Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe naye huwa mweupe kweli...waleta stori kavu kavu kama upo kwenye kijiwe cha kahawa....

We wazungumzia Finland sijui Poland, ambao ni vifaranga vya Marekani, wakati Marekani yenyewe baba yao yamuogopa na kumgwaya huyo Russia!

Washindwe NATO (muungano wa nchi 30 tena zenye nguvu na maeneo makubwa zaidi kwa ujumla) aweze Finland watoto wa mama kama Sweden[emoji1787][emoji23][emoji1][emoji38]

Achilia mbali hivyo vinchi viwili ambavyo wala havina nguvu yoyote ilee...chukua Marekani + Nchi 29 zingine za NATO, zote zinamuogopa Russia mmoja na Russia akiwatajia nukes tu wanaanza kulialia
kwanza finland hayuko NATO
 
RUSSIA hawajashindwa KIEV ila wameondoka baada ya mazungumzo yanayoendelea TURKEY
naona mnazidi kujitoa ufahamu tu vijana eeeeeh
Sawasawa wameondoka baada ya mazungumzo....
(na baada ya kupoteza wanajeshi maelfu na wajeruhiwa zaidi, na vifaru, magari, ndegevita, kopta kibao ila MUHIMU BILA SHAKA MAZUNGUMZO!!!)
alisema msemaji Abunuwasov , aliyeongeza URUSI SI ZIMBABWE lakini itafika tu si muda mrefu!
 
Tsh hivi tumeshamaliza kujiregroup au ndio mtu mzima anaondoka kimya kimya.Nachoka hata kusoma hadithi za alfu lela ulela za kujipa matumaini baada ya ya ndoto zetu kule Kyiv kuota mbawa[emoji846]
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kijeshi kuna uwezakano atashinda Ukraine. Angalau kwa muda, labda atafaulu kugawa nchi. Uhakika huu haupo. Kitakwimu angepaswa kushinda tayari, sasa ameacha maeneo magumu zaidi anajaribu pale ambako bado yuko karibu zaidi na mipaka ya Urusi.

Putin anashambulia. Ukraine wanavamiwa. Ni azimio lao kujitetea au la. Nikiangalia hatma ya Marekani huko Iraq na Afghanistan - sioni sababu za kufurahia kwa Urusi.
Ila: Putin hapigani na nchi 30. Hadi leo hakuna mwanajeshi mmoja wa NATO katika Ukraine. Kama wangekuwepo, Putin asingeshambulia. Hadi sasa ni silaha ndogo za kujitetea tu zinazotumwa na NATO. Tuone.
Sina shaka kubwa siku moja Putin atatangaza ushindi. Akiridhika au la.
Nadhani wewe bado mtoto mdogo...Askari wa USA, Britain na Poland wapo Ukraine ..wengineo wao wameshauawa kwa mfano pale l
Lyviv
 
We kutu aibu aliyoipata russia vita ukraine bado una ujasiri wa kuandika hivi? Kwanini russia mission yake ya kumtoa Zelensky haikukamilika na kumuweka wakala wake kama alivyomueka Asad Syria???

Amevamia mtupu mtupu na kumalizia mtupu mtupu, sasaiv Zelensky ana hiyari yake kujiunga na NATO au umoja wa ulaya au aache kwa sababu zake binafsi na watu wa Ukraine lakini sio kwa hofu ya russia tena,

Putini ameshindwa kw aibu kubwa lakini udhaifu wake amewapa advantage Marekani kumsoma na kwamba sivyo walivyokuwa wanaitarajia russia, kumbe ni nchi dhaifu sana kw vita, silaha zake kabakiwa na nuclear tu, kashindwa kutoboa ukraine
duh mahaba mabaya sana.
1.hivi russia ndo amemweka assad madarakani?
2.hivi umewahi sikia putin amesema anataka kuteka kiev na kumuondoa zelensky madarakani?sijui vyanzo vyako vya habari ni vya nchi gani.
3..Mbona zelensky ameshasema siku nyingi kuwa hatojiunga na NATO tena.
 
NATO officers from France, Germany, the UK and “neutral” Sweden are stuck in Mariupol, according to reports in Russian press, and are apparently attempting to negotiate an evacuation corridor with Russia forces.

What they were doing in Mariupol, so close to the front lines, is not clear

Source rtnews
 
View attachment 2177169jaman nani ana nyepesi nyepesi kuhusu huyu general wa marekan? Nasikia wamemkamata huko mariupol
Bila shaka! Na Wanazi wa Ukraine waliua raia huko Bucha, halafu jeshi la Kirusi halikushindwa Kyiv!!! Pia Ukraine hakuna vita, ni spoecial operation.
(na marifiki wa Putin walipendekezwa kupokea Tuzo ya Nobel ya Mantiki na Ukweli!!)
 
Nadhani wewe bado mtoto mdogo...Askari wa USA, Britain na Poland wapo Ukraine ..wengineo wao wameshauawa kwa mfano pale l
Lyviv
Nikisema: LETE USHAHIDi, kwa kawaida mnaanza kulia na kuuliza "Chanzo gani?"
Basi: Lete ushahidi! Hakuna mwanajeshi hata mmoja wa NATO aliye Ukraine!

na usilete mifano ya watu waliojitolea au mamluki. Hao si wanajeshi wa NATO.
 
Pole ya Nini Sasa Ndugu Mtanzania?! Yours are just defeatist arguments...Kama unadai kuwa Putin hawezi kukubali kashindwa kwa hiyo vipi kwa upande wa Ukraine je wao watakubali kashindwa?! You have to give credit to Putin and his Russia..he is fighting against 30 countries as you have mentioned NATO...Russia itashinda Vita hivi, wait and see ..
Kumbe bado?!
 
