Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe mwenyewe ulichozungumza hujakielewa!

Ulipoambiwa 'Denazification' wewe ulihisi Putin ataenda pale kiev awashike na kuwaua manazi wa pale si ndio!? [emoji1787]

Alaf sijui kwa nini mnajifanya hamuelewi kwa maksudi. Wiki iliopita karibu siku kibao warusi walikuwa wameizingira kiev wakisubiria green light kutoka Kremlin ila baada ya maongezi ya kidiplomasia kupiga hatua wakarudi nyuma as a sign of good faith. Na sio kiev tu bali miji mingi waliyokuwa wameikalia wliondoka baada ya kuwepo matumaini kwenye diplomatic talks.

On the other hand marekani hakuwa peke yake Iraq. Kulikuwa na coalition ya nchi takribani nne i.e. USa, UK, Australia na Poland. Alafu Iraqi hakuwa na msaada wa taifa lolote kama ambavyo UKr amesaidiwa na NATO na EU, pia wavamizi hawakuwekewa vikwazo na nchi zilizobakia duniani.

Malengo yalikuwa ni matatu au manne
1. Denazify
2. Demiliterize
3. Russia speaking UKRnians
4. Ukr never to join NATO - ijapokuwa hili putin hakulitaja kwenye hotuba yake.
---_
4. UKR wameshaweka wazi hawatojiunga tena NATO acc. To Zele mwenyewe
3. Russian speaking UKRnians wameshakuwa liberated kwenye majimbo ya luhansk na donesk sasa hivi zimekuwa republic na muda si mrefu watafanya referendum kujiunga Russia
2. Demilitarization nafkiri wewe ni shahidi jinsi military infrastructures za Ukr zimeuawa. Kuanzia kambi za kijeshi, maghala ya silaha, maghala ya mafuta kwa ajili ya jeshi, command posts/centres, air force i.e ndege za kijeshi, helkopta, drones, air defences, Navy etc. Na silaha nyingi zimetekwa wikapelekwa DPR na LPR. Na nimesikia tetesi kwenye makubaliano kuna kipengele Russia wanataka kiwepo kwamba baadae kwenye kulirudisha jeshi la UKr kibali kiwe kinatoka Kremlin. Yaani urusi wawe wanamonitor shughuli na ukuaji tena wa jeshi la ukr.
1. Denazify umeona makao ya azov huko mariupol ilivyoanguka. Baada ya vita kitengo hiko cha nationalists ambao ndio manazi sidhani km kitabakia tena kwenye jeshi la ukr.
Mpk sasa ndio kwanza stage ya kwanza ya operation ya kijeshi bado stage ya pili ambayo ndio imeanza sio muda. Remember Putin is Unpredictable.

NB. Hayo yote yamefanyika huku wakati huo kuna humanitarian corridor ziliwekwa kuruhusu raia watoke, na misaada ya kibinaadamu kwa raia ambao bado walikuwepo maeneo ya mapigano. Zingatia pia misaada ya aina zote waliyopewa wakraine na vikwazo alivyowekewa Russia.




Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Da haya maelezo yamekaa vizuri sana kiongozi.
Kama Kuna mtu hatavelewa hii,huyo ni hataki kuelewa TU kwa makusudi,chuki,husda,wivu,au ukora TU wa kawaida.
Uchambuzi wenye fact hua haupingiki.
Mkuu Triga unaitendea vizuri sana elimu Yako kwa faida ya Uma.
 
mbna Venus Star ni mkristo tena umifatilia thread zake nyingi za nyuma ni za Kidini za kichrsto
mfano hii


na hata hao wengine pia hvyhvyo
Au umekosa HOJA mzee
Mtu ambaye anakimbilia mambo ya Imani ni wakumpuuza mno .... Mimi ni Mkristo Mkatoliki .... Hakuna muislam asiye na ndugu Mkristo na Kwa Mkristo hivyohivyo hakuna asiye na ndugu muislam sasa ukiona mtu anaanza kudharau na kuleta mambo ya kupondea Imani nyingine jua kwanza hana malezi Bora na hajui hata hiyo Imani yake ni WA kupuuzwa tu.
 
umeeleweka
ila sababu US alienda VITANI wakati RUSSIA alikua anafanya OP
nadhani pia tumeelewana
Unaingia nchi nyingine kwa nia ya kulifuta jeshi halafu unasema ni simple operation. Hiyo ni vita.

