the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,611
- 7,063
Suala ni kwamba Putin uwezo wa kuisambaratisha kabisa Ukraine anao, hilo ni jibu kwa wanaoibeza Urusi eti kwa sababu vita inachukua muda mrefuSasa akitumia hizo silaha yeye atabaki salama? Au unadhani hizo silaha zitaimaliza Ukraine peke yake bila kuleta madhara makubwa kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app