Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Je tushangae kilio cha msemaji huyu? Urusi unavunja utaratibu wa kiamtaifa kwa kushambulia hovyo halafu inashangaa kwamba uhusiano uliojengwa kwa miaka mingi unaharibika??

"Russian Foreign Ministry official Maria Zakharova said on Wednesday that Moscow was considering countermeasures against Tokyo, which has imposed a series of sanctions on Russia over its invasion of Ukraine.

Japan's government "is stoking anti-Russian hysteria in Japanese society," Zakharova told reporters at a news conference. She also criticized Japan for "obediently following instructions received from across the ocean" and said Tokyo was undermining Russia-Japan relations. "
“The current Japanese authorities are consistently destroying the positive mutually beneficial cooperation that was carefully created over many years by their predecessors,” Zakharova said.

 
Sorry for typo, I meant conversations.

Anyway, tumelelewa na kukua tofauti na ndio maana tuna behave tofauti.

Sioni tatizo mtu akisema hataki kufanya conversation na Mimi.

Unless you are bad blood ndio maana una behave namna hii.
Nimekwambia hivi hili ni jukwaa huru . unauwezo wa kuweka na kuandika chochote humu . lakini huna uwezo wa kuwazuia wanajukwaa kuchambua na kuijadili kile ulichokiandika .
Yeye aliyeanzisha forum hii aliweka options za #Quote ,#Thanks and #Reply , kwamba alikua kichaa ?.
Labda nikuulize ndugu MTETEZI , hivi mtu atokee hapa akaandika kitu kikakufurahisha na kukukosha , but mtu huyo akakwambia usiki LIKE kitu hicho. Hivi kwa mwono wako mtu huyo yuko sahihi?. Kinyume chake ni kwenye kum reply mtu.
 
Russia siyo Zimbabwe
26928.jpeg
 
Unatukana watu wakati Maandazi, Chapati, mikate itokanayo na ngano mnaagiza toka kwao!?
RUSSIA SIYO ZIMBABWE
View attachment 2178851
😀😀😀😀kweli kabisa mkuu .
Yaani unawatukana US wakati unameza mavidonge ya ARV kutoka kwao . tena wanakupa ya bure.
🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
 
US mjanja sana yeye Drone zake za kila aina zimemegwa na wa #Iran hadi siku izi kaacha chokochoko zake za kumchokoza muiRan.. Sasa kwann US hapekeki Drone zake Ukraine? Kwann hapeleki air defence systems km Patriot nk... US amempa mSaudi Arabia kila aina ya mifumo yakisasa ya ulinzi lakini kwa drone za waasi wakiHouthi wanaopewa low technology drones na Iran bado zimeichakaza Saud na UAE hadi Saud kakubari yaishe na waHouthi wa Yemen nasasa Vita wamekubaliana visimame..kwa uwezo wa Russia wa missiles unadhan US ni mjinga kupeleka zana zake maana zitaharibiwa vibaya sana ata Israel amekataa kupeleka #Iron domes zake
 
Mahojiano na YULIA GORBUNOVA, mpelelezi wa Human Rights Watch HRW. HRW ni shirika lisilo la kiserikali ambalo limewahi kufanya utafiti katika vita na mapigano mengi, ikionyesha jinai za kivita za pande zote, pamoja na jeshi la Marekani na Israeli.

GORBUNOVA: Kwa hivyo nimemhoji shahidi katika mji wa Bucha, ulioko kilomita 30 hivi kaskazini-magharibi mwa Kyiv.

Na kesi ambayo niliandika inarejelea matukio ambayo yalifanyika mnamo Machi 4, wakati vikosi vya Urusi vilikuwa vinaikalia Bucha.

Na mnamo Machi 4, walileta karibu wakaazi 40 au 50 wa mji huo kwenye uwanja huo ili kuwahoji, kuangalia simu zao, kujua ikiwa wapiganaji wowote kati yao, washiriki wa ulinzi wa eneo.

Kwa hiyo watu walikuwa huko kwa saa nyingi, na kulikuwa na baridi sana. Na wakati fulani, askari wa Kirusi walileta wanaume watano ambao waliwahi kuwakusanya, na wakawalazimisha kupiga magoti kando ya barabara. Na wakawafanya wavue viatu vyao. Na kisha wakavuta fulana zao juu ya vichwa vyao. Na kisha wakampiga risasi mmoja wa watu hao nyuma ya kichwa hivyo akaanguka. Na, unajua, kila mtu aliyekuwa kwenye uwanja alipiga mayowe. Na kisha kamanda akacheka na kusema, unajua, usijali; tuko hapa kuwasafisha na uchafu.

