the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,611
- 7,063
Suala ni kwamba Putin uwezo wa kuisambaratisha kabisa Ukraine anao, hilo ni jibu kwa wanaoibeza Urusi eti kwa sababu vita inachukua muda mrefuSasa akitumia hizo silaha yeye atabaki salama? Au unadhani hizo silaha zitaimaliza Ukraine peke yake bila kuleta madhara makubwa kwake.
Una ushabiki wa simba na yanga unaifikilia vita kwa upeo mdogo Sana, kwa akili yako unafikili ukraine hana ant missile system ambazo zinaweza kufanya interception ya makombora urusi. Kama Kweli wewe unafuatilia sio makombora yote anayorusha russia yana hit kwenye target mengin yanakuwa intercepted. Hata hivyo kwenye vita hua wanaibuka warriors kwenye regiments zote hata kwenye duru za ujasusi na pia usifikili Ukraine iko peke yake kuna invisible hand ya mabeberu. Maamuzi ya Russia yataigharimu sana muda ni mwalimuKuna watu wanachekesha sana mkuu. Urusi akiamua kutumia silaha zake za mass destructions sio tu ataipiga, bali ataipoteza kabisa Ukraine kufumba na kufumbua. Putin hataki tu kuua raia na kwenda kinyume na sheria za vita, ndio maana zoezi linachukua muda kidogo, ila Urusi kufanikiwa kupo pale pale, ni suala tu la muda. Hamna vikwazo ambavyo vitawekwa Putin hakujua kwamba vitawekwa, hilo halimtishi. Vikwazo vinazidi kuongezeka, ila mwamba hana habari, ndio kwanza anazidi kuvuka border kupeleka vifaru
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mwenyewe anahofu ..., hajui kesho itakuaje...Kuna watu wanachekesha sana mkuu. Urusi akiamua kutumia silaha zake za mass destructions sio tu ataipiga, bali ataipoteza kabisa Ukraine kufumba na kufumbua. Putin hataki tu kuua raia na kwenda kinyume na sheria za vita, ndio maana zoezi linachukua muda kidogo, ila Urusi kufanikiwa kupo pale pale, ni suala tu la muda. Hamna vikwazo ambavyo vitawekwa Putin hakujua kwamba vitawekwa, hilo halimtishi. Vikwazo vinazidi kuongezeka, ila mwamba hana habari, ndio kwanza anazidi kuvuka border kupeleka vifaru
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchekeshaji wa kibabu Putin huyo achana naye jina lake tu anajiita frustation unategemea nini hapo kama vimbwaga na vichekeshoWe jamaa umeamua kwa makusudi kabisa kuwa mchekeshaji siyo π
Nyie wenzetu source yenu ya habari ni ipi.??Una ushabiki wa simba na yanga unaifikilia vita kwa upeo mdogo Sana, kwa akili yako unafikili ukraine hana ant missile system ambazo zinaweza kufanya interception ya makombora urusi. Kama Kweli wewe unafuatilia sio makombora yote anayorusha russia yana hit kwenye target mengin yanakuwa intercepted. Hata hivyo kwenye vita hua wanaibuka warriors kwenye regiments zote hata kwenye duru za ujasusi na pia usifikili Ukraine iko peke yake kuna invisible hand ya mabeberu. Maamuzi ya Russia yataigharimu sana muda ni mwalimu
Ni kwamba hujui Urusi ana hypersonic missiles ambazo haziwezi kuwa intercepted au basi tu unataka kubishana?Una ushabiki wa simba na yanga unaifikilia vita kwa upeo mdogo Sana, kwa akili yako unafikili ukraine hana ant missile system ambazo zinaweza kufanya interception ya makombora urusi. Kama Kweli wewe unafuatilia sio makombora yote anayorusha russia yana hit kwenye target mengin yanakuwa intercepted. Hata hivyo kwenye vita hua wanaibuka warriors kwenye regiments zote hata kwenye duru za ujasusi na pia usifikili Ukraine iko peke yake kuna invisible hand ya mabeberu. Maamuzi ya Russia yataigharimu sana muda ni mwalimu
Sio kuchekesha tulisema yeyote atakayeingilia na tulikuwa na maana ya awe bondia,raia,rais au taasisi fulani.We jamaa umeamua kwa makusudi kabisa kuwa mchekeshaji siyo π
Putin alishasema walisitisha mapigano kupisha mazungumzo kama wewe unaona walizidiwa ni wewe.acha kujitetea weka hiyo habari hapa
Urusi Wameanza visingizio yetu macho tuRussiaβs Defense Ministry has pointed to the likely presence of US drones in the air directing an attempted attack on the Russian Black Sea Fleet by Ukrainian gunboats.
