Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watu wanakula bata huko mariupol nyie mnapiga tubomu twenu
 
Kaka mbona unasambaza propaganda wa kijinga sa,a. Upande mmoja Warusi wanapenda kutanganza hao wabunge wachache sana kama wanaokataa vikwazo dhidi ya Uruyi kama hao wawili kutoa Ueire. Sawa tu.
Sasa wanaingiza jina la mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje McAllister kutoka Ujerumani anayekosoa vikwazo kwa sababu si kali ya kutosha! Mcallister amewahi kusema mara kwa mara vikwazo dhidi ya Urusi vinatakiwa vikali zaidi!
Sasa propaganda yako ya kijinga inajaribu kugeuza habari.
Je uanfikiri Watanzania ni wajinga kiasi unaweza kuleta hapa takataka yoyote??
 
Chenchen a.k.a tick tok battalion 😂😂😂
 
Jamani, Bwana uturehemu! Mathanzua analeta tena vyanzo vyake vya kuaminika - au kwa lugha nyingine takataka kutoka vilindi vya intaneti ya Marekani ambao wapenzi wa kila aina ya nadharia za njama wanakutana!!!
Sijui ni nini inayomhamasisha kuleta mambo yale mabaya zaidi yanaopatikana kwa wazungu hao???
 
Fake news
How do you know it is fake news?I have said "it looks like," because it is a developing story.I should point out that this is not fake news because it is true the

Russian Defense Research Facility south of Moscow is burning.So let's be patient.​

Siyo ya kweli hiyo comrade. Nimeifuatilia mwanzo mwisho.
 
How do you know it is fake news?I have said "it looks like," because it is a developing story.I should point out that this is not fake news because it is true the

Russian Defense Research Facility south of Moscow is burning.So let's be patient.​

Your browser is not able to display this video.

The fire in the building of the Central Research Institute of the Aerospace Defense Forces of the Russian Federation in Tver could break out due to the emergency operation of the power grid. This is the preliminary cause of the fire.

Ruptly video @ruptlynews.
@SPUTNIKBY
 
In war situations every party produces it's own version of events,but time will tell.Kwenye incidence ya Moskva,tuliambiwa it was hit by a Neptune Ukraine made missile and sank.This was the explanation of Ukraine and American authorities.

Urusi on the other hand wao walisema the incident was caused by a fire onboard the vessel,and only sank when it was being towed to Port because of strong winds.Baadae tukajua from an independent source kwamba kumbe it was infact hit by an American Nulear AEGIS System Missile.

Sasa tusubiri,katika mazingira ya vita kuna propaganda nyingi sana.Eventually hata hivyo tutajua ukweli.Hata mimi ndio maana nilisita kusema categorically kwamba ukweli ni huu.I was sceptical.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…