Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Cabinet of Ministers of Russia has prepared another package of about 20 initiatives to support the Russian economy under sanctions, Mishustin said.
Galip SV
20220403_065911.png
 
[emoji779]️ Several countries, including Germany and Hungary, are against Russian sanctions that target the energy sector - reports
Hv vikwazo totally viliisha fail
Maana awali walituambia GIANT kapigwa vikwazo havijawahi tokea tukaambiwa hana SILAHA tukaambiwa hana CHAKULA
Ila vikwazo sasa vina mwezi+ na hivyo vyakula na silaha vina siku 15+ toka vimemalizika
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Asante kwa swali njema
1) maiti inayokaa kwenye baridi haiozi kama hapa kwenye joto. Hata hapa maiti huhifadhiwa kwenye chumba cha jokofu. Hali joto Ukraine iko mnamo 0. usiku chini, machana kidogo juu.
2. Maiti zimeoza, soma taarifa nilizoweka juu. Wanahabari wametoa taarifa wanaona maiti kwa hali tofauti ya kuoza.
Ila kumbuka, ktk mazingira ya baridi kuoza kunaonekana tofauti sana kuliko hapa kwenye joto (au ukraine mwezi wa 7.8)
Kuna swali hujajibu kwanini maiti hazina damu?????

Kwanini uingereza haitaki kuitishwa Kwa uchaguzi?????
 
We kutu aibu aliyoipata russia vita ukraine bado una ujasiri wa kuandika hivi? Kwanini russia mission yake ya kumtoa Zelensky haikukamilika na kumuweka wakala wake kama alivyomueka Asad Syria???

Amevamia mtupu mtupu na kumalizia mtupu mtupu, sasaiv Zelensky ana hiyari yake kujiunga na NATO au umoja wa ulaya au aache kwa sababu zake binafsi na watu wa Ukraine lakini sio kwa hofu ya russia tena,

Putini ameshindwa kw aibu kubwa lakini udhaifu wake amewapa advantage Marekani kumsoma na kwamba sivyo walivyokuwa wanaitarajia russia, kumbe ni nchi dhaifu sana kw vita, silaha zake kabakiwa na nuclear tu, kashindwa kutoboa ukraine
Kwani US alipovamia SYRIA alimtoa ASSAD!!?
Pia ASSAD hajaekwa na PUT IN jamaa kaekwa na WASIRYA
 
Hv vikwazo totally viliisha fail
Maana awali walituambia GIANT kapigwa vikwazo havijawahi tokea tukaambiwa hana SILAHA tukaambiwa hana CHAKULA
Ila vikwazo sasa vina mwezi+ na hivyo vyakula na silaha vina siku 15+ toka vimemalizika
RUSSIA sio ZIMBABWE

Walisema na kutuaminisha Russia hawezi mikiki ya vita ndani ya week, mara week2 sahv tuko mwezi na jamaa wanakwambia operations 1 imeisha wanaanza ya2 . Unakaa pembeni unajiuliza nchi kama russia wazalishaji wakubwa wa ngano wanakosaje chakula?? Wanakosaje silaha??

Nyie vibarakaa wa NATO ifike time muwe mnatumia akili sio kila habri ya kuileta humu kama wewe ni critical thinker kuna hbr unaona kabisa ni za propaganda ila mnazing’ang’ania.

Sahv mmekomalia ishu ya bucha wakt ni propaganda kabisaaa. This is Jf msiharibu image yetu humu.
 
Kuna swali hujajibu kwanini maiti hazina damu?????

Kwanini uingereza haitaki kuitishwa Kwa uchaguzi?????
Swali la pili nimeshajibu, ona juu. Uingereza kama mwenyekiti wa wiki hii imeitisha kikao leo. Usiamini propaganda, tafadhali (nakusihi) utumie akili yako na utafute HABARI (si vighumu vile).

Swali la kwanza: Maiti hazitoi damu tena baada ya dakika za kwanza. Nimeona picha za maiti zilizokuwa na damu na picha ambako damu haionekani. Inategemea kidonda kiko upande gani, sivyo?
Unafikiri ni picha za madoli??
 
