Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ishathibitishwa, huwa nasoma kwa wale reporters waliopo front, kuna baadhi wanajeshi wanazopage telegram pia.
So unakuwa mbele kidogo kupata taarifa, ila mambo mengi huwa hayarepotiwi na Media hata RT wenyewe.
Unampeti peti ....utaona kama atakubaliana na wewe......atakupiga na swali jengine...
 
huwa unasema mda ni mwalimu mzuri sio?, kwakua umevaa rose tinted glass sasahivi sinabudi kukuacha...lets give it some time, mda utaongea! Nitakukumbusha tu !
Now u're talking,na mimi nitakukumbusha pia.
 
Reactions: Tsh
[emoji23][emoji23][emoji23]......kwa hiyo unalikumbuka jina langu .....so naweee unataka kulipiza kisasi kama THE MIGHT RUSSIA anavofanya kwa wenzie....etii
Hapana. Sina mpango wa kulipiza kisasi boss. Nakukumbuka tu ili ninapoona hoja zako niwe na angalizo kutokana na mtazamo wako juu yangu.
 
Amakweli huo niupendo waagape
 
Airbus defends Russian titanium use, urges against sanctions.

“We don’t think sanctions on imports [of titanium] will be appropriate. This will be a small impact on Russia, and would have large consequences on the rest of the countries and the industry. So we think the no-sanction policy actually is the most meaningful one,” — said Airbus CEO Guillaume Faury at the company’s annual general meeting on Tuesday.

@RussiaUSA

Halafu Wayukraine wa Mwigobelo wanakaza shingo ...
 
Muda utaongea [emoji3]
Wala hatuna maneno mengi kama wao,wanaongea mpaka wanasahau walichoongea jana,kuna mwingine hadi alisema kwa uhakika Uchaguzi wa France yule mama anashinda sababu ana mitizamo ya Putin[emoji3],baada ya matokeo round ya kwanza kutoka nikamkumbusha,alipita kimyaa mpaka leo,nimemwambia navuta subira mpaka round ya pili [emoji3]
 
Reactions: Tsh

Il-96-300 (Abiria 300) Made in Russia (Cuba)​

View attachment 2185819
[emoji3][emoji3][emoji3]...Kuna hizi makanja nja MBILI NYAMIZI NA TSH zitakuja kukwambia muda ni mwalimu hizo ndege zitaenda wekwa store eti. sijui zitaishiwa mafuta mara marubani wake baada ya siku tatu wataishiwa msosi[emoji23][emoji23][emoji23] mara zitaishia njiani......NYUMBU kabisa
 
Kwa hiyo usahihi ni kama unavyosema, badala ya kubishana ni kukaa kimya na kukumbushana baada ya muda. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…