Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo maiti huenda ilisetiwa ndio ikapigwa picha sio... yaani iliandaliwa kwa picha.
Nimemuuliza maswali madogo tu ya kiufundi wa picha ... Mwenyewe kajichanganya labda MAITI ILISOGEZWA KIDOGO .... Sasa mtu wa hivyo unamsaidiaje labda!!?? na bado anakaza fuvu ni authentic evidence ....
 
Kaka mapigano hayo umeshashindwa. Siri ya Urusi kushindwa Kyiv ni maandalizi mabaya. Si chakula tu, walishidwa pia kupeleka diseli na risasi mbele. Hapo sababu ya kuacha magari na vifaru ambayo vilikuwa bila hitilafu yoyote. . . .
Hivi majeshi ya Russia yalishindwa Kiev??!! Ninavyoelewa Mimi baada ya mazungumzo Russia decided to pull back its soldiers and redeploy them to Eastern and southern front...After the Russians had left Ukrainians supported by Western countries came to the vacated areas and declared 'victory'...stupid guys...very stupid guys...but some military strategists would tell you the objective of the Russians was not to capture Kiev....their aim was to lure the bulk of the Ukraine army to Kiev to defend it leaving other areas with few soldiers...Na warusi walipoona strategy imekubali ndipo wakaondoka maeneo ya Kiev na kwenda mashariki na kusini mwa Ukraine ambako karibu wanaanzisha mashambulizi na kuyazunguka majeshi yaliyobaki ya Ukraine...
 
Eti nyie watu mshawahi kujiuliza kwanini dunian kote ni hizi nchi tu ambazo hazina Rothschild Central bank kwenye ardhi yao ndizo kila siku haziishiwi kelele kutoka Israel na USA kwa ujumla....? View attachment 2176862

Mkuu nipe elimu kuhus rothschild naskiaga ni mpango wa west kishetani sina elim nzuri na hili
 
Drone moja kabla kudunguliwa ilikua inalamba vifaru kama ishirini hivi, ukizingatia gharama ya kifaru kimoja inazidi drone kwa mbali, hehehe Putin anajutia sana.

Anajutia wapi???---- Russia anavyo viwanda advanced sana vya kutengeneza hayo madude, yeye hana viwanda vya magari ukilinganisha na wenzake wa ulaya magharibi, kama japani au Germany wanaweza kuzalisha maelfu kadhaa ya magari kwa mwezi Russia anaweza kuzalisha mamia kama sio maelfu kadhaa ya hayo madude (Tanks) kwa mwezi, Russia anafanya biashara kubwa ya silaha za aina hiyo, hayo yaliyolipuliwa usidhani hakuna mengine yanayotengenezwa as Substitutes at this moment in time.

Vita vyovyote vina gharama yake na wakati mwingine the worst case scenario should be taken into account.
 
Wnajeshi 39 wa kikosi maalum walioaminika kufa ni wengi sana🤔
Screenshot_20220405-201029.png
Screenshot_20220405-201038.png
 
ICYMI: National Security Advisor Jake Sullivan says the US has been sending Ukraine some weapons that it “cannot talk about it, cannot advertise”

Just like he cannot confirm sources, or provide details to allegations?
 
Na haya yote Mataifa yenu makubwa yanaona, sasa jiulize kwa nini hayahoji maigizo haya, Utajua kuwa wana personal conflicts.

NATO na members wake wanaonekana wajinga, moja kufwata vitu ambavyo Vinaathiri mpaka wananchi wao, Sasa Ukiona wewe kama baba Nyumbani unaacha familia ilie njaa kisa unataka kufurahisha majirani basi huna tofauti na Nyumbu.

Wewe unambiwa kataa iki, fanga iki, Unashindwa hata kuhoji, Haya acting za maiti hazijaanza leo, Wewe tarifa unapata hujachunguza unaongeza vikwazo, Je Wewe kama sio unachuki binafsi na akili kama mtoto na ujinga uliokithiri tukikuita hivyo utakataa.?