Kwanza tumepigana na mataifa zaidi ya 5, MAKUBWA (USA,GERMANY, BRITISH, POLAND, FRANCE. Ukiachana na NATO ambayo ina ichi nyingine ndani.

Pili Hizo inchi pamoja na NATO members, Wametupiga vita ya uchumi, Ila bado wameteteleka kama kuku mwenye mdondo, Kila kukicha sanctions na Bado Tunadunda Mpka wengine wameona waondoe vikwazo, walizani tutaomba po mapema, Ila Wamekutana na maji katika Dunia yenye eneo kubwa kuliko nchi kavu.

Mamuzi yao ni ya wogawoga, Oooh kwa sababu ya mauaji yaliyoonekana tunaleta au kuongeza sanctions, Leteni zote ziishe, Wananchi wenu kama watakuja kuwapa kura, Wanalala njaa huko na hali ya kimaisha is ishakuwa ngumu.

Sasa Pamoja na hayo yote, Utagundua Russian ni Bahari, Haipigwi deki kwa kelele zenu na vikwazo vya ushauri wa wake zenu mkiamka tu mnawaza yasiyowazika. Mtu amepigana almost na Dunia maana hayo manchi yenu ni kama Dunia tu, So Dunia imetupa watu mpaka vifaaa, na bado Wamekalia moto wa gesi ulioungusha mpka sufuria. Russia sio mtu wa mchezo mchezo.

Alafu tumerudi nyuma na kuwaachia, mmeanza kuleta propaganda za kuua raia, sasa mlizani kwa majibizano na zile shells Wangepona na mliwapa siraha, Risasi haina jicho.

Russia is Very Strong than ever.
 
Walisema na kutuaminisha Russia hawezi mikiki ya vita ndani ya week, mara week2 sahv tuko mwezi na jamaa wanakwambia operations 1 imeisha wanaanza ya2 . Unakaa pembeni unajiuliza nchi kama russia wazalishaji wakubwa wa ngano wanakosaje chakula?? Wanakosaje silaha??

Nyie vibarakaa wa NATO ifike time muwe mnatumia akili sio kila habri ya kuileta humu kama wewe ni critical thinker kuna hbr unaona kabisa ni za propaganda ila mnazing’ang’ania.

Sahv mmekomalia ishu ya bucha wakt ni propaganda kabisaaa. This is Jf msiharibu image yetu humu.
Kuna watu waliamini ule upuuzi
Ukweli nikwamba hta hao NATO wanaelewa kwamba hata miaka kumi jamaaa anapigana hii OP
Yaani kuna jamaa nlikua namuona mtu kweli kweli huyu T14 Armata ila nae akaja akasombwa na hizo propaganda naona baada yakuona deadline ya CHAKULA imepita na uzi akaukimbia kabisaaaa
 
Kwanza tumepigana na mataifa zaidi ya 5, MAKUBWA (USA,GERMANY, BRITISH, POLAND, FRANCE. Ukiachana na NATO ambayo ina ichi nyingine ndani.

Pili Hizo inchi pamoja na NATO members, Wametupiga vita ya uchumi, Ila bado wameteteleka kama kuku mwenye mdondo, Kila kukicha sanctions na Bado Tunadunda Mpka wengine wameona waondoe vikwazo, walizani tutaomba po mapema, Ila Wamekutana na maji katika Dunia yenye eneo kubwa kuliko nchi kavu.

Mamuzi yao ni ya wogawoga, Oooh kwa sababu ya mauaji yaliyoonekana tunaleta au kuongeza sanctions, Leteni zote ziishe, Wananchi wenu kama watakuja kuwapa kura, Wanalala njaa huko na hali ya kimaisha is ishakuwa ngumu.

Sasa Pamoja na hayo yote, Utagundua Russian ni Bahari, Haipigwi deki kwa kelele zenu na vikwazo vya ushauri wa wake zenu mkiamka tu mnawaza yasiyowazika. Mtu amepigana almost na Dunia maana hayo manchi yenu ni kama Dunia tu, So Dunia imetupa watu mpaka vifaaa, na bado Wamekalia moto wa gesi ulioungusha mpka sufuria. Russia sio mtu wa mchezo mchezo.