Itakuwa operation kwa upande wako sababu umeidharau nchi na kuiona dhaifu kijeshi ila kwa waliovamiwa ni vita.
 
Urussi avuliwa chupi tena, mnakumbuka zile habari uchwara kwamba majeshi ya Ukraine 267 wamesalimu amri. Wataalam was vita na Ukraine wamepinga.

-Uliona wapi mateka akaruhusiwa kua na pistol yake.
-Mateka hawana majeraha wala tone la damu
-Mateka nguo safi View attachment 2178653View attachment 2178654
Hata PRONATOAMERICA wenzako hata like Moja wanakunyima kweli mmebanwa na mmebanikwa kwelikweli ...akili zimeanza kuwarudi bado wewe ... Kenya tu mnafuata mafuta Uganda , Marekani wanafata mafuta Mexico halafu unashupaza shingo hapa. Endeleeni na vikwazo Urusi anawagongesha tu.
 
usiwe na wasiwasi, uuchunguzi unafanywa. Kwa bahati nzuri mashahidi wako kibao walioishi chini ya utawala wa Kirusi ambako walishuhudia mara kadhaa kwa macho yao jinsi askarti Mrusi alimwua mtu raia bila sababu; walikuta maiti, wengi walizika maiti (katika mitaa mingine walikuwa na hofu mno hata kutoka nyumbani).
Mashahidi wanaeleza jinsi gani awamu la kwanza la askari Warusi walikuwa wa kawaida, mara nyingi watu wazuri. Baadaye wakaja wengine, vikosi vya wizara ya ndani, walioanza unyama.
Nitaendelea kutafsiri mifano.
Umebaki kukazia Bucha Bucha Bucha ...ndio mmebaki Hapo tu Buchani .... Mzee operesheni haijaisha .... Kuna maeneo mengi yanashambiliwa vipi tena upepo wa mkopo umewaishia
 
Asante Mkuu, Sina cha kuongezea. Mimi ni Mkristo.View attachment 2177814
Sikutaka kujibu.
Ila ntakujibu kiungwana kabisa.
Ukae ukijui wewe ni mjinga na unaungwa mkono wa wajinga wenzio.
Umejuaje dini zetu,hata Mimi sijui wewe ni dini Gani.

Hakuna ushahidi kwamba wanaoitetea Urusi ni waislamu.
Ukae ukijua Urusi sio taifa la kiislam.

Mimi sio muislamu.inatosha.

Kumbuka hakuna kitu kina adhabu Kali kama kumkana Mungu wako.

Nami nasema hapa kuikana dini yangu kwa ajili ya kukufurahisha wewe tu au watu wengine kama wewe ambao hata hatufahamiani na hata ungekua umenishikia kisu bado nisingeikana,labda kwa utadhi wangu binafsi.

Nawapenda sana waislamu,nawaheshimu Sana waislam na ninaishi vizuri na waislam.lakini Mimi sio muislam.
Hakuna dhambi yoyote kwa waislam kuiunga mkono Urusi au Marekani.
Ama waislamu kuipinga Urusi au Marekani.
 
Sikutaka kujibu.
Ila ntakujibu kiungwana kabisa.
Ukae ukijui wewe ni mjinga na unaungwa mkono wa wajinga wenzio.
Umejuaje dini zetu,hata Mimi sijui wewe ni dini Gani.

Hakuna ushahidi kwamba wanaoitetea Urusi ni waislamu.
Ukae ukijua Urusi sio taifa la kiislam.

Mimi sio muislamu.inatosha.

Kumbuka hakuna kitu kina adhabu Kali kama kumkana Mungu wako.

Nami nasema hapa kuikana dini yangu kwa ajili ya kukufurahisha wewe tu au watu wengine kama wewe ambao hata hatufahamiani na hata ungekua umenishikia kisu bado nisingeikana,labda kwa utadhi wangu binafsi.

Nawapenda sana waislamu,nawaheshimu Sana waislam na ninaishi vizuri na waislam.lakini Mimi sio muislam.
Hakuna dhambi yoyote kwa waislam kuiunga mkono Urusi au Marekani.
Ama waislamu kuipinga Urusi au Marekani.
Aliyetabiri Imani/dini za watu sio NYUNDO YA MOTO ni F9T hata Mimi alinitaja humo kuwa ni muislamu jihadist .
 