Kama ww huna ushabiki kwann unaamini URUSI atashindwa?Una ushabiki wa simba na yanga unaifikilia vita kwa upeo mdogo Sana, kwa akili yako unafikili ukraine hana ant missile system ambazo zinaweza kufanya interception ya makombora urusi. Kama Kweli wewe unafuatilia sio makombora yote anayorusha russia yana hit kwenye target mengin yanakuwa intercepted. Hata hivyo kwenye vita hua wanaibuka warriors kwenye regiments zote hata kwenye duru za ujasusi na pia usifikili Ukraine iko peke yake kuna invisible hand ya mabeberu. Maamuzi ya Russia yataigharimu sana muda ni mwalimu
Yaani nyie jamaa yaani mna Yale mambo ya " Mahaba Niue". Yaani ni kama mtu aseme adui hawezi kuingia getini kwangu, halafu akiingia unasema hawezi kuingia ndani ya nyumba, kaingia hadi sebuleni mnaanza kusema adui ANAPATA SHIDA KUINGIA MASTER BEDROOM KWANGU.Nyinyi si mlisema hapa ndani ya masaa 24 vita inakwisha,kiko wapi sasa hivi. Mlidhani Ukraine ni dhaifu kiasi hicho,endeleeni kuyapindua maneno ndicho mlichobakiza sasa hivi
Tunaibeza sababu ya maneno yenu pro Putin,mlituaminisha hapa kuwa vita itakuwa ya chini ya masaa 24,sasa hivi mmeanza kuhamisha magoli.Urusi kamwe haiwezi kuzitumia hizo silaha ilizonazo sababu iko wazi,hii vita iko nyumbani kwake,akizitumia ni anaimaliza Ukraine na yeye mwenyewe anakwisha,sasa kama hawezi kuzitumia,ya nini kukazania kutuambia hapa anazo silaha ambazo hazina msaada kwake kwa sasa.Suala ni kwamba Putin uwezo wa kuisambaratisha kabisa Ukraine anao, hilo ni jibu kwa wanaoibeza Urusi eti kwa sababu vita inachukua muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe upunguze mahaba yako pia kwa upande unaouegemea, yale yale ya Nyani haoni........ Ni nyinyi hapa mlituletea porojo za vita kumalizika ndani ya masaa 24,sasa hivi mmegeuka mmeanza kuja na vijisababu mia kidogo,mlidhani Ukraine ilikuwa dhaifu kiasi hicho.Yaani nyie jamaa yaani mna Yale mambo ya " Mahaba Niue". Yaani ni kama mtu aseme adui hawezi kuingia getini kwangu, halafu akiingia unasema hawezi kuingia ndani ya nyumba, kaingia hadi sebuleni mnaanza kusema adui ANAPATA SHIDA KUINGIA MASTER BEDROOM KWANGU.
MIMI SIPENDI HUO UVAMIZI WA RUSSIA lakini napenda kuongelea uhalisia.
sasa kama unajua hilo kwanini wewe unataka kumuamulia Biden maisha yake kwa kumwambia akalee wajukuu?Ameamulie nani? Anayeniamulia kuishi ni Mungu pekee na sio mwanadamu.
hili lakwamba PUTIN hakujiandaa kuingia vitani nalipinga
nahili lakuanza kutilia shaka uwezo wa RUSSIA wakat hata week bado hili sidhanii kama lipo sawa
nakama kweli RUSSIA antumia silaha zakawaida kama unavyosema hajatumia hizi zilizoendelea na kaishafikia hizo kilometa unazosema kuingia KIEV basi bado RUSSIA yuko one step ahead ikumbukwe battle field ni UKRAINE
bado hakujawa namuda wakusema tuanze kujudge uwezo wa RUSSIA kijeshi yaani WAR haina hata week kweli mnaanza kuleta hizi longo longo
hadi wewe kweli MKUU[emoji848]
Wehu tuu kama ni kidume aende front,kama wameshindwa kuchukua serikali wanachofanya ni kusababisha casualties tuu kwa wananchi wasio na hatia.Subiri vijana wa PUT IN watakuja kukujibu
Kaka wenzako wanafanya Sana research sisi tukilala mabeberu yanakesha yakifanya study. Tunaweza kujua kama hypersonic kama haidukuliwi aidha lah! kama ingetumika kwenye real battle na sio drilling. Ntachelewa kuamini warusi wana akili kuliko wote, keep this in mind kwenye ufanisi wa silaha regiments zinatunza sana Siri ili wakiingia kwenye battle kupata air au naval supremacy kwa haraka mnoNi kwamba hujui Urusi ana hypersonic missiles ambazo haziwezi kuwa intercepted au basi tu unataka kubishana?
Sent using Jamii Forums mobile