Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

To protect Hunter Biden, the US Secret Service spends $ 30,000 every month to rent a large mansion in Malibu

According to The Telegraph, Joe Biden's son is entitled to 24-hour protection from the US Secret Service.

Hunter now lives in an expensive area of California. Therefore, in order to protect him, the special services rented a mansion nearby. The house turned out to be a real castle with six bedrooms, a swimming pool, a spa, a tasting room and a barbecue area.

Now Americans are demanding that Joe Biden's son admit that this is a waste of their taxes. They insist that Hunter let the intelligence officers live at home.
Galip SV
IMG_20220405_141214_888.jpg
 
Kama mashahido wapo kibao kwanini UK akimbie kikao wakati ndio sehemu nzuri ya kuwabana Warusi!!!?? Kwenye fuvu humo mna ubongo au makamasi!!??
Usiamini propaganda ya kijinga, tafuta habari mweyewe.
Hi hapa Reuters ya jana;
April 4 (Reuters) - Russia's foreign ministry said it would reiterate its request for the U.N. Security Council to meet on Monday over what Moscow called the "criminal provocations by Ukrainian soldiers and radicals" in the town of Bucha near Kyiv.
Britain's mission to the United Nations, which holds the presidency of the 15-member council for April, had said the Council would hold a scheduled discussion on Ukraine on Tuesday, and not meet on Monday as requested by Russia.
 
The footage shows the bodies, presumably, of the Ukrainian military in Volnovakha, which Kyiv does not even want to take away.

The video was shot by the Minister of Youth Affairs of the Chechen Republic Isa Ibragimov. He told our correspondent Vlad Andritsa that the human rights ombudsman had tried to contact the Ukrainian authorities to collect the bodies, but had never received a response.

Ibragimov also called on the nationalists to surrender, otherwise they might die. He noted that those 267 Marines of the Armed Forces of Ukraine, who surrendered the day before in Mariupol, passed death and made the right decision.
Galip SV
 
*Mariupol (tayari ishanguka)
*Donesk(tayari ishanguka)
*Luhansk(tayari ishanguka)
*Melitopol(tayari ishanguka)
*Kherson(tayari ishanguka)

Bado (Kharkiv,Zaphorizia,Mykolaiv,Dnipropetrovsk na Odessa.

Ikianguka tu hii mikoa basi 50% ya uchumi wa ukraine utakuwa chini ya mikono ya warusi
Wewe embu tumia huo ubongo wako kujifikirisha vizuri acha kuwa kama watu wasio na fikra yaani urudi kaiteka miji yote iyo alafu bado uyo uyo mrusi anayakimbia mapigano daah maajabu haya aisee
 
Huna akili., Zelensky hakupenda watu wake kufa bila ya hatia alitaka watu wake wabaki salama siku zote kwa sababu ukranie haikuanza vita walilala asubuhi wakaamkia mabomu kila upande ndio mana siku zote alitaka amani na mazungumzo ili kunusuru watu wake, lakini suali Je Ukraine waliiogopa Russia? Urusi mara ngapi aliwaambia Ukraine waeke silaha chini? mara ngapi? Je Ukraine walieka silaha chini? Zelenksy alipata ofa ya kuokolewa na US ili abaki salama je alikubali? Hii maana yake ni kwamba walikubali kupambana kwa hali yoyote kulinda nchi yao na ndio maana Putini alishindwa kusimamisha bendera yake Kyiv Makao makuu na kumueka wakala wake.

Russia walipata kibano heavy, pamoja na kwamba wao ndio waliovamia lakini wakajua njia ya kutokea, maiti ngapi zilitapakaa katika miji ya Kyiv za wanajeshi wa russia?

Ukrean walipokataa kuweka silaha chini nini kilitokea? Sasa Zelensky bado ni rais wa Ukraine na hakuna mbabe toka russia kumtoa madarkani
Nafuu ungekuwa walau Kilaza ungejaribu kuficha Upumbavu wako.....lakini kwa bahati mbaya Ubongo wako umejaa kamasi na ndio maana umeleta utetezi/hoja nyonge na dhifu zisio na mashiko
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi mnakumbuka Pro Russia walikuwa wanasema huyu jamaa Yuko Poland anachofanya ni maigizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unajua watu wanaipendaga Russia wanamapungufu Fulani hivi
Kabisa mkuu watubwanaoipenda Russia wana mapungufu makubwa sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi mnakumbuka Pro Russia walikuwa wanasema huyu jamaa Yuko Poland anachofanya ni maigizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unajua watu wanaipendaga Russia wanamapungufu Fulani hivi
Kabisa mkuu watubwanaoipenda Russia wana mapungufu makubwa sana
 
Nafuu ungekuwa walau Kilaza ungejaribu kuficha Upumbavu wako.....lakini kwa bahati mbaya Ubongo wako umejaa kamasi na ndio maana umeleta utetezi/hoja nyonge na dhifu zisio na mashiko
putini aliambiwa zamani ame-miscalculate kuingia kwenye ile vita., sasa unaona kashindwa kumuweka wakala wake
 
18+

Video from social networks, filmed, presumably, in Dnipro.

The military of the Armed Forces of Ukraine beat the inhabitants of the city and mock them, filming everything on camera.

Why people were detained is not exactly known. In social networks they write that they had pro-Russian positions. Galip SV
 
Roman Antonovsky, writer, publicist, author of the Telegram channel "Sons of the Monarchy" @SonOfMonarchy

Western and Ukrainian propaganda has done the impossible.

Russian (and not only Russian) citizens of Russia are beginning to rally on the basis of popular patriotism.

I remember that many of my apolitical or slightly frontier friends were in shock at the end of February. They sincerely did not understand why a special operation was needed, and no one really explained it to them.

Today, most of them (those who have brains) support the special operation, organize assistance to the army and refugees, and are determined to go to complete victory together with the army and the state.

To a large extent, the West and Ukraine contributed to this. Some people, who at first even offered help to the Ukrainians, in response came across only insults and death wishes for their entire family. It seems to me that there is no person left in Russia to whom the Ukrainians would not send the mutilated bodies of our soldiers and promises to kill all his relatives and children in a personal. Moreover, this is written not only by the Nazis from Azov, but by the most ordinary Ukrainian people, duped by Bandera propaganda: girls, teenagers, fathers and mothers of families.

And Ukrainian officials broadcast this cannibalistic rhetoric publicly: the chief military doctor promises to castrate prisoners, the mayor of Dnipro promises to kill Russian families all over the world.

But the Russians cannot be intimidated by this, in us it only causes cold fury and determination to go to the end.
Galip SV
20220403_065911.png
 
Back
Top Bottom