Hata PRONATOAMERICA wenzako hata like Moja wanakunyima kweli mmebanwa na mmebanikwa kwelikweli ...akili zimeanza kuwarudi bado wewe ... Kenya tu mnafuata mafuta Uganda , Marekani wanafata mafuta Mexico halafu unashupaza shingo hapa. Endeleeni na vikwazo Urusi anawagongesha tu.
Siko hapa kwa minajili ya kupata likes, Niko hapa kupitisha ujumbe. Watoto wadogo kama wewe ndo mnapagawa na vitu vya kijinga kama hivyo. Ukikua utanielewa
 

Like A Pack Of Wild Dogs, Democrats Have Decided To Kill Off Dimentia Biden.​


“It is his turn to be eliminated."Steve Watson
Fox News host Tucker Carlson noted that footage of Joe Biden wandering around the White House on his own as the rest of his handlers and Democratic underlings fawn before a visiting Barack Obama is a perfect visualisation of what the future holds.
After playing the footage, Carlson pointed out that “no one in Washington thinks the Biden presidency is glorious anymore. They think it’s a disaster. Polls show that voters strongly agree. Joe Biden is now the most unpopular person in virtually any room he enters.”
Carlson described the scene at the White House, noting that “Biden tried to horn in on the conversation swirling around Obama. Everyone involved in that conversation, including Kamala Harris, who supposedly works for Biden, ignored Biden completely.”
He continued, “Biden desperately tried to get Obama’s attention. He puts his hand on Obama’s shoulder. He even calls him “Barack” like they’re friends, but Obama blows him off. He acts like Biden is not even there. Ask yourself if you have ever in your life, seen anything sadder than that?”
The host then pointed out that Obama for years maligned Biden, kept him on the periphery and “mocked him relentlessly as an old White guy.”
Carlson compared Biden’s abandonment to a pack of dogs leaving behind an old weak member, declaring “it’s nothing personal. It’s a matter of group survival and that’s exactly how the Democratic Party operates.”
He continued, “Individuals are irrelevant to the party. The group is all that matters. No one at the DNC actually cares about Joe Biden or ever has.”
“On some level, Joe Biden knows this. He’s spent his life in the Democratic Party. He’s never worked outside of the Democratic Party, so he understands how this ends. Inevitably, after 50 years, it is his turn to be eliminated,” Carlson explained, adding “they’ve decided to replace Joe Biden, period, but how will they do it and who will they replace him with? That’s what we don’t know. “
 
In Italy, heavy trucks are idle due to rising fuel prices, and in Germany, a boycott of Russian gas leads to a general shortage

In Italy, prices for gasoline and diesel fuel are skyrocketing, in connection with which MEPs turned to the EC with a request to support the countries most affected by the decline in oil imports from Russia, including Italy, writes RT.

In Germany, however, the idea of "freezing a little for freedom" is beginning to take on a real and not entirely romantic shape, according to the Swiss TV channel SRF. In the event of a cessation of Russian gas supplies, problems will begin in all areas of German industry, and the economy will plummet to the bottom.
 
🇬🇧In the UK, $326,000 worth of fuel was stolen.

Directly from Devonport Naval Base Plymouth.

The fuel was intended for the landing craft HMS Bulwark, reports The Sun.

The publication emphasizes that Bulwark is a vital part of the defense of the UK.

In the country, against the backdrop of anti-Russian sanctions, prices for electricity and fuel soared.
 
Russia’s Dep. FM warns Europe against “playing with fire” re Kaliningrad blockade


Russia’s Deputy Foreign Minister Alexander Grushko claims a potential European blockade around the Russian enclave of Kaliningrad would be “playing with fire”.


His comments follow statements by Latvian and Lithuanian officials this week pushing for a closure of borders between their countries’ Russian and Belarusian borderlines.


Latvian Defense Minister Artis Pabriks had said Tuesday that the move could only happen if all three Baltic nations made the decision together, echoing Lithuanian FM Gabrielius Landsbergis’ suggestion a wider collective “solution” is needed.
 
Porojo nyiiiiingi !!!!! .
Huyo Putin wako akafikia hatua kuwapiga mkwara wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe na kumuasi rais wao matokeo yake sasa . ndo kwanza askari wake wanazidi kumpenda na kumkubari.

