Kuna kitu ama vitu vinashangaza, but no wonder kuona vinatoka midomoni na kwenye akili za watu wa aina flan. Kwanza kila mtu aheshim Imani ya mwenzie sizan kama kuna haja ya kuzodoana kiiman ilhal huu ni uzi kuhusu mgogoro unaoendelea Ukraine dhidi ya Russia.
Kuhusianisha huu mgogoro na issue za kidini ni UPUMBAVU, kwani si kila Muislam yupo upande wa Russia ama kila mkiristo yupo upande wa Ukraine ama NATO ama US. Kuna waislam, wakristo na wasio dini wapo upande wa Russia vile vile kuna waislam, wakristo na wasio dini wapo upande wa Ukraine, US na NATO.
Kuhusianisha huu mgogoro na Iman za watu ni kukosa hoja, na hili litafanywa na wenye uwezo mdogo tu wa kufikiri. Huyu China anayehoji kuhusu US uko Afghanistan, Iraqi, Libya na kwingineko ni taifa ambalo limejaa Buddhist... Wanaohoji kuhusu Yugoslavia kulipuliwa na NATO sio waislam pekee bali kwa kila mwenye Sense ya justice na usawa.
Hungary and Georgia aren't Islamic countries, kwanini hawajasimama na Ukraine? If really all Muslim are with Russia... We need to be rational on the way we observe and giving judgements kwenye masuala tofauti tofauti. Unfortunately kwa walio wengi haliwezekani hilo yote kwasababu mindset zao zilivokaa, zimewekwa kufikiria kwa aina flan...
Most of you Guys, mko na little, very little knowledge kuhusu dunia na yaliyomo... Most of you are less informed, na walio na taarifa walau kiasi most wako na taarifa ambazo sio sahihi.
Nawaambia tena kwa upole hakika ni "Ni bora mara 1000 yule adui ajae na panga mkononi kuliko adui ajae na maji ya kunywa yenye sumu wakati una kiu."
We live in the world full of Illusions, what we see are'nt actually what they are.
What could you do the day utakapojua maisha yako yote umeishi ukipigana na rafiki yako ukiamini ndie adui huku ukimkumbatia Adui yako ukiamini ndie rafiki?
Guys, Open your eyes, think rationale... Nobody want you, but they will always be there as much they can use you. Get back to your history, a true history na sio zile history za kupikwa.
Set your mind FREE, then your body, your heart, your soul will follow!