Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
watatunga kila story ila c wanaongoza hawa huko field#BREAKING Situation in Borodianka near Kiev is "much more horrific" than in Bucha, says Zelensky
. acha wale kifinyo KENGE hawa
watatunga kila story ila c wanaongoza hawa huko field#BREAKING Situation in Borodianka near Kiev is "much more horrific" than in Bucha, says Zelensky
wako hapa akina mama , wanafuraha kweli kweli , namuona na mama yako Amenona sana siku hizi😂😂😂😂😂😂😂 maana NYUMA hakuwa hivi .Kuna habari gani mpya kutoka Umoja wa akina mama ulaya manake vikao kila siku utafikir wamama wa mbagala na buza.
nisaidie> hoja gani?Jibu hoja zangu acha visingizio mkuu.
Hii lugha inanikumbusha kuhusu hao majenerali wadume kabisa wa Arjentina, walipoenda kukomboa visiwa vya Las Malvinas..... mwaka 1982. Akina dume walichapwa vibaya... Na nani?? wakinamama . . . . (hasa Mama Margret Thatcher, wakati ule waziri mkuu wa Uingereza..)Kuna habari gani mpya kutoka Umoja wa akina mama ulaya manake vikao kila siku utafikir wamama wa mbagala na buza.
Hapa sasa hivi kukitangazwa visa free za kwenda Urussi au western countries, amini usiamini pro Russia wote wataenda nchi za magharibi. Urussi kuna nuka shida na umaskini