Kiingereza:
 
Nafurahi sana mtu anapobuni dini ya mtu. Mimi ni mkristo tena hai. Sasa mtu akidhani tunaounga mkono Russia ni waislamu tu kapotea tena mbali sana.

Hata hoja zao zimepotea. Hawana hakika na wanachoongea.

Laiti wangejua malengo ya NATOAMERICA wasingemwabudu USA.
Usiwajibu hao, hawana hoja wamekimbilia kwenye udini.
 
Usiwajibu hao, hawana hoja wamekimbilia kwenye udini.
😁😁😁😁ni kama mashabiki wa kichaa Putin walivyokimbilia kwenye ushoga 😂😂😂😂😂
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
 
Maelezo ya diwani wa Bucha, mama Kateryna Ukraintseva, kuhusu kile alichoona yeye:

Wakati fulani, askari wa Kirusi walitoa chakula chao kavu kwa watu katika basement, na kisha kurusha grenedi ndani ya basement. Hiyo ilitokea. Sina data kuhusu majeruhi kutoka kwa hadithi hiyo. Ilitokea wakati wa moja ya "operesheni zao za kusafisha," waliogopa kuingia kwenye chumba cha chini katika nyumba ya ghorofa penye giza, kwa hiyo walitupa grenedi ndani. Kwa bahati nzuri, hakuna mtu aliyekufa.

Nilipata picha kwamba kulikuwa na vikosi tofauti vilivyotawanywa kote Bucha - wote walikuwa na tabia tofauti. Kitovu cha mji kilipata bahati - kulikuwa na aina fulani ya kikosi cha matibabu huko. Walikusanya waliojeruhiwa - hata walitoa mafuta yao ya dizeli kwa hospitali. Vijana hao walikuwa wachanga sana, karibu kama wanafunzi wa chuo kikuu. Walipokuwa wakitoa dizeli, walisema walitakiwa kuendelea hadi Kyiv, lakini hawakutaka - na kwamba ingekuwa bora kusema [kwa wakubwa wao] kwamba wangeishiwa na mafuta. Baadhi yao hawakutaka kupigana.

Lakini hao waliokuja mwanzoni – walikuwa wakorofi kama wanyama. Watu wengi wamepotea. Hatujui kilichotokea kwao.

Kiingereza chake: ‘They gave their rations to the people in the basement, then threw down a grenade’ Bucha City Council Deputy Kateryna Ukraintseva describes life under Russian occupation. — Meduza
 
Director of the Foreign Intelligence Service of the Russian Federation wrote an article about Ukraine. We collected the main quotes of Sergei Naryshkin:

▫️ Russia's special operation will put an end to attempts to turn Ukraine "into a Russophobic puppet state"
▫️ at stake is the architecture of the entire world order
▫️ The United States is trying to prolong the conflict in Ukraine and is sending militants there to organize a terrorist underground
▫️ NATO's plan is to turn Ukraine "into a kind of Afghanistan"
▫️ The West is implanting an ideology in the world that it does not believe in
▫️ Russia is creating a multipolar world from which even its opponents will benefit
 
🇱🇻Latvia agreed to pay for gas in rubles and immediately got on the list of enemies of Ukraine.

The Baltic branch of the site "Peacemaker" called the "Kremlin's agent of influence" the largest Latvian supplier of natural gas - the company Latvijas Gāze.

The reason for the stigma "enemy of Ukraine" was the company's statement that it is ready to buy Russian gas for rubles and does not see this as a violation of the sanctions regime.
 
IMG_20220407_122059_213.jpg

💸The Russian currency continues to strengthen its position.

The euro exchange rate fell below 83 rubles for the first time since December 27, 2021.

The dollar exchange rate fell below 77 rubles for the first time since February 21.

The Russian currency reached the "pre-special" level by March 29 and has remained at a stable level since then.

C-sanctions.
 
🇬🇧 British oil company Shell expects to lose up to $5 billion in assets linked to the Russian market in the first quarter of 2022 after pulling out from the country due to the events in Ukraine.

On Wednesday, Shell President Gretchen Watkins along with executives of other oil firms denied keeping energy prices artificially high for additional profit amid the situation in Ukraine while testifying before the US Congress.
 
"There can be no negotiations without the participation of Belarus": Lukashenka spoke about the negotiation process between Russia and Ukraine.

Belarus proceeds from the fact that "this war is behind the fence of our country, and it seriously affects the situation in our country," the Belarusian leader stressed.
 
Back
Top Bottom