Mpaka Tanzania mafuta yashapanda mara mbili sasa, Wewe unatoka huko unadai Vikwazo vinamchakaza Russia subiri uone, Vikwazo walivyoweka ni nini, Kwao vyakula kila kitu kishapanda bei, shughuli imefika sasa kwa Russia na Ukraine wa bongo.

Tunawakumbusha baba yao US ameongeza supply ya wese[emoji28][emoji28]
IMG_2241.jpg
 
Zimemshikisha adabu huyo mtume wenu Putin, drones ndio mpango mzima sio ule ujuha wa kupasua matofali kwa kichwa...hehehe

Hujajibu swali; Ni nani kati ya Beberu Muamerica na Wewe uliopo Kogelo anatakiwa kuaminiwa kuhusu habari za vita vya Ukraine vs Russia ??!!
 
Hilo Kombora Mrusi Kaunda pekee yake halafu UK, US na Australia wanataka wapige kombinenga kuliunda na sijui kama watafanikiwa wakati la Mrusi tayari limeshawaumbua huko.....Duh Urusi ni Dunia nyingine kabisa...
Pro USA watakutukana nakuambia,
Hawaamini kabisa kuwa Kuna mambo mengi Sana USA hawawezi na wako nyuma ya Urusi.
Wao wanaamini kabisa USA ndio Kila kitu.
Hata hii vita ni kwamba Urusi peke yake inapigana na NATO.
Taarifa muhimu za Kijasusi,mafunzo,silaha na fedha Ukraine anapewa na NATO.
 
⚡️Ukraine Attempting to Disrupt Negotiations - Russian FM

Sergey Lavrov has called the 'frankly false' provocation in the city of Bucha an attempt to unsettle talks with Kiev.

The Russian Foreign Minister added that if Ukraine continues to refuse to discuss denazification and demilitarization... it will not contribute to furthering peace negotiations.
 
Hivi majeshi ya Russia yalishindwa Kiev??!! Ninavyoelewa Mimi baada ya mazungumzo Russia decided to pull back its soldiers and redeploy them to Eastern and southern front...After the Russians had left Ukrainians supported by Western countries came to the vacated areas and declared 'victory'...stupid guys...very stupid guys...but some military strategists would tell you the objective of the Russians was not to capture Kiev....their aim was to lure the bulk of the Ukraine army to Kiev to defend it leaving other areas with few soldiers...Na warusi walipoona strategy imekubali ndipo wakaondoka maeneo ya Kiev na kwenda mashariki na kusini mwa Ukraine ambako karibu wanaanzisha mashambulizi na kuyazunguka majeshi yaliyobaki ya Ukraine...
Hayo unaamini? Pole.
Nimeshasikia neno "makubaliano". KWa hiyo unaamini kweli kwamba Ukraine "ilikubalina" na Urusi : "basi enedeni kwa mani kutoka Kyiv,halafu rudini kusini kuua watu wetu"????
Salamu kutoka Abunuwasi!
Hawakuvuta sehemu kubwa ya jeshi la Ukraine Kyiv. Takriban nusu ilibaki kusini.
Kyiv waliwekeza nyingi, walipoteza askari na vifaa kibao. Ni dhahiri Putin hawezi kukubali alipigwa. Si lazima akubali (si lazima wewe ukubali. Ukikubali au ukikataa, hali ni jinsi ilivyo)
Sasa tutaona jinsi atakavyoendelea mashariki na kusini. Huko mambo ni rahisi zaidi kwake, nimesoma tangu muda, maana maumbile ya nchi inasaidia kuliko kwenye kaskazini. bado njia za mizigo ya kijeshi ni fupi zaidi (hali iliyowashinda kule kaskazini)
Tuone. Nadhani NATO wanatafakari kutoa silaha kali zaidi kuliko zile za mbegani tu....
Hali itakuwa vibaya zaidi
 
Kwanza tumepigana na mataifa zaidi ya 5, MAKUBWA (USA,GERMANY, BRITISH, POLAND, FRANCE. Ukiachana na NATO ambayo ina ichi nyingine ndani.

