LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nchi inaweza ipiga nchi ambayo wananchi hawaitaki Serikali tofauti na hapo ni ngumu itakuwa mchezo wa kuviziana tu
Kwa mfano Russia,USA akiingia wanapigwa asubuh kwa sababu si tuu hawapendi vita bali wanamchukia Putin ndio maana kila sehemu wanaandamana.

Pili makamanda wa Russia wakiona hakuna mafanikio mstari wa mbele lazima wamwambie Mzee tafuta ceace fire vinginevyo watamgeuka, watoto wao wafe Kisa kumfurahisha Putin?

Na vikwazo vikibana zaidi lazima wataomba poo.
 
Zile mbwembwe za vita itaisha ndani ya masaa 24 ndiyo tufute rasmi siyo?
Niliacha kupigana muda mrefu sana. mpaka leo sipendi ugomvi wowote ule..

Hiyo ni baada ya kupigwa na mtu ambae nilifikiria naweza mpiga hata kwa mkono mmoja. Baada ya dakika tano nikashika mawe kama bwana Putin [emoji3]
 
Jamaa kaonyesha udhaifu sana kuingiza mambo ya nuclear. Yeye amalizie kilichompeleka kama kazidiwa arudi Russia.
Ujue waongoza vita wao hawana akili,wameingia na jeshi kubwa na silaha lundo bila strategy mwisho wa siku loss ya askari na vifaa imekuwa kubwa..

Na wakifanya mkataba wa kusitisha mapigano, Ukraine watatumia hiyo nafasi kujimobilise na pia watakuwa wamejifunza kwamba wawe na jeshi imara kuliko ilivyo awali bila kutegemea NATO..

Pili wananchi wa Ukraine wameungana hadi sio vizuri.
 
Zile mbwembwe za vita itaisha ndani ya masaa 24 ndiyo tufute rasmi siyo?
Mimi sijui haya mambo ya 24 Hrs vita yametoka wapi? Ukraine ni nchi kubwa na wana jeshi ni ile kuwa wanapigana na mkubwa kuliko wao. Sijawahi kuandika 24 hrs ila nimesema hata wapigane mwaka mwisho wa siku Russia atashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…