Wanajeshi 267 wa Ukraine wamejisalimisha kwa majeshi ya Russia huko Mariupol...ikimbukwe kuwa jana usiku mji huo ulinyeshelezewa makombora ya kruizi hamsini (50) na majeshi ya Russia toka baharini na angani.

Ramzan Kadyrov, mjeda mtata na hodari wa Putin yupo huko akigawa dozi mbaya mno...jamaa aliombwa na Putin kuwa apumzike kupigana ktk mwezi wa Ramadhani kwa sababu ya kufunga swaumu, mwenyewe Ramzan akakataa, akasema kwenye swaumu ndiyo huwa napata nguvu zaidi ya kupigana na amsha amsha kama zoteee

View attachment 2176869
View attachment 2176897View attachment 2176899
Fantastic job
 
Tsh hivi tumeshamaliza kujiregroup au ndio mtu mzima anaondoka kimya kimya.Nachoka hata kusoma hadithi za alfu lela ulela za kujipa matumaini baada ya ya ndoto zetu kule Kyiv kuota mbawa[emoji846]
Bora utafute tu hicho kitabu ukisome kuliko kusoma update za humu za sasa hivi.
 
duh mahaba mabaya sana.
1.hivi russia ndo amemweka assad madarakani?
2.hivi umewahi sikia putin amesema anataka kuteka kiev na kumuondoa zelensky madarakani?sijui vyanzo vyako vya habari ni vya nchi gani.
3..Mbona zelensky ameshasema siku nyingi kuwa hatojiunga na NATO tena.
Huyo vyanzo vyake Ni kutoka kahawani
 
Kikubwa ni mmeshindwa kuteka mji wowote mkubwa kwenye kanchi kadhaifu kijeshi kama Ukraine, na silaha za zamani za west vinawasumbua sana, tena kwenye siraha zenu za sasa, japo mmekazunguka ka ukraine ila mmekashindwa
Apo ingekuwa israel si ndo wangekuwa Moscow sahv
Luhansk, Donetsk, mariupol, Sumy, Odessa etc WIP.

According to global Fire Power Ukraine is ranked 22th out of 142 we unakaita kanchi kadhaifu hahaha

Silaha za zamani au sio
TB2 Bayraktar drones frm Turkey
Switchblade kamikaze drones from USA
Stringer missels
Javelin missiles
At4 Portable ant tank missiles
NLAW Missiles
Starstrek anti aircraft missiles
Mi7 helicopters

Bila kusahau mercenaries from all over the 'world', military intelligence infos assistance, vikwazo kwa Urusi, etc






Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hitimisho ya matukio ya leo kutoka Aljazeera

Fighting​

  • Ukraine’s general staff have said Russian forces attacked the southern city of Mykolaiv with cluster munitions banned by the Geneva convention and whole blocks of civilian buildings, including a children’s hospital.
  • Russia probably plans to shift its focus to the south and east of Ukraine, and is refitting forces in Belarus, US officials said.
  • Heavy fighting has continued in Mariupol. The Ukrainian port city has been “90 percent” destroyed after being besieged by Russian forces for weeks, Mayor Vadym Boychenko said.
  • Kyiv’s Mayor Vitali Klitschko warns residents who fled the capital not to return for “at least another week”, cautioning that explosives laid around the area are still a threat.
  • Russian troops are preparing for a big attack in the Luhansk region of eastern Ukraine, Governor Sergiy Gaiday said on Telegram.

War crimes investigation​

  • US President Joe Biden has called for a war crimes trial and more sanctions on Russia over the civilian killings in Bucha, while European Commission chief Ursula von der Leyen says the European Union is ready to send a team of investigators to gather evidence.
  • Ukrainian authorities say they have found the bodies of five civilians with their hands tied in a village west of Kyiv, including those of the mayor, her husband and son.
  • Ukrainian Prosecutor General Iryna Venediktova said on Twitter that the bodies of five men tortured and killed by Russian troops have been found in the basement of a children’s health resort in Bucha.
  • Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy is expected to address the United Nations Security Council on Tuesday where he is expected to demand tough new sanctions on Moscow over killings in Bucha.
  • Russia has categorically rejected accusations that its forces were responsible for killing civilians in Bucha, suggesting images of corpses lining the streets were “fakes”.

Over 4.2 million refugees​

  • More than 4.2 million Ukrainian refugees have fled the country since the Russian invasion, the UN says.
INTERACTIVE Russia Ukraine War Who controls what Day 41
(Al Jazeera)

Sanctions​

  • The White House says more sanctions against Russia will be announced “this week”, and the EU’s foreign policy chief Josep Borrell says the bloc is urgently discussing further measures.
  • French President Emmanuel Macron has said it could target Russia’s oil and coal sectors, while Germany has warned that cutting off the supply of Russian gas to Europe is not yet possible, despite calls to do so.

Diplomacy​

  • The United States and the United Kingdom have announced plans to seek Russia’s suspension from the UN Human Rights Council over the killings in Bucha.
  • Russia has reacted, deeming the bid “unbelievable” and “unprecedented”.
  • Germany and France each expelled dozens of Russian diplomats over the invasion.
  • And the former Soviet republic of Lithuania has expelled the Russian ambassador to the Baltic country over what it calls the “horrific massacre” in Bucha and atrocities in other occupied Ukrainian cities. Moscow has promised to retaliate.
 
Back
Top Bottom