Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2176812 Hawa viumbe wa ajab mno, itizame hiyo picha vizuri. Unauona huo mkono?

Iko hivi.
Maiti iliyotelekezwa eneo lake apa na maana ya ile sehem iliyoshikana na ardhi au sehem yoyote na kitu kingine huanza kubadilika kwa kuweka uweusi wa kuelekea kuharibika.

Mfano mdogo angalia sehem nyeusi za mwili wako, utaona ni zile sehem zenye direct contact kwa wingi na shughuli zako za kila siku.

Mfano mwingine ukichukua hata tunda tu ukalitelekeza, sehem itakayoanza kuharibika ni sehem ilogusana na ardhi au kitu chochote cha karibu.

Kwa kuitizama hiyo picha mikononi mwa hiyo maiti inajidhirisha wazi kua maiti hiyo haikuwa hapo bali imehamishwa kutoka eneo moja kupelekwa sehem nyingine.

Ukienda mbali zaidi angalia ribon walizovaa mkononi, sio za blue wala njano. Ni nyeupe which means walikuwa wakiwa'support Russia. Huezi kua Pro Ukraine uweke armband nyeupe.

Ukirejea kwenye ile kauli yao inakupa picha sababu ya hao jamaa kufa. Angalia style waliyofungwa kisha angalia na hii video hapa chini wanajesh wa ukraine wakiwapiga Raia wao wenyewe kisa wana'wasupport Russia FA. View attachment 2176823 Mhhh...

Ukitoka apo unakuta jibaba ka mzee flani kashupaza shingo na tukiwaambia wana akili ndogo wanasema tunawatukana.

Nawauliza tena wana tifauti gani na mbwa anaobweka kila kona anakosoteshewa kidole na mmiliki wake bila kujali nani anayenyooshewa kidole.
Na haya yote Mataifa yenu makubwa yanaona, sasa jiulize kwa nini hayahoji maigizo haya, Utajua kuwa wana personal conflicts.

NATO na members wake wanaonekana wajinga, moja kufwata vitu ambavyo Vinaathiri mpaka wananchi wao, Sasa Ukiona wewe kama baba Nyumbani unaacha familia ilie njaa kisa unataka kufurahisha majirani basi huna tofauti na Nyumbu.

Wewe unambiwa kataa iki, fanga iki, Unashindwa hata kuhoji, Haya acting za maiti hazijaanza leo, Wewe tarifa unapata hujachunguza unaongeza vikwazo, Je Wewe kama sio unachuki binafsi na akili kama mtoto na ujinga uliokithiri tukikuita hivyo utakataa.?

Mpaka Tanzania mafuta yashapanda mara mbili sasa, Wewe unatoka huko unadai Vikwazo vinamchakaza Russia subiri uone, Vikwazo walivyoweka ni nini, Kwao vyakula kila kitu kishapanda bei, shughuli imefika sasa kwa Russia na Ukraine wa bongo.
 
.
Screenshot_20220405-192702.jpg
Screenshot_20220405-192712.jpg
 
🇪🇪Estonia refused to be led by its neighbors.

Tallinn decided not to lower the status of diplomatic relations with Russia following Riga and Vilnius.

"We have decided that our ambassador will stay in Moscow and the Russian ambassador will stay here... Everything is possible in the future, but so far we have decided so," the deputy foreign minister said.

Now the question of boundaries remains open. Yesterday, the Latvian Defense Minister said that the country would close its borders with the Russian Federation if Lithuania and Estonia also did so.

But so far there is no agreement among the comrades.
 
Fungua macho angalia. Magari mawili mabovu yako palepale. Katika picha mpya gari moja limeongezeka. Ajabu gani? Magari kama si mabovu hutembea. Um,bali naona sawa, pembe ni tofauti. Maiti labda ilisongezwa kidogo, so rahisi kutambua kutokana na pichi hizo. Isingekuwa ajabu. Wakiacha maiti barabarani kutokana na hofu na idadi kubwa, tungewza kuwaza mengi. Ila naona utagiti unakuja sasa. Wako wataalamu wanaojua kuchambua mambo haya, wako njiani.
Nimeishia tu Hapo "LABDA MAITI ILISOGEZWA KIDOGO" ..... niongeze Nini zaidi ndugu.
 
🇩🇪🇺🇦Germany no longer has weapons for Ukraine.

There are hardly any weapons left in the warehouses of the Bundeswehr that can be delivered to Kiev, the head of the German Foreign Ministry said.

Earlier, the German newspaper Die Welt wrote that the German Defense Minister was delaying the process of supplying weapons to Kiev for weeks.

At the same time, it was emphasized that the military department is reconsidering its decisions and intends to strengthen military support for Ukraine.

To promise is not to marry...
 
