The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwa mfano Russia,USA akiingia wanapigwa asubuh kwa sababu si tuu hawapendi vita bali wanamchukia Putin ndio maana kila sehemu wanaandamana.Nchi inaweza ipiga nchi ambayo wananchi hawaitaki Serikali tofauti na hapo ni ngumu itakuwa mchezo wa kuviziana tu
Pili makamanda wa Russia wakiona hakuna mafanikio mstari wa mbele lazima wamwambie Mzee tafuta ceace fire vinginevyo watamgeuka, watoto wao wafe Kisa kumfurahisha Putin?
Na vikwazo vikibana zaidi lazima wataomba poo.