Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky's adviser, who accused the Russian military of allegedly shooting people in Bucha, himself called for the punishment of civilians.

According to Anton Gerashchenko, citizens of the Kiev region, who at least somehow interacted with our military, "should be held accountable." At the same time, he did not specify which one, but called on other residents to inform on the “guilty”.

Earlier, the mayor of the city of Kremennaya in the Lugansk region Vladimir Struk was killed. He supported the LPR and advocated forging ties with Russia. The day before, his wife went to the police with a statement that he was kidnapped by people in camouflage uniforms. Gerashchenko then wrote in social networks: “There is one less traitor in Ukraine!” Galip SV
20220405_161734.png
 
Satellite images of bodies of civilians in Bucha, which The New York Times passed off as March 19, were taken on April 1, when the Russian military had long since left the city.

Telegram channels @warfakeres and @rybar figured out what was wrong with the date of the pictures, with the help of which Western media are trying to accuse the Russian Armed Forces of shooting residents.

Firstly, as Rybar writes, the photo shows sandy alluvium after a downpour that went from March 31 to April 1.

Secondly, the shooting was made by the American company Maxar. She is the main contractor for the US Department of Defense, which indicates her commitment.

At the same time, according to the data on the Maxar website, which was found by the War on Fake channel, not a single company satellite filmed over the city on March 19.

Consequently, there was no shooting on March 19, and the American publication issued a fake, since everything indicates that the satellite photo was taken on April 1.

Recall that on April 1, the Russian military was no longer in Bucha, they left the city on March 30.
Galip SV
IMG_20220406_071814_518.jpg
IMG_20220406_071814_313.jpg
IMG_20220406_071814_483.jpg

 
Ume ulizwa kwann wingereza imekaa kikao cha dharura ili kujadili hilo sakata?
Kama una akili timamu utazitilia mashaka hizi tuhuma.

Hakuna anaye unga mkono mauaji lakini sio kumsingizia mtu ili aonekane mbaya.

Yaan maiti ina siku 4 ila haijaoza wala haina damu?
Hii dunia imeendelea vya kutosha na kuna vitu huwezi kudanganya kirahisi. Picha za satellite zinaonesha hiyo miili ikiwepo barabarani ule muda majeshi ya Urusi yanaondoka. Kingine wasikilize wale watu waliokuwepo kwenye eneo husika usikie walichokutana nacho wakati wako chini ya majeshi ya Urusi.
 
The American company Intel, one of the world's largest manufacturers of computer components and electronic devices, suspends its activities in the Russian Federation.

This is stated in a company statement:

“We immediately suspended all business operations in Russia.”

Intel has about 1.2 thousand employees in Russia. The company promised to support them.
Galip SV
20220405_161734.png
 
mkuu mwambie hivi tufanye ni kweli askari wa NATO wanapigana Ukraine sasa mbona kichaa wao Putin alisema atakayeingilia hii vita cha mtema kuni atakipata . mbona hatukioni hicho cha mtema kuni kwa NATO?
Unaseam kweli. Endelea kutumia mantiki kuchambua habari ya propaganda kutoka kila upande.
 
yaani uliposema.mpaka Sasa hakuna mwanajeshi hata mmoja wa NATO,Basi nikakupuuza!!!!, Haya Mambo yako juu ya uwezo wako ,hizi thread uwe unasoma comment tu za ma great thinker,pengine utajifunza kitu!! Samahani Kama nimekukwaza !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikikusaidia, upuuze tu. Ila usishau kuulizia vyanzo na ushahidi ukimpata tena "great thinker" (sioni wengi..). Jinsi alivyosema mwenzetu: Putin alisema atakayejiingiza ataona cha mtema kuni, hadi sasa hatujaona nchi yoyote ya NATO kuona vile.

Ndiyo, hakuna mwanajeshi wa NATO ndani ya Ukraine. Hadi sasa pekee silaha ndogo za kujitetea.
 