Alafu tumerudi nyuma na kuwaachia, mmeanza kuleta propaganda za kuua raia, sasa mlizani kwa majibizano na zile shells Wangepona na mliwapa siraha, Risasi haina jicho.

Russia is Very Strong than ever.
RUSSA sio ZIMBABWE
 
Hv vikwazo totally viliisha fail
Maana awali walituambia GIANT kapigwa vikwazo havijawahi tokea tukaambiwa hana SILAHA tukaambiwa hana CHAKULA
Ila vikwazo sasa vina mwezi+ na hivyo vyakula na silaha vina siku 15+ toka vimemalizika
RUSSIA sio ZIMBABWE
Jaribu kufanya propaanda angalau kwa akili kidogo.
Hakuna aliyesema Urusi hamna chakula.
Ukweli ulikuwa vikosi kadhaa vya jeshi lake vilikosa chakula hivyo askari walianza kuiba kwenye maduka.
Kama umesikia mtu alisema hakuna chkula Urusi: Chanzo tafadhali!!
Kuhusu silaha:
macomment mengii niliyoona kwenye media ya "magharibi" yalitabiri eti Ukraine itashindwa baada ya siku chache kwa sababu ya ubora wa silaha za Kirusi.
baadaye wote walishangaa udhaifu wa jeshi la Putin.
(kama hukumbuki jinsi gani hao wa Western walitangaza udhaifu wa Ukraini, soma hapa: Factbox: How Ukraine's armed forces shape up against Russia's)
 
Marekani imesema drones za Turkey aina ya Bayraktar TB2 zilishindwa kuyakinga majeshi ya aridhini ya Ukraine dhidi ya mashambulizi ya Russia kwa kuwa mifumo ya ulinzi ya anga iliyokuwa ikitumiwa na majeshi ya Russia ilikuwa ikizidungua kwa urahisi droni hizo.

Marekani yasema udhaifu wa droni hizo ktk kuharibiwa na mifumo ya usalama ya anga na hivyo kushindwa kulinda majeshi ya aridhini dhidi ya mashambulizi ya maadui unaonekana hata ktk mapigano ya Libya ambapo jumla ya drones hizo 39 zilidungushwa na kupotea, huko Syria droni 8 za aina hiyo hiyo zilidunguliwa, droni tatu zilidunguliwa katika mapigano ya Nagorno-Karabakh, na sasa hivi wanaendelea kuzihesabu idadi za droni hizo zilizodunguliwa na majeshi ya Russia huko Ukraine.

=======
View attachment 2175672View attachment 2175673
Wanamsagia kunguni Turkey kwenye biashara ya Silaha mbona ile drone yao ya ghali ilishushwa na kombora la gharama nafuu na Irani
 
Slaughter in Bucha well planned and staged by Kiev to accuse Russian military of war crimes:Russia calls Security Council meeting over Bucha.​

Moscow insists the incident was staged by Kiev to accuse Russian military of atrocities​

