Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nenda BIIIBIISII sihangaiki na ww
Vilikosa chakula ukiwa na maana gani unapinga nn halaf unakubali nn
Vyakula kuibiwa kwenye sehem yamachafuko nimambo yakawaida sana ingawaje RUSSIA hawakufanya hicho kitendo
Muwe mnaelewa
RUSSIA sio ZIMBABWE
Bado huwezi kuleta chanzo? Mmelilia mara ngapi eti "HAO" (?? "Western") wandai Urusi haina chakula. Si kweli. Hakuna aliyesema.
Ila tuliona habari ni kwamba sehemu za jeshi la Urusi zilipangwa vibaya hadi kukosa chakula.
Halafu zilitokea (pamoja ya habari kutoka wafungwa Warusi) picha za askari Warusi waliovunja maduka kuiba chakula.
Ambacho unasema sasa
A) si wizi kwa sababu ni kawaida
B) hata kama ni kawaida Warusi hawafanyi kamwe..... (kwa nini?? mbona ushuhuda upo??)

Ila tu usisahau nilicholeta juu; kule Belarus video ya usalama ilipatikana jinsi gani Warusi waliorudi kutoka Ukraine walituma kwao nyumbani vifurushi vikubwa vya vitu ambavyo waliwahi kuiba ...
Lakini, unavyosema, ni kawaida (isipokuwa Warusi wako si kawaida, ni shujaa watakatifu)
 
Wanajeshi 267 wa Ukraine wamejisalimisha kwa majeshi ya Russia huko Mariupol...ikimbukwe kuwa jana usiku mji huo ulinyeshelezewa makombora ya kruizi hamsini (50) na majeshi ya Russia toka baharini na angani.

Ramzan Kadyrov, mjeda mtata na hodari wa Putin yupo huko akigawa dozi mbaya mno...jamaa aliombwa na Putin kuwa apumzike kupigana ktk mwezi wa Ramadhani kwa sababu ya kufunga swaumu, mwenyewe Ramzan akakataa, akasema kwenye swaumu ndiyo huwa napata nguvu zaidi ya kupigana na amsha amsha kama zoteee

Screenshot_20220405-181645_Chrome.jpg

Screenshot_20220405-183043_Gallery.jpg
Screenshot_20220405-183150_Gallery.jpg
 
Bado huwezi kuleta chanzo? Mmelilia mara ngapi eti "HAO" (?? "Western") wandai Urusi haina chakula. Si kweli. Hakuna aliyesema.
Ila tuliona habari ni kwamba sehemu za jeshi la Urusi zilipangwa vibaya hadi kukosa chakula.
Halafu zilitokea (pamoja ya habari kutoka wafungwa Warusi) picha za askari Warusi waliovunja maduka kuiba chakula.
Ambacho unasema sasa
A) si wizi kwa sababu ni kawaida
B) hata kama ni kawaida Warusi hawafanyi kamwe..... (kwa nini?? mbona ushuhuda upo??)

Ila tu usisahau nilicholeta juu; kule Belarus video ya usalama ilipatikana jinsi gani Warusi waliorudi kutoka Ukraine walituma kwao nyumbani vifurushi vikubwa vya vitu ambavyo waliwahi kuiba ...
Lakini, unavyosema, ni kawaida (isipokuwa Warusi wako si kawaida, ni shujaa watakatifu)
Wee jamaa unataka chanzo gani
Nimekuelekeza ama nimekuambia uende BIIBIISII swahilo
Hio habari yenu UCHWARA ya RUSSIA kuishiwa chakula nakubakiwa na chakula cha siku tatu ilitolewa na hao WAPUUZI namie niliipata huko kwa hao BOGASSSS
 
Wanajeshi 267 wa Ukraine wamejisalimisha kwa majeshi ya Russia huko Mariupol...ikimbukwe kuwa jana usiku mji huo ulinyeshelezewa makombora ya kruizi hamsini (50) na majeshi ya Russia toka baharini na angani.

