Na putin ashatoa order kwa wajeda wake wasiruhusu hata nzi kutoka wala kuingia ndani ya eneo hilo walilojificha hao nguchiro.
Na hii kauli ukiitazama kwa jicho la ki intelijensia utagundua anacho manisha jasusi mbobevu.
Hakuna komando wala field marshal anaeweza kushindana na njaa wala maji, putin anajua wazi kabisa chakula na maji waliyo nayo hawawezi kuendelea kujificha kwa muda hata wa wiki moja bali itafikia sehemu watatoka wenyewe tu huku wakiwa wamelegea kama walevi wa ulanzi.
Na ndo maana akatoa order ya kutoruhusu hata nzi kupaa paa maeneo hayo ili wasipate hata kipande cha mhogo cha kusogezea siku za kuendelea kujichimbia.
Putin ni mtu smart sana ndugu zangu.