View attachment 2178687

View attachment 2178688

View attachment 2178689

View attachment 2178690
Huku upande wa pili jamaa anaishi kiwasiwasi balaa, yaani hawaamini hadi maafisa wake . hataki kusogereana nao

View attachment 2178697

View attachment 2178699
Hahaha nikajua utakuja na hoja kudhibiti zangu. Umekuja na mapicha na maelezo mengine tofayti ya nilichokiandika hahaha. Ama umekubaliana na nilichokiandika maana ungekuwa hujakubaliana ungepinga kwa hoja. No wonder ndio maana ukaja na mambo ya udini kutaka kuzima mafuriko ya Putin na Urusi yake ila huko nako umefurushwa vikali [emoji1787]

Putin anapambana na nchi 30+ zenye intelijensia madhubuti na wameshatoa kauli mbalimbali za kuashiria kutaka kumdhuru. Lazima aishi kwa mahesabu makali.

FYI rate ya kukubalika kwa Putin imeongezeka kufikia 80%+ sasa hivi. Kupiga picha unasalimiana na wanajeshi wawili watatu sio kigezo kuonesha kupendwa. Approve rate yake ikoje!? Wanajeshi wa Urusi wako Ukr wanapigana vita ngumu na wanashinda huku wakifuata amri na maelekezo kutoka Kremlin Hiyo tu inatosha kuonesha msimamo wao juu ya kiongozi wao Putin.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
India tayari wamelaani mauaji ya Putin Bucha, wewe komaa hapo hapo.

NEW DELHI, April 5 (Reuters) - India on Tuesday condemned the killings of civilians in Ukraine's Bucha and called for an independent investigation, having earlier declined to explicitly criticise the invasion of Ukraine by its long-time partner Russia.
Recent reports of civilian killings in Bucha are deeply disturbing," T.S. Tirumurti, India's permanent representative to the United Nations, told a meeting of the Security Council.

"We unequivocally condemn these killings and support the call for an independent investigation."

Tirumurti delivered his speech shortly after U.S. Secretary of State Antony Blinken had a phone conversation with India's foreign minister, Subrahmanyam Jaishankar. The United States has repeatedly urged India to condemn Russia's aggression since the Feb. 24 invasion.
Independent investugation hujaiona!!?
Na hio ndio tunayoitaka hata mimi nimelaani ila nimetaka hilo
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Hahaha nikajua utakuja na hoja kudhibiti zangu. Umekuja na mapicha na maelezo mengine tofayti ya nilichokiandika hahaha. Ama umekubaliana na nilichokiandika maana ungekuwa hujakubaliana ungepinga kwa hoja. No wonder ndio maana ukaja na mambo ya udini kutaka kuzima mafuriko ya Putin na Urusi yake ila huko nako umefurushwa vikali [emoji1787]

Putin anapambana na nchi 30+ zenye intelijensia madhubuti na wameshatoa kauli mbalimbali za kuashiria kutaka kumdhuru. Lazima aishi kwa mahesabu makali.

FYI rate ya kukubalika kwa Putin imeongezeka kufikia 80%+ sasa hivi. Kupiga picha unasalimiana na wanajeshi wawili watatu sio kigezo kuonesha kupendwa. Approve rate yake ikoje!? Wanajeshi wa Urusi wako Ukr wanapigana vita ngumu na wanashinda huku wakifuata amri na maelekezo kutoka Kremlin Hiyo tu inatosha kuonesha msimamo wao juu ya kiongozi wao Putin.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo approval rate yake iko 80% harafu anaogopa kukaribiana na maafisa wake !!!!!.
 
Kwa hiyo approval rate yake iko 80% harafu anaogopa kukaribiana na maafisa wake !!!!!.
Vipi umejua kutumia X na S. Kwenye kiswahili hatuna X.
Wewe bado ni dogo. Nenda jukwaa lingine.
Screenshot_20220406-110303.png
Screenshot_20220406-110243.png
Screenshot_20220406-110211.png
 
Vipi umejua kutumia X na S. Kwenye kiswahili hatuna X.
Wewe bado ni dogo. Nenda jukwa
😀😀😀😀😀😀😀
Jamaa anakubalika 80%+ na vichaa wenzake ila anawaogopa na hawasogelei maafisa wake 😂😂😂😂😂......

images (17).jpeg
 

US Army Lieutenant General Roger L. Cloutier Captured While Leading Azov Nazis in Ukraine​