Ramzan Kadyrov, mjeda mtata na hodari wa Putin yupo huko akigawa dozi mbaya mno...jamaa aliombwa na Putin kuwa apumzike kupigana ktk mwezi wa Ramadhani kwa sababu ya kufunga swaumu, mwenyewe Ramzan akakataa, akasema kwenye swaumu ndiyo huwa napata nguvu zaidi ya kupigana na amsha amsha kama zoteee

View attachment 2176869
View attachment 2176897View attachment 2176899
Watakataa[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Bado huwezi kuleta chanzo? Mmelilia mara ngapi eti "HAO" (?? "Western") wandai Urusi haina chakula. Si kweli. Hakuna aliyesema.
Ila tuliona habari ni kwamba sehemu za jeshi la Urusi zilipangwa vibaya hadi kukosa chakula.
Halafu zilitokea (pamoja ya habari kutoka wafungwa Warusi) picha za askari Warusi waliovunja maduka kuiba chakula.
Ambacho unasema sasa
A) si wizi kwa sababu ni kawaida
B) hata kama ni kawaida Warusi hawafanyi kamwe..... (kwa nini?? mbona ushuhuda upo??)

Ila tu usisahau nilicholeta juu; kule Belarus video ya usalama ilipatikana jinsi gani Warusi waliorudi kutoka Ukraine walituma kwao nyumbani vifurushi vikubwa vya vitu ambavyo waliwahi kuiba ...
Lakini, unavyosema, ni kawaida (isipokuwa Warusi wako si kawaida, ni shujaa watakatifu)
Picha yako ya Satellite ya kuungiwaungiwa bado unaiamini ewe ...😁😁😁😁 Kama una familia inashida sana kuwa na mzazi kiazi kiwango chako
 
Wee jamaa unataka chanzo gani
Nimekuelekeza ama nimekuambia uende BIIBIISII swahilo
Hio habari yenu UCHWARA ya RUSSIA kuishiwa chakula nakubakiwa na chakula cha siku tatu ilitolewa na hao WAPUUZI namie niliipata huko kwa hao BOGASSSS
Kaka mapigano hayo umeshashindwa. Siri ya Urusi kushindwa Kyiv ni maandalizi mabaya. Si chakula tu, walishidwa pia kupeleka diseli na risasi mbele. Hapo sababu ya kuacha magari na vifaru ambayo vilikuwa bila hitilafu yoyote. . . .
 
The West is trying to shift its own mistakes in the economic sphere onto Russia and solve problems at its expense - Putin.

Statements of the President of the Russian Federation.

▪️The situation in the energy sector in the world is deteriorating due to non-market measures and pressure on Gazprom.

▪️Calls for the nationalization of Russia's energy assets in the West are a double-edged weapon.

▪️The domestic market of Russia for the main food groups is provided with its own production.

▪️Russia will have to be more careful about food supplies abroad, especially to countries that are pursuing a hostile policy.
 
Ni picha zuri. Siamini picha, naziangalia na kukagua.
Na ukakagua ukaleta ujinga wako .... Nimekuuliza maswali kuhusu Ile picha hujajibu. Idadi ya magari kwenye ground photo na idadi ya magari kwenye satellite photo ..na distance za kati ya gari na gari kwenye ground photo na satellite photo..... Jaribu tu kunijibu mtajua naongea na mtu mwenye upeo Gani .
 
Wee jamaa unataka chanzo gani
Nimekuelekeza ama nimekuambia uende BIIBIISII swahilo
Hio habari yenu UCHWARA ya RUSSIA kuishiwa chakula nakubakiwa na chakula cha siku tatu ilitolewa na hao WAPUUZI namie niliipata huko kwa hao BOGASSSS
Huyo jamaa Mwanamkiwi anapinga nini na wakati taarifa za madai ya kuwa wanajeshi wa Russia wana njaa zimeripotiwa hapa chini...na pia hiyo tu ndio ilimtosha Nyamizi kuwa hoja yake kila siku kwa mwezi mzima, utadhani alikuwa hana access na habari zingine

SmartSelect_20220405-185206_Chrome.jpg


SmartSelect_20220405-185042_Chrome.jpg
 
🇩🇪In Germany, the largest gas storage facility in Western Europe is almost empty.

"Gazprom" stopped pumping fuel into UGS "Reden". Now the active gas reserves in it have decreased to 21 million cubic meters per day - this is almost 200 times lower than the maximum capacity, @SputnikLive writes.

The storage facility has suspended the supply of gas to the country's gas transmission system. The reason for this situation is that Gazprom withdrew from its subsidiary Gazprom Germania GmbH after searches were carried out in it. It was she who served the gas storage.
 
Putin, in response to calls for the nationalization of Russia's energy assets in the West, noted that this is a double-edged weapon

What else did the Russian president say at the meeting on agriculture:

➖The situation in the global food market over the past 2 years has become noticeably more complicated due to the mistakes of developed countries.

➖The authorities of the Russian Federation should minimize external effects on the food market, increase the production of food products and reach outstripping growth rates in the field of agro-industrial complex and food - above 3%.