Pili Hizo inchi pamoja na NATO members, Wametupiga vita ya uchumi, Ila bado wameteteleka kama kuku mwenye mdondo, Kila kukicha sanctions na Bado Tunadunda Mpka wengine wameona waondoe vikwazo, walizani tutaomba po mapema, Ila Wamekutana na maji katika Dunia yenye eneo kubwa kuliko nchi kavu.

Mamuzi yao ni ya wogawoga, Oooh kwa sababu ya mauaji yaliyoonekana tunaleta au kuongeza sanctions, Leteni zote ziishe, Wananchi wenu kama watakuja kuwapa kura, Wanalala njaa huko na hali ya kimaisha is ishakuwa ngumu.

Sasa Pamoja na hayo yote, Utagundua Russian ni Bahari, Haipigwi deki kwa kelele zenu na vikwazo vya ushauri wa wake zenu mkiamka tu mnawaza yasiyowazika. Mtu amepigana almost na Dunia maana hayo manchi yenu ni kama Dunia tu, So Dunia imetupa watu mpaka vifaaa, na bado Wamekalia moto wa gesi ulioungusha mpka sufuria. Russia sio mtu wa mchezo mchezo.

Alafu tumerudi nyuma na kuwaachia, mmeanza kuleta propaganda za kuua raia, sasa mlizani kwa majibizano na zile shells Wangepona na mliwapa siraha, Risasi haina jicho.

Russia is Very Strong than ever.
Kikubwa ni mmeshindwa kuteka mji wowote mkubwa kwenye kanchi kadhaifu kijeshi kama Ukraine, na silaha za zamani za west vinawasumbua sana, tena kwenye siraha zenu za sasa, japo mmekazunguka ka ukraine ila mmekashindwa
Apo ingekuwa israel si ndo wangekuwa Moscow sahv
 
Kwanza tumepigana na mataifa zaidi ya 5, MAKUBWA (USA,GERMANY, BRITISH, POLAND, FRANCE. Ukiachana na NATO ambayo ina ichi nyingine ndani.

Pili Hizo inchi pamoja na NATO members, Wametupiga vita ya uchumi, Ila bado wameteteleka kama kuku mwenye mdondo, Kila kukicha sanctions na Bado Tunadunda Mpka wengine wameona waondoe vikwazo, walizani tutaomba po mapema, Ila Wamekutana na maji katika Dunia yenye eneo kubwa kuliko nchi kavu.

Mamuzi yao ni ya wogawoga, Oooh kwa sababu ya mauaji yaliyoonekana tunaleta au kuongeza sanctions, Leteni zote ziishe, Wananchi wenu kama watakuja kuwapa kura, Wanalala njaa huko na hali ya kimaisha is ishakuwa ngumu.

Sasa Pamoja na hayo yote, Utagundua Russian ni Bahari, Haipigwi deki kwa kelele zenu na vikwazo vya ushauri wa wake zenu mkiamka tu mnawaza yasiyowazika. Mtu amepigana almost na Dunia maana hayo manchi yenu ni kama Dunia tu, So Dunia imetupa watu mpaka vifaaa, na bado Wamekalia moto wa gesi ulioungusha mpka sufuria. Russia sio mtu wa mchezo mchezo.

Alafu tumerudi nyuma na kuwaachia, mmeanza kuleta propaganda za kuua raia, sasa mlizani kwa majibizano na zile shells Wangepona na mliwapa siraha, Risasi haina jicho.