The Pentagon confirmed that the United States recently successfully flight-tested a Lockheed Martin hypersonic missile. The United States, Britain and Australia intend to jointly develop hypersonic weapons, writes FT.
Galip SV View attachment 2176850
Hilo Kombora Mrusi Kaunda pekee yake halafu UK, US na Australia wanataka wapige kombinenga kuliunda na sijui kama watafanikiwa wakati la Mrusi tayari limeshawaumbua huko.....Duh Urusi ni Dunia nyingine kabisa...
 
Russian businessman Roman Abramovich found himself a new Chelsea

Now he will invest in the Turkish football club Göztepe. According to D-Smart Spor, all the details of the deal have already been agreed.

Göztepe plays in the Turkish Super League, the last time he was a champion in 1950.

The Chesleys had a similar story: before the arrival of Abramovich, they had not known the taste of winning the Premier League since 1955.
 
View attachment 2176812 Hawa viumbe wa ajab mno, itizame hiyo picha vizuri. Unauona huo mkono?

Iko hivi.
Maiti iliyotelekezwa eneo lake apa na maana ya ile sehem iliyoshikana na ardhi au sehem yoyote na kitu kingine huanza kubadilika kwa kuweka uweusi wa kuelekea kuharibika.

Mfano mdogo angalia sehem nyeusi za mwili wako, utaona ni zile sehem zenye direct contact kwa wingi na shughuli zako za kila siku.

Mfano mwingine ukichukua hata tunda tu ukalitelekeza, sehem itakayoanza kuharibika ni sehem ilogusana na ardhi au kitu chochote cha karibu.

Kwa kuitizama hiyo picha mikononi mwa hiyo maiti inajidhirisha wazi kua maiti hiyo haikuwa hapo bali imehamishwa kutoka eneo moja kupelekwa sehem nyingine.

Ukienda mbali zaidi angalia ribon walizovaa mkononi, sio za blue wala njano. Ni nyeupe which means walikuwa wakiwa'support Russia. Huezi kua Pro Ukraine uweke armband nyeupe.

Ukirejea kwenye ile kauli yao inakupa picha sababu ya hao jamaa kufa. Angalia style waliyofungwa kisha angalia na hii video hapa chini wanajesh wa ukraine wakiwapiga Raia wao wenyewe kisa wana'wasupport Russia FA. View attachment 2176823 Mhhh...

Ukitoka apo unakuta jibaba ka mzee flani kashupaza shingo na tukiwaambia wana akili ndogo wanasema tunawatukana.

Nawauliza tena wana tifauti gani na mbwa anaobweka kila kona anakosoteshewa kidole na mmiliki wake bila kujali nani anayenyooshewa kidole.
Zelensky na Askari wake akili ndogo Sana...stupid guys
 
🇨🇳Any accusations about the events in Bucha must be confirmed by facts - China's Permanent Representative to the UN.

▪️Beijing urges not to politicize humanitarian issues related to the situation in Ukraine.

▪️Sanctions are not an effective measure to solve the problem. They will only create new complex problems.

▪️China calls for respecting humanitarian law in Ukraine and protecting civilian objects.
 
Kaka mapigano hayo umeshashindwa. Siri ya Urusi kushindwa Kyiv ni maandalizi mabaya. Si chakula tu, walishidwa pia kupeleka diseli na risasi mbele. Hapo sababu ya kuacha magari na vifaru ambayo vilikuwa bila hitilafu yoyote. . . .
Sasa mzee wewe hujiulizi swali kwamba kama Russia anapeleka tani za vyakula kuwasaidia wananchi wa Ukraine atashindwaje kupeleka vyakula kwa wanajeshi wake?

Wengine wakasema Russia kashindwa kupeleka mafuta kwa ajili ya magari yake yaliyoko vitani mara ya mwisho kuskia hiyo stori ni lini? Au ndio ile mwanzo mwanzo wa vita? Vipi mbona sasa magari ya mafuta yanapeleka na kujaza mafuta magari yao yaliyoko vitani bila shida


Ukraine wanajua kujifariji sana na kitu kidogo kinachowapa faraja basi wanaking'ang'ania na kukikuza na nyie bila tafakuri mkaamini bila kujiuliza maswali
20220405_194401.jpg
20220405_194156.jpg
20220405_194426.jpg
 
Russian businessman Roman Abramovich found himself a new Chelsea

Now he will invest in the Turkish football club Göztepe. According to D-Smart Spor, all the details of the deal have already been agreed.

Göztepe plays in the Turkish Super League, the last time he was a champion in 1950.

The Chesleys had a similar story: before the arrival of Abramovich, they had not known the taste of winning the Premier League since 1955.
Duh Boss wetu ndio anasepa hivi hivi yaani, hiyo timu lazima niwe shabiki wake..
 
Back
Top Bottom