Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakati anaamrisha majeshi yake kuivamia Ukraine bwana Putin alidai anataka kuondoa Manazi wanaoiongoza serikali ya Ukraine, hiyo ilikuwa tarehe 24 March, leo ni zaidi ya mwezi hawajaweza kuondoa hata nazi moja pale Kyiv,

Tarehe 19 March mwaka 2003, majeshi ya marekani yalianza kuishambulia Iraq kwa lengo la kumuondoa Rais Sadamu madarakani eti kwa sababu alikuwa anamiliki siraha za maangamizi.

anyway, wote, USA na Russia walitoa sababu za kijinga sana kuvamilia mataifa hayo mawili, lakini wote walikuwa na objective moja, kuangusha tawala za mataifa hayo.

Tarehe 9 April 2003, serikali ya Sadamu ilianguka, ilichukua wiki tatu kwa wamerekani kutimiza lengo.
leo ni zaidi ya mwezi toka Russia waivamie Ukraine, walichofanikiwa ni kubadili malengo ya uvamizi wao

nadhani nimeeleweka nachozungumzia.
Warusi ni wajinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umebaki kukazia Bucha Bucha Bucha ...ndio mmebaki Hapo tu Buchani .... Mzee operesheni haijaisha .... Kuna maeneo mengi yanashambiliwa vipi tena upepo wa mkopo umewaishia
Kuna mengi. Naogopa jinai ya mauaji ya Bucha si ya mwisho tutakayoona. Ilhali marafiki wa Putin walileta hapa sijui mara kumi ngapi madai hayo yote ni feki, si vibaya kutafuta na kuonyesha hapa ushahidi halisi mara chache.
Matokeo rasmi ya uchunguzi yatafuata baadaye.

Naogopa pia mambo yataendelea vibaya kwa jumla. Maana nikilinganisha na maarifa ya Marekani huko Irak na Afghanistan, Warusi wanaweza kuona mawili
A) ama silaha mpya za kujitetea zinafika haraka, kwa hiyo tutaona mapigano kama Kyiv na Mariupol kwa muda mrefu (btw: Mariupol mapigano yanaendelea )
B) au Warusi wanafaulu kuvunja jeshi la Ukraine, basi kuna uwezekano mkubwa mambo yataendelea kama Iraki na Afghanistan . . .
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Et na wewe unajiita GT.
Yaani na weupe wako kichwani unajiita thinker .!!!!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
Mtu ashakwambia hataki conversations na wewe, lakini bado unaendea kulazimisha.

Unashida gani wewe?
 
RF Armed Forces destroyed 4 fuel and lubricants storage bases in the regions of Nikolaev, Zaporozhye, Kharkov and Chuguev - RF Ministry of Defense.

The main thing from the briefing.

▪️Russian air defense systems shot down five UAVs in the air.

▪️The units of the DPR troops completely cleared the settlement of Sladkoe from the nationalists.

▪️Operational-tactical aviation of the Russian Aerospace Forces hit 29 military facilities of Ukraine.
 


The Ministry of Defense publishes footage of the launch of Caliber cruise missiles from a frigate of the Black Sea Fleet.

The strikes were carried out on Ukrainian bases for storing fuel and lubricants.
 
❗️ The exchange rate of the euro on the Moscow Exchange fell below 81 rubles. for the first time since October 27, 2021. Dollar - below 75 rubles. for the first time since February 16th.
Usiwe na wasiwasi - haitabaki vile. Warusi walijua kabla ya vita kwa nini waliwekeza sehemu kubwa ya utajiri wao si katika rubeli bali katika $$ na €€. Kinyume unaweza kujiuliza kwa nini wala China wala uhindi waliamua kuwekeza akiba kwa Rubel kabla ya vita???
Kwa sasa wamepandisha Ruibel kwa hatua mbalimbali ambazo ni za muda tu.
Tusibishane, tutaiona!
 
