Hapa taarifa tena ya mwanahabari wa Aljazerra, aliyeongea na wakazi wa Bucha. Katika sehemu nilitafsiri, alisikia ushuhuda wa mama Hanna Herega, anayesimulia jinsi alivyoona mauaji ya mwanaume mmoja:
Bucha, Ukraine - Wanalala kifudifudi kwenye mvua, wametawanyika karibu na barabara.
Miili ya watu raia isiyo na uhai imetanda katika mitaa ya Bucha, mji ulio nje kidogo ya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, ambao ulikuwa chini ya uvamizi wa Urusi hadi wiki iliyopita.
Ukraine na washirika wake wameshutumu vikosi vya Urusi kwa kufanya uhalifu wa kivita katika maeneo waliyoteka baada ya kuivamia Ukraine mnamo Februari 24.
Wakati Urusi imekanusha madai hayo kuwa hayana msingi,
taarifa za mashahidi wa mauaji ya watu raia yaliyotokea bila uchochezi. pamoja na picha za mitaa ya mji ulioharibiwa iliyojaa maiti zimefichua mateso makubwa ya wanadamu.
Hanna Herega, mkazi wa Bucha, alisema alishuhudia mwanamume akiuawa na wanajeshi wa Urusi. "Alienda kuchukua kuni wakati ghafla [Warusi] walianza kufyatua risasi. Walimpiga kidogo juu ya kisigino, wakiponda mfupa, na akaanguka chini, "Herega aliiambia Al Jazeera. “Askari aliyempiga alimwambia: ‘Usipige kelele la sivyo nitakupiga tena! ' Na wakageuka. Kisha wakampiga risasi wakatenga mguu wake wa kushoto kabisa, pamoja na buti. Kisha wakampiga kila upande [kifuani.] Na risasi nyingine ikashuka kidogo chini ya panja. Ilikuwa ni risasi ya kulenga kichwani, "aliongeza.
HAPA KIINGEREZA CHAKE KUTOKA
‘It was a controlled shot’: Witness describes Bucha killings
It was a controlled shot’: Witness describes Bucha killings
Al Jazeera Staff
Russia has denied committing war crimes in the Kyiv region after images of civilian corpses sparked international condemnation.
Bucha, Ukraine – They lie face-down in the rain, scattered on and near the road.
The lifeless
bodies of civilians line the streets of Bucha, a town on the outskirts of Ukraine’s capital, Kyiv, that was under Russian occupation until last week.
Ukraine and its allies have accused Russian forces of committing war crimes in the areas they captured after invading Ukraine on February 24.
While Russia has rebuffed the allegations as unfounded, witness accounts of unprovoked civilian killings and images of the destroyed town’s streets littered with corpses have revealed extensive human suffering.
Hanna Herega, a Bucha resident, said she witnessed a man being killed by Russian troops. “He went to get some wood when all of a sudden they [Russians] started shooting. They hit him a bit above the heel, crushing the bone, and he fell down,” Herega told Al Jazeera.
“The shooter shouted: ‘Don’t scream or I will shoot!’ and they turned away. Then they shot off his left leg completely, with the boot. Then they shot him all over this side [on the chest.] And another shot went slightly below the temple. It was a controlled shot to the head,” she added.