
Kitu ambacho Huwa hamuwlewi kuwa banhawapigwi watu ambao hawajawekeza sehemu husika.Vituko vya mwaka, eti urussi imeban prime minister na raia wengine wa new zealand kuingia urussi. Mimi mwenye hata bure siwezi enda uko manake kumejaa umaskini na baridi
Russia bans New Zealand Prime Minister Ardern and 129 other citizens from entering
Binafsi najaribu kuwa kuwaza huu msafari uliishiaje mana walikua wamejipanga haswaIla urusi amekula kipigo si kidogo jamani tuache utani,hivi mnakumbuka ule msafara wa urusi wa kijeshi wa km 64 ulikoishia
Wanataka kui'ban mara ngapi [emoji848][emoji848][emoji848]
Walisahau km walishatutangazia kuwa wamebanWanataka kui'ban mara ngapi [emoji848][emoji848][emoji848]
Warusi wa jf aka Warusi wa kinondoni Moscow 😂Kuna sehemu nimeuliza huyo Russia kama kweli Kidume akatae kabisa kuwauzia hasa Mataifa ya NATO tuone kama ataweza kusurvive hata kwa mwezi mzima,uchumi wake mwenyewe ni wa kawaida tu ukiweka na dose ya sanctions ndiyo kabisaa,hiyo jeuri anaitoa wapi ya kutokuuza.
Sasa hivi Warussi wa JF wamesusa kutuletea update za Ukraine kwenyewe,kuna mmoja alikuwaga anaweka ki ramani flan cha maeneo yanayokaliwa na Russia,sasa hivi sijui kapatwa na nini,ako kimyaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikumbana na changamoto nyingi mno kuanzia hali mbaya ya hewa, kuishiwa mafuta, upungufu wa chakula bila kusahau upinzani mkali kutoka kwa wazalendo wa Ukraine mwishowe waliamua kujiondoa kabisa na kujiimarisha huko Ukraine mashariki.Ila urusi amekula kipigo si kidogo jamani tuache utani,hivi mnakumbuka ule msafara wa urusi wa kijeshi wa km 64 ulikoishia