mambo yamegoma wameona wamekataliwa kweupe kabisaa.

Russia alijipanga kwa hili na alijua atawakamatia wapi hakuna aliyejua Russia angeswitch ruble ndo mjue hawa jamaa ni genius afu kuna boya anaifananisha Russia na Africa.

West wamepata aibu kubwa sana kwa hili inshort walikurupuka sana hawakufanya hesabu zao vzr naona walishinikizwa na baba yao US sasa US kawakataa wamabaki wanabung’aa kama mtu aliyefika stand haoni mtu wa kumpokea.

Russia anategemewa na Ulaya karibia 80% na kumbuka Russia anaproduce malighafi muhimu sana na tegemezi sasa mtu kama huyu unampa vikwazo utegemee utawin??

Kuna watu humu walikua wanasema Russia itakua Zimbabwe ikabid nicheke nadhani wamepata somo Russia amebarikiwa kuwa na Natural resources nyingi ambazo hawezi kukosa top 5 kwa kila natural resource aliyonayo sio madini nk hawa jamaa Mungu kawabariki aisee.

Russia wana ardhi nzuri ya kilimo wanategemewa duniani kwa zao la ngano na alizeti, unaona Russia anagusa uchumi wa kila mtu kwenye nishati mpaka chakula leo hii unampa vikwazo unategemea nini? Russia ndo mzalishaji mkuu wa mbolea duniani tumeona USA hapa hajaweka vikwazo why?? Akili mtu wangu.


Russia anahitajika sana kwenye uchumi wa Dunia, dunia inamuhitaji Russia acheni ushabiki usio na tija tupo kwenye generation ya kuambiana ukweli na sio propaganda za mitandaoni huo ndo ukweli ila huji kuta vitu kama hvo vinaongelewa. Tanzania wenyewe tuna import wheat kutoka Russia.

Russia anategemewa na Dunia na sio West kama watu wanavyopayuka humu ndani, impact sio west tu ni worldwide. Russia sio Africa hao jamaa sio level yetu kabisa na msifananishe na Africa hao jamaa ndo tunawategemea kuleta balance of power.

Namuunga mkono Russia kwasababu ni nchi ambayo haijawai kuwa na koloni na ni Nchi ambayo ilipigania nchi za Africa kupata Uhuru mfano mzuri Tanzania tulipewa mafunzo ya kijeshi kutoka Russia. [emoji635] [emoji1241]

VIVA RUSSIA
VIVA PUTIN
 
Back
Top Bottom