Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The EU has developed a new package of anti-Russian sanctions.

What is proposed to be banned:

- to enter European ports for Russian ships;

- export semiconductors, cars and other transport equipment worth €10 billion;

— any financing of Russian government agencies, as well as the participation of Russian companies in public procurement in the European Union;

— import coal worth €4 billion a year;

— transactions with four Russian banks, including VTB.

The head of the European Commission also noted that the EU is developing new restrictions on the import of Russian oil.
Galip SV
20220405_161734.png
 
We talked with German taxi drivers who complain about the consequences of anti-Russian sanctions.

According to them, many entrepreneurs go bankrupt, carriers began to spend more on gasoline, while the number of customers, on the contrary, decreased:

“Definitely became more expensive by 30% or something like that. A full tank now costs more than €120. It used to be around €90”;

“My gas expenses have now, of course, doubled. I don't think any business will survive. I see that it is not so easy to continue doing business”;

“Gasoline prices are in the hands of politicians. We are all powerless. Taxi drivers can’t do anything, and I think other citizens can’t either.”
Galip SV
 
In Mariupol today, more than 30 soldiers of the Armed Forces of Ukraine surrendered, left with their hands up in the area of kindergarten 91 on the Left Bank.

We also learned that "Azov" distributed its fighters among the units of the Armed Forces of Ukraine - one nationalist "layer" for 10 Ukrainian soldiers, just in order to prevent surrender. From there, there are constant rumors about shootings between the “Azov” and the Armed Forces: if you want to go out, you need to get rid of the “Azov” who will shoot in the back
Galip SV
20220405_161734.png
 
Pole sana na wewe kwa kutokujua kuwa Wanajeshi wa NATO wapo na wamepigana indirect way, kwa mwamvuli wa missionaries, Wewe ukazani hakuna mwanajeshi wa NATO hata mmoja.

Na mataifa karibu kumi kutuma siraha na bado Russia kasimama mwanaume, Haijarishi itakuwaje lakini kawazima na kawaonyesha anaweza kuliko wao.

Kawapiga na kawachia maeneneo tena.
ukiwa na habari kuhusu askari wa NATO ndani ya Ukraine - Onyesha!! Karibu sana!! (kama huna cha kuonyesha - basi. Tanzania ni nchi ya imani..)
Mataifa kutumia silaha labda ni zaidi za 10. Ila hadi sasa walituma pekee silaha ndogo za kujitetea.
Silaha hizi haziwezi kumwumiza Mrusi yeyote anayekaa pale anapostahili kukaa.
Najua wako mashabiki wanofurahia kusifu jeshi la Putin ni kati ya maajabu ya dunia. Kwa bahati mbaya ina matatizo na silaha ndogo za mbegani - na zaidi na makosa yake yenyewe...
 
Jaribu kufanya propaanda angalau kwa akili kidogo.
Hakuna aliyesema Urusi hamna chakula.
Ukweli ulikuwa vikosi kadhaa vya jeshi lake vilikosa chakula hivyo askari walianza kuiba kwenye maduka.
Kama umesikia mtu alisema hakuna chkula Urusi: Chanzo tafadhali!!
Kuhusu silaha:
macomment mengii niliyoona kwenye media ya "magharibi" yalitabiri eti Ukraine itashindwa baada ya siku chache kwa sababu ya ubora wa silaha za Kirusi.
baadaye wote walishangaa udhaifu wa jeshi la Putin.
(kama hukumbuki jinsi gani hao wa Western walitangaza udhaifu wa Ukraini, soma hapa: Factbox: How Ukraine's armed forces shape up against Russia's)

Mmeanza kukataana tena na bado mtasema yote
 
Yani we mzee, you are just a little as***ole na wazidi kuonesha ulivo ngese, Hili ndilo jeshi lenu linachofanya kwa Raia wake hivi sasa View attachment 2176548 Na hii style ya ufungaji kamba ndio ile ile walioifanya bucha View attachment 2176549 em next time usni'qoute... Angalia watu wengine wa kuelezana hizo pumba zako.
Acha naye huyo mkuu kama vipi muignore. Analazimisha kueleweka kwa nguvu. Tubakie kwenye thread ila watu design hiyo tuwapitie mbali

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mauaji ya Bucha: Picha zinalinganisha ya mtaa uleule mjini Bucha tarehe 02 Aprili na Machi na 21 Machi. 21 Machi jeshi la Putin lilimiliki Bucha, picha ni ya satelaiti.
1649165683495.png
 
Pole sana kaka, lakini nikuambie ukweli: Wewe hujapigana na mtu yeyote, wewe umekalia kiti sijui wapi Bongo.
Hata Urusi haikuanza kupingana na Marekani na wengine. Hadi sasa ilipigana na Ukraine na silaha za mbegani kutoka nchi za NATO..... Haikuona bado silaha kali zaidi, haikumpata bado mwanajeshi 1 wa NATO. Heri wasijaribu, jinsi walivyoonekana hadi sasa...
Ongeza juhudi malipo ni mazuri .....
 
Mauaji ya Bucha: Picha zinalinganisha ya mtaa uleule mjini Bucha tarehe 02 Aprili na Machi na 21 Machi. 21 Machi jeshi la Putin lilimiliki Bucha, picha ni ya satelaiti.
View attachment 2176765
Ila we jamaaaa ni mwehu sana .... Maiti ya tarehe 21 March ikae Hapo mpaka 2april !!?? Na kichwa Chali kilivyo kibovu unaileta as strong evidence ...aseeee angalia magari yapo mangapi katika ground photo na kwenye satellite photo Kuna gari ngapi ... Na hiyo distance ya gari mpaka gari kwenye ground photo na distance ya satellite ...hakika wewe Toleo jipya la uwehu.
 
Russia kasafisha jina kwenye vita hiyo, kaweka heshima kiasi kwamba nchi nyinginezo maadui zitakuwa zaogopa kuichokonoa zikijuwa kuwa jamaa wakikasirika huwa wanageuza miji magofu na vifusi....

Halafu pamoja na kichapo chote kile, Russia wao wanaita eti operesheni maalumu ya kijeshi[emoji1787][emoji23][emoji2]
Kaweka heshima ?!?!wakati ndo kajiharibia madhaifu alionesha kwenye vita na Ukraine sidhani kama Kuna jirani yake kama atamwogopa tena Sasa hiv Kila mtu anataka kutest battle na Russia...umewasikia Finland? Au mnaongea habar za kwenye kahawa
 
Back
Top Bottom