Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Usafirishaji vya vifaa vya kijeshi ni udhaifu wa Warusi. KAma ni kweli - sawa walete tu chakula na maji Mariupol, kazi nzuri.Sasa mzee wewe hujiulizi swali kwamba kama Russia anapeleka tani za vyakula kuwasaidia wananchi wa Ukraine atashindwaje kupeleka vyakula kwa wanajeshi wake?
Wengine wakasema Russia kashindwa kupeleka mafuta kwa ajili ya magari yake yaliyoko vitani mara ya mwisho kuskia hiyo stori ni lini? Au ndio ile mwanzo mwanzo wa vita? Vipi mbona sasa magari ya mafuta yanapeleka na kujaza mafuta magari yao yaliyoko vitani bila shida
Ukraine wanajua kujifariji sana na kitu kidogo kinachowapa faraja basi wanaking'ang'ania na kukikuza na nyie bila tafakuri mkaamini bila kujiuliza maswali
Ila ni kitu tofauti na uwezo kupeleka vifaa wakati wake kwa wanajeshi mbele katika hali ya mapigano na miendo ya kila siku. Hapo ni dhahiri mara kwa mara walishindwa. Habari za vifaru au magari yaliyoachwa tu bila uharibifu nimeona hadi sasa.