➖The domestic market of Russia in terms of the main food groups is fully provided with its own production.

➖Russia will have to be more careful about food supplies abroad, especially to countries that are pursuing a hostile policy.

➖Russia can ensure that domestic food prices are lower than on the world market.

➖The situation in the energy sector in the world is deteriorating due to non-market measures and pressure on Gazprom.

➖The West is trying to shift its own mistakes in the economic sphere onto Russia and solve problems at its expense.
 
Na ukakagua ukaleta ujinga wako .... Nimekuuliza maswali kuhusu Ile picha hujajibu. Idadi ya magari kwenye ground photo na idadi ya magari kwenye satellite photo ..na distance za kati ya gari na gari kwenye ground photo na satellite photo..... Jaribu tu kunijibu mtajua naongea na mtu mwenye upeo Gani .
Fungua macho angalia. Magari mawili mabovu yako palepale. Katika picha mpya gari moja limeongezeka. Ajabu gani? Magari kama si mabovu hutembea. Um,bali naona sawa, pembe ni tofauti. Maiti labda ilisongezwa kidogo, so rahisi kutambua kutokana na pichi hizo. Isingekuwa ajabu. Wakiacha maiti barabarani kutokana na hofu na idadi kubwa, tungewza kuwaza mengi. Ila naona utagiti unakuja sasa. Wako wataalamu wanaojua kuchambua mambo haya, wako njiani.
 
Kwa kinachoendelea apo Ukraine, kama zinacharge sawa sawa akilini huezi kaa upande wa Ukraine na West. Hata kama hui'support Russia basi automatically utajikuta unajitenga na upande wa jua linakozama na kuishia kua mtazamaji.

Em ziangalieni hizi tarehe za haya matukio kwa umakini... View attachment 2176796 Hiyo ilikuwa Friday 11th Mwezi March

Kisha View attachment 2176795 Hapa ilikuwa Monday 14th Mwezi huo huo March.

Huyo dada akaja kuonekana akihojiwa namna mchezo wa propG ulivofanyika eneo hilo la Hospital View attachment 2176803 Baada ya hii video sasa [emoji23][emoji23][emoji23]

Ikaja taarifa mpya tena kutoka kwao kua huyu binti katekwa na Jeshi la Russia View attachment 2176794 Taarifa ikitoka 2 April yan siku 3 zilizopita.

Sasa hapa kwa ufupi... Ni kua
11th March akajifungua

14th March wakadai kafariki

25th March akaonekana akitoa taarifa kua kilichotangazwa kutokea pale hospital Mariupol sio kweli, hakukua na mlipuko wa nje isipokuwa wanajesh wenyewe wa Ukraine walilipua eneo hilo kisha kuanza kum'recorf bila hiari yake.

02nd April Media zile zile zikatangaza ametekwa na jeshi la Urusi.

Unajiuliza marehem ametekwa vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu alofariki toka 14th katekwa 2nd April. Na bado kuna wafuasi wao wanaamini kwa nguvu zote [emoji848]
Basi kama mtu unakili ya Nyumbu, basi azima akili ya mende kuyajua haya, Galip SV huwa anajaribu kuwatoa tongotongo lakini Nyumbu hawaelewi kabisa.

Sawa Russia kavamia nchi it's wrong sawa, Lakini isikufunge kuelewa kuwa Zelensky kipaji chake ni comedy tuu na sio uongozi, Wamefanya maigizo mengi kuliko kupigana na adui.
 
Kaka mapigano hayo umeshashindwa. Siri ya Urusi kushindwa Kyiv ni maandalizi mabaya. Si chakula tu, walishidwa pia kupeleka diseli na risasi mbele. Hapo sababu ya kuacha magari na vifaru ambayo vilikuwa bila hitilafu yoyote. . . .
Tarehe ya uvamizi pia siyo , mwisho wa winter kuelekea spring ardhi tepwe tepwe hivyo vifaru na magari mengine yanakwama kwenye tope.
 
⚡️Belarus switches to Russian rubles in gas payments since April

Relevant documents were signed today in St. Petersburg by Minister of Energy Viktor Karankevich and Chairman of the Management Board of PJSC Gazprom Alexey Miller

❗️Moreover, the price of natural gas supplied since April 1 has become more profitable than it was provided for by the agreement in force until today

‼️Taking into account the agreements reached, in the very near future the Government will make decisions to reduce the price burden on consumers for consumed natural gas

Economic integration in action!
 
Back
Top Bottom