@IllmaticZelensky offered the Russian side to exchange the detained Medvedchuk for Ukrainian prisoners.
Galip SV View attachment 2185731
Mi nawashauri sio kukaa tu kimya mtoke tu humu ndani ....waje wale pro west wenye hoja zilizosheni madini .....wewe na huyo mwenzio mnajaza serva za jf ..[emoji3][emoji3]...na mkiendelea kukaa humu tutawa piga na zile JAVELINI blaah blaah zenu USELESS ...Kwa hiyo usahihi ni kama unavyosema, badala ya kubishana ni kukaa kimya na kukumbushana baada ya muda. [emoji3]
Hali umekuwa ngumu kwa NATO mpaka wametumia sumu Ili wawaokoae au wawaue askari wao wasitoe Siri.Kwa iyo Ukraine ameshinda vita maisha yanaendelea ukraine,Warusi wamerudi makwao ?
Ya kawaida iyo mkuuuRussia siyo Lituhi Mzee. Leo nataka niwape vionjo vya Urusi vijana wa .COM
Naanza kama ifuatavyo
Beriev A-100
Length: 46.59 m (152 ft 10 in)
Wingspan: 50.5 m (165 ft 8 in)
Height: 14.76 m (48 ft 5 in)
Wing area: 300 m2 (3,200 sq ft)
View attachment 2185812
Kwa hiyo hivi ndio tunaambuwa Urusi inapelekewa moto mkali mpaka inakimbia [emoji1787]View attachment 2185750View attachment 2185751View attachment 2185755View attachment 2185756View attachment 2185757miongoni mwa makundi tofauti ya wanajeshi wa ukraine walio sarenda
Baba yako na mama yako wanazo ngapi?🤣🤣🤣
bibingi kwa upande wangu hii vita haiitaji akili kubwa kuifanyia analysis. nahitaji matokeo tu ambayo ni Urusi kutimiza malengo yake au Ukraine kumzuia Urusi. Hizi bla bla za hapa katikati ni kwa ajili ya kufurahisha genge tu esp ninapohitaji kupumzisha akili sababu ya aina ya kazi ninazofanya.Mi nawashauri sio kukaa tu kimya mtoke tu humu ndani ....waje wale pro west wenye hoja zilizosheni madini .....wewe na huyo mwenzio mnajaza serva za jf ..[emoji3][emoji3]...na mkiendelea kukaa humu tutawa piga na zile JAVELINI blaah blaah zenu USELESS ...
Warusi wana liwa vichwa yanii mna retreat na bado tuna wakimbiza kwa vichapo
[emoji23][emoji23][emoji23]....atakwambia wanasubiri high LUXURY BIRD USAIDS ZA marekani ZIKIWA ZIMEWABEBA akina beyonce ..na magasho humo humo na villainishi na ma lesbian .......maana hizo za MIGHT RUSSIA ni za kawaida...[emoji1][emoji1][emoji1]Baba yako na mama yako wanazo ngapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Russia sio mbagala rangi tatu...Il-96-400M Abiria 370 - Made in Russia
View attachment 2185831