Moscow will convene an extraordinary meeting of the UN Security Council over an incident in the Ukrainian town of Bucha, Russia’s deputy permanent representative to the organization, Dmitry Polyansky, said on Sunday. Ukraine has accused Russia of massacring civilians in the town, while Moscow dismissed the incident as having been staged by the Kiev forces.
“In light of the blatant provocation by Ukrainian radicals in Bucha, Russia has demanded a meeting of the UN Security Council to be convened on Monday, April 4. We will bring to light the presumptuous Ukrainian provocateurs and their Western patrons,” Polyansky said in a Telegram post.
Graphic footage from Bucha, a town to the northwest of Kiev, emerged over the weekend, showing multiple bodies clad in civilian clothing scattered around. Kiev was quick to blame the Russian military for the incident, with Ukrainian Foreign Minister Dmytro Kuleba alleging it was a “deliberate massacre.”
“The Bucha massacre was deliberate. Russians aim to eliminate as many Ukrainians as they can. We must stop them and kick them out. I demand new, devastating G7 sanctions NOW,”
Kuleba said on Twitter.
Top Western politicians were quick to back and amplify Kiev’s claims, with NATO chief Jens Stoltenberg branding the incident “a brutality against civilians we haven’t seen in Europe for decades.”
“And it’s horrific, and it’s absolutely unacceptable that civilians are targeted and killed, and it just underlines the importance of, that this war must end. And that is President Putin’s responsibility, to stop the war,”
Stoltenberg told CNN.
A similar stance has been taken by many other officials, with some explicitly pinning the blame for the ‘massacre’ on Moscow. French President Emmanuel Macron said, for instance, that “Russian authorities will have to answer for these crimes.”
Moscow, however, has firmly rejected any involvement, accusing Kiev of staging the whole affair to frame Russian troops. The country’s Defense Ministry said Russian troops pulled out of the town on March 30, with the local mayor confirming this in a video address a day later without mentioning “any local residents laying shot in the streets.” The purported “evidence” of the incident emerged only four days after the withdrawal, when Ukrainian intelligence and “representatives of Ukrainian television arrived in the town,” the military added, stressing that multiple inconsistencies show that the affair “has been staged by the Kiev regime for Western media.”
Moscow launched a large-scale offensive against Ukraine in late February, following Ukraine’s failure to implement the terms of the Minsk agreements signed in 2014, and Russia’s eventual recognition of the Donbass republics in Donetsk and Lugansk. The German- and French-brokered protocols had been designed to regularize the status of those regions within the Ukrainian state.
Russia has now demanded that Ukraine officially declare itself a neutral country that will never join the US-led NATO bloc. Kiev insists the Russian offensive was completely unprovoked and has denied claims it was planning to retake the two rebel regions by force.
___
https://www.rt.com/russia/553242-bucha-un-security-council/
 
Kwanza tumepigana na mataifa zaidi ya 5, MAKUBWA (USA,GERMANY, BRITISH, POLAND, FRANCE. Ukiachana na NATO ambayo ina ichi nyingine ndani.

Pili Hizo inchi pamoja na NATO members, Wametupiga vita ya uchumi, Ila bado wameteteleka kama kuku mwenye mdondo, Kila kukicha sanctions na Bado Tunadunda Mpka wengine wameona waondoe vikwazo, walizani tutaomba po mapema, Ila Wamekutana na maji katika Dunia yenye eneo kubwa kuliko nchi kavu.

Mamuzi yao ni ya wogawoga, Oooh kwa sababu ya mauaji yaliyoonekana tunaleta au kuongeza sanctions, Leteni zote ziishe, Wananchi wenu kama watakuja kuwapa kura, Wanalala njaa huko na hali ya kimaisha is ishakuwa ngumu.

Sasa Pamoja na hayo yote, Utagundua Russian ni Bahari, Haipigwi deki kwa kelele zenu na vikwazo vya ushauri wa wake zenu mkiamka tu mnawaza yasiyowazika. Mtu amepigana almost na Dunia maana hayo manchi yenu ni kama Dunia tu, So Dunia imetupa watu mpaka vifaaa, na bado Wamekalia moto wa gesi ulioungusha mpka sufuria. Russia sio mtu wa mchezo mchezo.

Alafu tumerudi nyuma na kuwaachia, mmeanza kuleta propaganda za kuua raia, sasa mlizani kwa majibizano na zile shells Wangepona na mliwapa siraha, Risasi haina jicho.

Russia is Very Strong than ever.
Pole sana kaka, lakini nikuambie ukweli: Wewe hujapigana na mtu yeyote, wewe umekalia kiti sijui wapi Bongo.
Hata Urusi haikuanza kupingana na Marekani na wengine. Hadi sasa ilipigana na Ukraine na silaha za mbegani kutoka nchi za NATO..... Haikuona bado silaha kali zaidi, haikumpata bado mwanajeshi 1 wa NATO. Heri wasijaribu, jinsi walivyoonekana hadi sasa...
 
Pole sana na wewe kwa kutokujua kuwa Wanajeshi wa NATO wapo na wamepigana indirect way, kwa mwamvuli wa missionaries, Wewe ukazani hakuna mwanajeshi wa NATO hata mmoja.

Na mataifa karibu kumi kutuma siraha na bado Russia kasimama mwanaume, Haijarishi itakuwaje lakini kawazima na kawaonyesha anaweza kuliko wao.

Kawapiga na kawachia maeneneo tena.
 
Back
Top Bottom