Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna kitu ama vitu vinashangaza, but no wonder kuona vinatoka midomoni na kwenye akili za watu wa aina flan. Kwanza kila mtu aheshim Imani ya mwenzie sizan kama kuna haja ya kuzodoana kiiman ilhal huu ni uzi kuhusu mgogoro unaoendelea Ukraine dhidi ya Russia.

Kuhusianisha huu mgogoro na issue za kidini ni UPUMBAVU, kwani si kila Muislam yupo upande wa Russia ama kila mkiristo yupo upande wa Ukraine ama NATO ama US. Kuna waislam, wakristo na wasio dini wapo upande wa Russia vile vile kuna waislam, wakristo na wasio dini wapo upande wa Ukraine, US na NATO.

Kuhusianisha huu mgogoro na Iman za watu ni kukosa hoja, na hili litafanywa na wenye uwezo mdogo tu wa kufikiri. Huyu China anayehoji kuhusu US uko Afghanistan, Iraqi, Libya na kwingineko ni taifa ambalo limejaa Buddhist... Wanaohoji kuhusu Yugoslavia kulipuliwa na NATO sio waislam pekee bali kwa kila mwenye Sense ya justice na usawa.

Hungary and Georgia aren't Islamic countries, kwanini hawajasimama na Ukraine? If really all Muslim are with Russia...

Hii sio vita ya kidini, kua waislam wanapigana na wakristo. Russia gotta more Christians than any other religion nchini hapo. Out of 130Mil Pop. More than half are christians, with only 6.3% wakiwa ni Muslim.

But why we do support them? C'se we know the truth. We stand on the right side not the religion side.

Hizi dini zimeletwa tu. Tumezaliwa tumezikuta. Ulizaliwa kwenye familia ya wakristo umekua ukawa mkristo. Amezaliwa katika familia ya waislam amekua kawa muislam. Na wengineo katika dini nyinginezo.

We need to be rational on the way we observe and giving judgements kwenye masuala tofauti tofauti. Unfortunately kwa walio wengi haliwezekani hilo yote kwasababu mindset zao zilivokaa, zimewekwa kufikiria kwa aina flan...

Most of you Guys, mko na little, very little knowledge kuhusu dunia na yaliyomo... Most of you are less informed, na walio na taarifa walau kiasi most wako na taarifa ambazo sio sahihi.

Nawaambia tena kwa upole hakika ni "Ni bora mara 1000 yule adui ajae na panga mkononi kuliko adui ajae na maji ya kunywa yenye sumu wakati una kiu."

We live in the world full of Illusions, what we see are'nt actually what they are.

What could you do the day utakapojua maisha yako yote umeishi ukipigana na rafiki yako ukiamini ndie adui huku ukimkumbatia Adui yako ukiamini ndie rafiki?

Guys, Open your eyes, think rationale... Nobody want you, but they will always be there as much they can use you. Get back to your history, a true history na sio zile history za kupikwa.

Set your mind FREE, then your body, your heart, your soul will follow!
Tatizo ni ushabiki tu, na ni ngumu kubadili hisia za mutu aliyezama katika ushabiki, ndivyo watanzania tulivyo, utaona hivo kwenye Mpira , utaona hivo kwenye siasa pia, hata kwenye Sanaa!. Hakuna reasoning katika arguments, mbaya zaidi hata wataalamu kwenye nyanja hizo hawatumii taaluma zao ku argue ni ushabiki tu, kiukweli nchi yetu inawatu wa hovyo wengi mno mpaka inakera!
 
Wapi kuna vita labda nijulishe mkuu
Nimeshangaa unaposema unasimama na Russia wakati ni mwazilishi wa vita hii (ni aggressor) kiima ni dhambi..(sitakia kuchambua sababu za vita ni za kidunia siyo kiimani)
 
Ukrainian journalist Dmitry Gordon is included in the register of terrorists and extremists of Rosfinmonitoring.

Earlier, the Investigative Committee of Russia opened a criminal case against Gordon.

He is suspected of inciting ethnic hatred and disseminating deliberately false information about the Russian military.
 
🇷🇺🇺🇦Kremlin spokesman Dmitry Peskov about the Russian military operation in Ukraine:

🔹Russia is interested in Volodymyr Zelenskyy agreeing to the proposed conditions at the Moscow-Kiev talks, aims to end the military operation that way;

🔹the withdrawal of the Russian forces from the Kiev region is a gesture of goodwill to create favorable conditions for the negotiations;

🔹the Kremlin had no plans to kill Zelenskyy, which was reported by some media.
 
Swali la kwanza umejibiwa tayari, swali la pili limejibiwa na picha za satellite zinazoonesha miili ikiwepo wakati Warusi wakiondoka. Pia ujue siyo kwamba Mrusi hatangazi kwamba kaondoa majeshi bali mashambulizi yanaendelea hivyo kupunguza speed ya kuingia katika hayo maeneo.
Lakini pia inaweza kuchukua muda kugundua makaburi ya halaiki yanakuwa nje ya maeneo ya barabara tena kwa uficho.
Ila raia ndio wanaeleza kilichotokea kwani tusiwaamini?
Yame jibiwa na nani? nataka majibu kutoka kwako.
Eti ulaya kuna baridi kwa hiyo miili haiozi yaani una kubaliana na huu upuuzi?
Kwanza ulaya sasa hivi iko kwenye majira ya joto na si yabaridi.

Hakuna anaye unga mkono mauaji lakini hizi propaganda zisizo na kichwa wala miguu ili taifa fulani lionekane baya si nzuri hata kidogo.
Na ndio maana dunia nzima imezipuuza Marekani na vibaraka wake ndo wapo wana piga kelele huku mataifa mengine yakipuuzilia mbali.
 
Georgia faced miracles of Kievan logic.

Kuleba said that Georgia must prove that it is not helping Russia. That is, the burden of proof lies precisely on Tbilisi.

We are talking about accusations previously voiced by Kiev that Georgia allegedly helps Russia in smuggling weapons.

The Georgian authorities called such accusations insulting and demanded proof.

Kyiv responded in his "corporate style".

"We are waiting for official evidence and convincing arguments from Georgia that they are not doing this," Foreign Minister Kuleba said.
 
❗️About the situation around the special operation in Ukraine by this hour.

➖The European Union will continue to supply weapons to Ukraine. The EU does not want Ukraine to lose, so it will continue to arm it, said High Representative for Foreign Affairs and Security Policy Josep Borrell.

➖The EU will sooner or later have to impose restrictions on oil and gas from Russia - the head of the European Council.

➖Germany will refuse to import oil and gas from the Russian Federation "as soon as possible", but this is not a matter of weeks, but years - Finance Minister Christian Lindner.

➖Austria now will not be able to reduce dependence on Russian gas - Minister of Energy.

➖Europe needs to isolate itself from Russia not only in political and trade and economic contacts, but also in the field of culture - Speaker of the Seimas of Lithuania Victoria Cmilyte-Nielsen.

➖The Cabinet of Ministers of Ukraine allowed the territorial defense to use artillery and missile systems. Previously, they were only allowed to use small arms.
 
"Marekani imesema" [emoji2][emoji2][emoji2] wacomunist ni watu wa ajabu sana, Leo wanaamini alichosema Marekani kisa kilichosemwa kinafurahisha roho zao, lakin wakisema wasichopenda kusikia inakuwa propaganda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom