Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo usahihi ni kama unavyosema, badala ya kubishana ni kukaa kimya na kukumbushana baada ya muda. [emoji3]
Mi nawashauri sio kukaa tu kimya mtoke tu humu ndani ....waje wale pro west wenye hoja zilizosheni madini .....wewe na huyo mwenzio mnajaza serva za jf ..[emoji3][emoji3]...na mkiendelea kukaa humu tutawa piga na zile JAVELINI blaah blaah zenu USELESS ...
 
Ukraine anaongoza 4-0 dakika za lala salama. Mashabiki wanaingia uwanjani hapa mechi inavunjika .... Lakini Urusi anasema mpaka mistarimistari iishe ndio maongezi yaendelee
IMG_20220413_094243_452.jpg
 
Mi nawashauri sio kukaa tu kimya mtoke tu humu ndani ....waje wale pro west wenye hoja zilizosheni madini .....wewe na huyo mwenzio mnajaza serva za jf ..[emoji3][emoji3]...na mkiendelea kukaa humu tutawa piga na zile JAVELINI blaah blaah zenu USELESS ...
bibingi kwa upande wangu hii vita haiitaji akili kubwa kuifanyia analysis. nahitaji matokeo tu ambayo ni Urusi kutimiza malengo yake au Ukraine kumzuia Urusi. Hizi bla bla za hapa katikati ni kwa ajili ya kufurahisha genge tu esp ninapohitaji kupumzisha akili sababu ya aina ya kazi ninazofanya.
 
Top news for the day:

- Kyiv is hatching plans for chemical provocations in the Donbass, a repetition of terrorist attacks with toxic substances against enterprises is possible, said Deputy Foreign Minister of Russia Oleg Syromolotov. He also noted that at the moment a scenario is not ruled out in which nuclear material can be brought to Ukraine from other countries;

- The US State Department seeks to "denigrate the political system of objectionable countries," said Russian Ambassador to the United States Anatoly Antonov;

- more than 1 thousand Ukrainian marines surrendered in Mariupol, said the head of Chechnya Ramzan Kadyrov;

- All schools in the Kamchatka Territory were evacuated in connection with anonymous reports of mining, the press service of the regional government said.
Galip SV
20220411_223049.png
 
Warusi wana liwa vichwa yanii mna retreat na bado tuna wakimbiza kwa vichapo
 
Baba yako na mama yako wanazo ngapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]....atakwambia wanasubiri high LUXURY BIRD USAIDS ZA marekani ZIKIWA ZIMEWABEBA akina beyonce ..na magasho humo humo na villainishi na ma lesbian .......maana hizo za MIGHT RUSSIA ni za kawaida...[emoji1][emoji1][emoji1]
 
UKRAINIAN PRISONERS ARE DIFFERENT EVERY DAY.

The first batch was like in suspended animation: complete disorientation, they did not even know that the LDNR was recognized by Russia. Now they are veterans of the movement, they feel comfortable in the rear of the DPR.

The second batch, 267 Marines, are organized, tidy, well-fed people, controlled by commanders. They gave up on their own decision.

The third tried yesterday to get out of the encirclement and hide. They were beaten and killed, their commanders abandoned them - it was not difficult to catch and force them to surrender. They are dirty, from them amber, as if from a landfill, dressed somehow.

The next batch, 1,000 Marines, motley, aged 20 to 55. Many in neat civilian clothes - they say the uniform burned down. Many of the identity cards have been torn out.

Every third is wounded, every tenth is seriously. They didn't want to give up, but they had to. There will be more to come.
Galip SV
 
Back
Top Bottom