Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nafikri ule mfano wa mwanamke kiherehere unakufaa sana unatwangwa unaachwa upumzike unywe maji unatwangwa tena halafu unatoka Kwa majirani anipige tena aone anipigeeeeee ...unatwangwa tena hiii nchi hiii eti Hawa ndio tegemezi la familia zao. .. hasara kubwa sana
Jibu hoja kwa hoja, kamwe mtu mwenye akili timamu hawezi shindana kubishana na kichaa kama mabishano ni kutukanana tu
 
[emoji629][emoji1255]Germany no longer has weapons for Ukraine.

There are hardly any weapons left in the warehouses of the Bundeswehr that can be delivered to Kiev, the head of the German Foreign Ministry said.

Earlier, the German newspaper Die Welt wrote that the German Defense Minister was delaying the process of supplying weapons to Kiev for weeks.

At the same time, it was emphasized that the military department is reconsidering its decisions and intends to strengthen military support for Ukraine.

To promise is not to marry...
ohooo[emoji848][emoji848][emoji848]
 
20220405_222105.jpg

Hatari sana! 😂😂🙆‍♂️
 
NATO officers from France, Germany, the UK and “neutral” Sweden are stuck in Mariupol, according to reports in Russian press, and are apparently attempting to negotiate an evacuation corridor with Russia forces.

What they were doing in Mariupol, so close to the front lines, is not clear

Source rtnews
wawapelekee moto tuuu[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Kijeshi kuna uwezakano atashinda Ukraine. Angalau kwa muda, labda atafaulu kugawa nchi. Uhakika huu haupo. Kitakwimu angepaswa kushinda tayari, sasa ameacha maeneo magumu zaidi anajaribu pale ambako bado yuko karibu zaidi na mipaka ya Urusi.

Putin anashambulia. Ukraine wanavamiwa. Ni azimio lao kujitetea au la. Nikiangalia hatma ya Marekani huko Iraq na Afghanistan - sioni sababu za kufurahia kwa Urusi.
Ila: Putin hapigani na nchi 30. Hadi leo hakuna mwanajeshi mmoja wa NATO katika Ukraine. Kama wangekuwepo, Putin asingeshambulia. Hadi sasa ni silaha ndogo za kujitetea tu zinazotumwa na NATO. Tuone.
Sina shaka kubwa siku moja Putin atatangaza ushindi. Akiridhika au la.
yaani uliposema.mpaka Sasa hakuna mwanajeshi hata mmoja wa NATO,Basi nikakupuuza!!!!, Haya Mambo yako juu ya uwezo wako ,hizi thread uwe unasoma comment tu za ma great thinker,pengine utajifunza kitu!! Samahani Kama nimekukwaza !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anajutia wapi???---- Russia anavyo viwanda advanced sana vya kutengeneza hayo madude, yeye hana viwanda vya magari ukilinganisha na wenzake wa ulaya magharibi, kama japani au Germany wanaweza kuzalisha maelfu kadhaa ya magari kwa mwezi Russia anaweza kuzalisha mamia kama sio maelfu kadhaa ya hayo madude (Tanks) kwa mwezi, Russia anafanya biashara kubwa ya silaha za aina hiyo, hayo yaliyolipuliwa usidhani hakuna mengine yanayotengenezwa as Substitutes at this moment in time.

Vita vyovyote vina gharama yake na wakati mwingine the worst case scenario should be taken into account.

Viwanda vimeshindwa kumsaidia mpaka akaishia kuaibishwa na kainchi kadogo.
 
Hujajibu swali; Ni nani kati ya Beberu Muamerica na Wewe uliopo Kogelo anatakiwa kuaminiwa kuhusu habari za vita vya Ukraine vs Russia ??!!

Drones zimeharibu soko la vifaru vya Mrusi.
 
Kijeshi kuna uwezakano atashinda Ukraine. Angalau kwa muda, labda atafaulu kugawa nchi. Uhakika huu haupo. Kitakwimu angepaswa kushinda tayari, sasa ameacha maeneo magumu zaidi anajaribu pale ambako bado yuko karibu zaidi na mipaka ya Urusi.

Putin anashambulia. Ukraine wanavamiwa. Ni azimio lao kujitetea au la. Nikiangalia hatma ya Marekani huko Iraq na Afghanistan - sioni sababu za kufurahia kwa Urusi.
Ila: Putin hapigani na nchi 30. Hadi leo hakuna mwanajeshi mmoja wa NATO katika Ukraine. Kama wangekuwepo, Putin asingeshambulia. Hadi sasa ni silaha ndogo za kujitetea tu zinazotumwa na NATO. Tuone.
Sina shaka kubwa siku moja Putin atatangaza ushindi. Akiridhika au la.
Una utaalamu gani wa kijeshi au ulisha pigana vita ipi mpaka uweze kuipangia Urusi muda wa kushinda vita?
 
Mkuu siyo propaganda!
Maana ni BBC hiyo kumbuka(natania)
Mkuu mbona kama umepanic mpaka macho yako yameacha kuona vizuri?
Kweli una uhakika hiyo iliyo andikwa hapo ni BBC?
Kuhusu propaganda ndio maana nimesema ya kwamba mpaka vyombo vyao vya habari vimeanza kukili juu ya kupungua kwa nguvu ya $ basi hali ni mbaya.
Tabia ya Marekani kutumia $ kwa misingi ya kisiasa itamgarimu sana nchi nyingi zitaanza kutafuta njia mbadala.
 
Drones zimeharibu soko la vifaru vya Mrusi.


If that's the case, basi soko la vifaru vyote duniani limeharibika, kwani sio mrusi pekee anayeunda vifaru.

Isitoshe kama ni kweli, basi huo utakuwa ndio mwanzo wa new generation of military tanks.
 
Roman Abramovich acquired the Turkish football club Göztepe.

This is written by the local edition of D-Smart Spor. According to him, all the details of the deal have been agreed, and it will be officially announced on Friday.

Göztepe, playing in the Turkish Super League, is based in the city of Izmir. In 1950, the team became the national champion.

Earlier, we recall, the UK imposed sanctions against Abramovich, under which London Chelsea also fell. The club was given a special license to continue its activities.
Galip SV View attachment 2177173
Aje na kwa Wananchi huku.
 
NATO officers from France, Germany, the UK and “neutral” Sweden are stuck in Mariupol, according to reports in Russian press, and are apparently attempting to negotiate an evacuation corridor with Russia forces.

What they were doing in Mariupol, so close to the front lines, is not clear

Source rtnews
Putin akikubali huo ujinga ntamdharau sana. Hiyo mijitu sio ya kuionea huruma.
 
Nikisema: LETE USHAHIDi, kwa kawaida mnaanza kulia na kuuliza "Chanzo gani?"
Basi: Lete ushahidi! Hakuna mwanajeshi hata mmoja wa NATO aliye Ukraine!

na usilete mifano ya watu waliojitolea au mamluki. Hao si wanajeshi wa NATO.
mkuu mwambie hivi tufanye ni kweli askari wa NATO wanapigana Ukraine sasa mbona kichaa wao Putin alisema atakayeingilia hii vita cha mtema kuni atakipata . mbona hatukioni hicho cha mtema kuni kwa NATO?
 
Hundreds of demonstrators in German capital took part in a motorcade denouncing discrimination against the Russian-speaking community

Participants decorated their cars with signs saying, ‘Stop hating Russians.’

Subscribe to RT t.me/rtnews


Inagoma attachment ya video ambayo msururu wa magari huko German wakiwa nanmabango stop hating Russia View attachment 2177406
 
Back
Top Bottom