Russia hapigani na Ukraine bali anapigana na NATO & The US, bado tu huwezi kumsifia?!!
Kha sikutegemea mchana muendelee kumuabudu Putin maana mpo kwenye swaumu, nilijua utaibuka jioni baada futuru hehehe
Sasa Putin baada ya kushindwa kumpiga Ukraine, amedhihirisha kumbe anaweza kupigika tu, jeuri yake imebaki kwenye manyuklia na alivyo hoi kiuchumi sijui kama atamudu kuyatunza.
 
If that's the case, basi soko la vifaru vyote duniani limeharibika, kwani sio mrusi pekee anayeunda vifaru.

Isitoshe kama ni kweli, basi huo utakuwa ndio mwanzo wa new generation of military tanks.
Vya Mrusi vilikua vinaaminika sana hususan kwa waarabu wenye dini yao. Vimeliwa mpaka jamaa akaona isiwe tabu akageuza, akakunja mkia na kugeuza.
 
Marekani imesema drones za Turkey aina ya Bayraktar TB2 zilishindwa kuyakinga majeshi ya aridhini ya Ukraine dhidi ya mashambulizi ya Russia kwa kuwa mifumo ya ulinzi ya anga iliyokuwa ikitumiwa na majeshi ya Russia ilikuwa ikizidungua kwa urahisi droni hizo.

Marekani yasema udhaifu wa droni hizo ktk kuharibiwa na mifumo ya usalama ya anga na hivyo kushindwa kulinda majeshi ya aridhini dhidi ya mashambulizi ya maadui unaonekana hata ktk mapigano ya Libya ambapo jumla ya drones hizo 39 zilidungushwa na kupotea, huko Syria droni 8 za aina hiyo hiyo zilidunguliwa, droni tatu zilidunguliwa katika mapigano ya Nagorno-Karabakh, na sasa hivi wanaendelea kuzihesabu idadi za droni hizo zilizodunguliwa na majeshi ya Russia huko Ukraine.

=======
View attachment 2175672View attachment 2175673
Wapeleke drone zao waache blah blah
 
Ushuhuda kuhusu mauaji ya Bucha unazidi kutokea. Jana niliona kwenye matangazo ya habari: padri wa kanisa kubwa alimwambia mwanahabari eti siku moja wakati wa uvamizi wa Kirusi alikuta maiti barabarani mbele ya kanisa lake. Zote zilikuwa na kitambaa juu ya kichwa, mikono ilifungwa, zote zilikuwa na dalili za kuteswa, na kuuawa kwa kupiga risasai kichwani. Aliwazika katika bustani.
Naona ushahidi wa aina hiyo utazidi kutokea. Si lazima kubishana hapa maana utafiti unaanza. Wataalamu watachunguza watapata majibu. Mashahidi wako wengi tu.
 
H
View attachment 2177169jaman nani ana nyepesi nyepesi kuhusu huyu general wa marekan? Nasikia wamemkamata huko mariupol

View attachment 2177169jaman nani ana nyepesi nyepesi kuhusu huyu general wa .

marekan? Nasikia wamemkamata huko mariupol
Aaah sisi hatuhitaji wala nyepesinyepesi
Sisi tunachokitaka ni yeye mwenyewe ajitokeze hadharani na aseme kuwa Yuko huru,hajatekwa na wasiojulikana wala Warusi.
Kuwa Yuko kazini ama nyumbani kwake anacheza golfu.
Maneno mengi hatutaki.
Ajitokeze TU.
 
Ushuhuda kuhusu mauaji ya Bucha unazidi kutokea. Jana niliona kwenye matangazo ya habari: padri wa kanisa kubwa alimwambia mwanahabari eti siku moja wakati wa uvamizi wa Kirusi alikuta maiti barabarani mbele ya kanisa lake. Zote zilikuwa na kitambaa juu ya kichwa, mikono ilifungwa, zote zilikuwa na dalili za kuteswa, na kuuawa kwa kupiga risasai kichwani. Aliwazika katika bustani.
Naona ushahidi wa aina hiyo utazidi kutokea. Si lazima kubishana hapa maana utafiti unaanza. Wataalamu watachunguza watapata majibu. Mashahidi wako wengi tu.
Wewe amini si lazima utulazishe kuamini wote sisi tumekataa ko kisa padre ndo hasemi uongo
 
Back
Top Bottom