Share

Total News Blackout: US General​

Captured Leading Azov Nazis in​

Mariupol (confirmations coming in)​


ScreenHunter-7319-scaled.jpg

Warning: A NATO/Internet wide National Security Letter has been issued blocking all reporting of the alleged capture of an American general in Mariupol.
Our sources on the ground report that the last two helicopters trying to evacuate foreign VIPs from Mariupol were shot down this morning. They were sent on a suicide mission to collect Lt.General Coultier, who was, we are told, hiding in a huge industrial complex with some Special Forces staffers and about 30 Ukrainian Army, not Azov, soldiers. This hours old story from Tass is below.
ScreenHunter-7325.jpg

From KP.Ru:On the morning of April 5, another attempt by the Kiev regime to evacuate the leaders of the Azov nationalist battalion and “others” was thwarted near Mariupol. Two Ukrainian Mi-8 helicopters, which tried to break through to the city from the sea, were shot down from man-portable anti-aircraft missile systems, Igor Konashenkov, spokesman for the Russian Defense Ministry, said at a briefing.
Note that this is the third attempt by Kyiv to pull its war criminals from the crime scene. But it ended the same as the previous ones: the helicopters did not reach Mariupol.
Читайте на WWW.KP.RU: https://www.kp.ru/daily/27375/4568448/

Reports from our friends in the Pentagon say “something’s up” and panic has set in at the White House. Minutes ago, the general showed up on his Linkdin account and we are told that the ranks of retirees and crisis actors (yes they exist) are being scoured for fat bald types that can be green-screened into a show and tell with Zelensky, believed to be hiding in Poland.
ScreenHunter-7324.jpg

Twitter, YouTube and Facebook are busy erasing all posts tied to this, even faster than usual. We await broader confirmation but, if Russia is holding him, they are unlikely to announce it but rather use it as a secret bargaining chip to hold over Biden’s head.​

Based on this, and having seen similar issues where an Israeli general was captured in Syria (confirmed, they sent us his ID card)…and VT helped negotiate his return to his family (for millions paid to Shiite militias).​

We have sources that claim Cloutier had been in and out of Syria through Turkey, working with ISIS and al Qaeda there as well and with terrorist groups in Africa. ​

We say “no denial can be believed…we are now in ‘new territory’”​

There are numerous reports currently circulating claiming that U.S. Army Lieutenant General Roger L. Cloutier was captured by Russian forces in or near Mariupol, Ukraine, where reports claim he was assisting the Azov battalion, which is the official Nazi unit of Ukraine.


According to Wikipedia, Lt. Gen. Roger L. Cloutier:
Roger L. Cloutier Jr. is a lieutenant general in the U.S. Army and commander of Allied Land Command . He previously served as commander of the United States Army in Africa.
Allied Land Command (LANDCOM) formerly Allied Land Forces South East Europe


(LANDSOUTHEAST) is a permanent headquarters for NATO land forces that can be appointed as needed. The commander of LANDCOM is the Alliance’s chief ground warfare advisor. When directed by the Supreme Allied Commander Europe, he provides the core of the headquarters responsible for ground operations. The command is based at Shirinya (Buka), Izmir in Turkey.


A letter to the Pentagon sent a few hours ago went unanswered, which, from a media perspective, is very unusual. If the message had been false, the Pentagon would have denied it immediately. They did NOT deny it. But there has been no official response from the Pentagon as of 6:10 p.m. EDT on Monday.
Links:
Lieutenant General Roger L. Cloutier Jr. assumed command of Allied Land Command in August 2020. Prior to this he served as the commander of U.S. Army Africa / Southern European Task Force. Commander

Russian Defense Ministry: two more Mi-8s sent to evacuate Azov leaders were shot down near Mariupol​

According to the department, this happened on the morning of April 5.
MOSCOW, 5 April. /TASS/. Two Ukrainian Mi-8 helicopters sent to evacuate the leaders of the Azov nationalist battalion were shot down near Mariupol on Tuesday morning.
Igor Konashenkov, official representative of the Russian Defense Ministry, told reporters about this.
“On the morning of April 5, another attempt by the Kiev regime to evacuate the leaders of the Azov nationalist battalion was thwarted in the Mariupol region. Two Ukrainian Mi-8 helicopters that tried to break through to the city from the sea were shot down from man-portable anti-aircraft missile systems,” he said.
___
Total News Blackout: US General Captured Leading Azov Nazis in Mariupol (confirmations coming in) – Veterans Today | Military Foreign Affairs Policy Journal for Clandestine Services
 
Back
Top Bottom