NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
sawa sheikh tuendelee kula mtoli kitimoto tutaikuta chini .Haya sio maneno yangu MKUU mie nimenukuu vyanzo vyahuko huko WEST
Nafikiri anaongoza kwa production sio kwa reserve,kumbe kiranja wa dunia ndo anaongoza kwenye mafuta. Nilijua ni Putin .
Mkuu Kama vipi acha kumfuatilia au mweke kwenye ignore list ,hutaona post zake!!!Lable yako ya HOT NEWS unakula MB zetu
Zelensky kutotaka kujiunga na NATO si kwa hofu ya Russia tena ni kwa sababu zake binafsi kama nchi na wananchi wa ukrean, alisema atafanya referendum kuwauliza wananchi wa Ukraine., ikiwa wataafiki wala hakuna tena kizuizi maana russia imepigwa mpaka imechakaaduh mahaba mabaya sana.
1.hivi russia ndo amemweka assad madarakani?
2.hivi umewahi sikia putin amesema anataka kuteka kiev na kumuondoa zelensky madarakani?sijui vyanzo vyako vya habari ni vya nchi gani.
3..Mbona zelensky ameshasema siku nyingi kuwa hatojiunga na NATO tena.
Hapana mie nimenukuu hata sirikali ya FRANCE wanakesi inayowaandama mapadre kwamakosa hayo unataka chanzo BBC VOA CNN nkUmejitahidi wee kujificha kwa mgongo wa Putin lakini uzalendo umekushinda,ustaadh bwana [emoji3][emoji3]
na hapo nani anaongoza sheikh ?Russia siyo Antananarivo
View attachment 2177536
Aya elezea kuhusu maiti kumaliza siku 4 bila kuharibika.Hii dunia imeendelea vya kutosha na kuna vitu huwezi kudanganya kirahisi. Picha za satellite zinaonesha hiyo miili ikiwepo barabarani ule muda majeshi ya Urusi yanaondoka. Kingine wasikilize wale watu waliokuwepo kwenye eneo husika usikie walichokutana nacho wakati wako chini ya majeshi ya Urusi.
Ulipata wimbo wa Jose Mitambo!?na hapo nani anaongoza sheikh ?