Russia is Very Strong than ever.
Ivi uganda alivyokuwa anapigana na Tanzania alikuwa anapigana na Russia kisa Tz anatumia siraha za urusi
 
Pro USA watakutukana nakuambia,
Hawaamini kabisa kuwa Kuna mambo mengi Sana USA hawawezi na wako nyuma ya Urusi.
Wao wanaamini kabisa USA ndio Kila kitu.
Hata hii vita ni kwamba Urusi peke yake inapigana na NATO.
Taarifa muhimu za Kijasusi,mafunzo,silaha na fedha Ukraine anapewa na NATO.
Mpendwa, hakuna sababu kukutukana hata kidogo! Mwenye ndoto aote tu.
"Nyuma" au "mbele" - labda ulinganishe tu
1) vifaa gani na vingapi viliingizwa MArekani kutoka Urusi ?
2) vifaa gani na vingapi viliingizwa Urusi kutoka Marekani??

Bila kutafuta nakumbuka sasa kuhusu 1) injini za roketi za anga-nje na pombe kali ya vodka (injini za roketi zilikuwa kwenye siku za mwisho maana Space-X wameshaanza kutumia roketi ya kizazi kipya ambayo Urusi haijafika)

kuhusu 2) orodha ni ndefu sana . . .

Nato haikuanza kupigana na Urusi kijeshi. Hakuna skari wa NATO katika Ukraine. Silaha za mbegani zilitosha hadi sasa kuangamiza mashumbulio dhidi ya Kyiv na Kharkiv.
 
[emoji629][emoji1255]Germany no longer has weapons for Ukraine.

There are hardly any weapons left in the warehouses of the Bundeswehr that can be delivered to Kiev, the head of the German Foreign Ministry said.

Earlier, the German newspaper Die Welt wrote that the German Defense Minister was delaying the process of supplying weapons to Kiev for weeks.

At the same time, it was emphasized that the military department is reconsidering its decisions and intends to strengthen military support for Ukraine.

To promise is not to marry...

Inshort hzo weapons wanazo peleka ni chache kuliko wanavoongea na zinaharibiwa au kukamatwa na Russia. Hao ukraine wamebanwa mbupu asseee hawaemi kabisa maghala yote yamelipuliwa, maghala ya mafuta yameharibiwa infrastructures karibu zote muhimu zimeharibiwa.

Kuna falasi anatoka huko kashiba wali kunde anakwambia Ukraine anashinda aisee media za west zina wa zombify aseee. Hao ukraine wanataman sana hii operation iishe ila west wanatia mkono wao wanazid mpa comedy kiburi ila ndo anazid poteza nchi. Ni rais mpumbavu asiye na akili kukubali kushindwa anasikiliza watu pembeni waliomweka.

Hapo utaamin uyo zelenskyy ni kibaraka wao rais mwenye akili na uchungu na nchi yake asingubali nchi kuharibiwa namna hii. Media za west zinawapotosha sana namshakua addicted na propaganda mnaamin kila ungese mnaombiwa amkeni.

Ukraine hali ni mbaya hao watoto wanapelekewa moto hatar na washukuru Russia kaachia baadhi ya miji ila hali ilikua ni mbaya cha ajabu wameanza jisifia eti tumekomboa kyiv wkt Russia alichia huo mji baada ya kukubaliana kwa baadhi ya masharti.

Tunabaki tunajiuliza zile silaha zote zinazopelekwa zimesaaidia nini?? Mbna hawa jamaa kila siku wanalilia wanataka msaada kama media zinatuaminisha Wanashinda field?? Unabaki unajiuliza mbona raia wanakimbia nchi yao? Na wanakimbilia kwenye yale majimbo yaliyo chini ya Russia???

Kwa mtu anaelewa dunia vzr anajua west toka muda wanahangaika sana na mrussi na mchina hawa ndo wanawafelisha kwenye NWO lengo lilikua ni kumwangusha mrussi kwa sanctions ila sasa Mungu kawaambua mipango yao yote failed, Mrussi anapeta tu na haogopi mtu anagawa dozi tu.

RUSSIA SIO ZIMBABWE nyie kenge acheni PUTIN awatie nyembe. [emoji1320]
 
Back
Top Bottom