Hakuna VITA ambavyo hua vinasimama watu waongee watu wapewe mlo
Hilo limeonekana ama linaonekana kwenye hii OP pekee
Walipeleka MOTO mdo mdo sababu kuna maeneo mengi wanakaa WARUSI pia walienda kwa kazi maalum
Ndo maana nakwambia boss, sababu nyie jeshi lenu ni jeshi kubwa lenye nguvu duniani mtaiita operation mnapelekea moto mdo mdo ila kwa raia wa Ukraine wao kwao ni vita kubwa sana maana wanakufa, makazi yao yanaharibika, wanapoteza viungo, mifumo ya fedha inaharibiwa, uwekezaji wao unaharibika n.k. kwao ni vita ya kukomboa ardhi yao, nchi yao na kuna raia wana silaha wapo front wakipambana kuzuia wasipoteze nchi yao kwenu na wanajitahidi sana.
 
Hakuna VITA ambavyo hua vinasimama watu waongee watu wapewe mlo
Hilo limeonekana ama linaonekana kwenye hii OP pekee
Walipeleka MOTO mdo mdo sababu kuna maeneo mengi wanakaa WARUSI pia walienda kwa kazi maalum
Soma historia kidogo. Ni kawaida kabisa upande mmoja ukijaribu kuvuta wananchi wa upande mwingine wanaleta chakula na mengine.
MArekani iliowekeza sana kupeleka chakula Iraki na Afghanistan wakati mapigano yaliendelea. Afghanistan ilikuwa na vituo vya afya zaidi ya 3000 mnamo mwaka 2018, katibu vyote viligharamiwa na nchi za magharibi wakati vita dhidi ya Taliban iliendelea. . .
Tena hatuwezi kujua picha hizi za Urusi kugawa chakula mbele ya kamera kuna ukweli gani.
 
Mtu ashakwambia hataki conversations na wewe, lakini bado unaendea kulazimisha.

Unashida gani wewe?
kwani hapa tunafanya conservations ? Ficha ujinga wako mkuu .
Hapa tunajadili na kubishana kwa hoja . huwezi ukaongea ugolo humu , then ukasema hutaki kukurekebishe au kukukosoa .
Labda nikukumbushe tu . mtandao huu ni wa Melo , ni yeye ndiye mwenye mamlaka na uwezo wa kunikataza nisimjibu MTU otherwise hakuna member mwingine anaeweza nizuia.
😀😀😀😀😀😀
🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦
 
kwani hapa tunafanya conservations ? Ficha ujinga wako mkuu .
Hapa tunajadili na kubishana kwa hoja . huwezi ukaongea ugolo humu , then ukasema hutaki kukurekebishe au kukukosoa .
Labda nikukumbushe tu . mtandao huu ni wa Melo , ni yeye ndiye mwenye mamlaka na uwezo wa kunikataza nisimjibu MTU otherwise hakuna member mwingine anaeweza nizuia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
Sorry for typo, I meant conversations.

Anyway, tumelelewa na kukua tofauti na ndio maana tuna behave tofauti.

Sioni tatizo mtu akisema hataki kufanya conversation na Mimi.

Unless you are bad blood ndio maana una behave namna hii.
 
Top US General Calls for MORE BASES in Eastern Europe

Gen. Mark Milley has claimed countries like Poland & the Baltic states are willing to pay for the facilities.

The Joint Chiefs of Staff chairman also suggested rotating US troops in Europe as a cost-saving measure to Congress.

Expansion of the US deployment in Europe is planned to be discussed during a NATO summit in June.
 
An American military analyst accused Ukrainian forces of killing people in Bucha.

Former UN weapons inspector for Iraq Scott Ritter said the Russian approach is to try not to harm civilians.

But the Kyiv authorities say that "if you cooperate with the Russians, you will die."

Ritter noted that this is known from the message of the Ukrainian National Police, which went to Bucha on April 1 to liquidate "collaborators".

“These people were killed on April 1st by the Ukrainian National Police. And then the US President comes out and says that this is a war crime committed by the Russians,” he said.
 
Back
Top Bottom