Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

❗️Russia Expands Sanctions List - includes Vice President Harris & Zuckerberg


29 Americans have been included in a so-called “stop list” - including senior leaders, businessmen, experts and journalists over a Russophobic agenda. (Russian Foreign Ministry)


Moscow also imposed similar sanctions on 61 Canadian citizens.
 
15299149_90966042_jpeg20b2a7c29ea32600062965b559ea9c13.jpeg

Mumbai: Tata one of India’s best known brands globally, have cut business ties with Russia as the corporate fallout from the invasion of Ukraine spreads. On Wednesday, Tata Steel, which defines the heritage of the 154-year-old Tata conglomerate, said it has taken a “conscious decision to stop doing business with Russia”.



Previously, British sister concern Jaguar Land Rover (JLR) paused vehicle shipments to Russia citing “trading challenges”. JLR sold over 13,000 luxury vehicles in Russia last year. Tata Steel sourced raw materials, mainly coal, from Russia to produce the metal. “To ensure business continuity, all our steel manufacturing sites in India, the UK and the Netherlands have sourced alternative supplies of raw materials to end its dependence on Russia,” the company said.
 
NATO wameshikwa pabaya tuliwaambia RUSSIA sio ZIMBABWE
ila hawawezi wakafanya huu upuuzi labda wakawaokoe kwamazungumzo hapa sawa !!!!!
Na putin ashatoa order kwa wajeda wake wasiruhusu hata nzi kutoka wala kuingia ndani ya eneo hilo walilojificha hao nguchiro.

Na hii kauli ukiitazama kwa jicho la ki intelijensia utagundua anacho manisha jasusi mbobevu.

Hakuna komando wala field marshal anaeweza kushindana na njaa wala maji, putin anajua wazi kabisa chakula na maji waliyo nayo hawawezi kuendelea kujificha kwa muda hata wa wiki moja bali itafikia sehemu watatoka wenyewe tu huku wakiwa wamelegea kama walevi wa ulanzi.

Na ndo maana akatoa order ya kutoruhusu hata nzi kupaa paa maeneo hayo ili wasipate hata kipande cha mhogo cha kusogezea siku za kuendelea kujichimbia.

Putin ni mtu smart sana ndugu zangu.
 
Sasa kama ni Aljazeera ulitegemea waseme nini??!! Hicho ni chombo cha kipropaganda cha nchi za magharibi...Na kama hufahamu Aljazeera ni chombo kilichoanzishwa na CIA..umesikia Ndugu?
Mwengine huyu, aljazeera inamilikiwa na serikali ya Qatar na agenda yake kuu ni Pro-Arab news. Tafuta habari za Israel hapo aljazeera ndo utaelewa order yao ni gani
 
Alafu urussi alivyokua mchumba aliwataarifu Pentagon kabla majaribio, hii inanikumbusha Iran walipowapatia taarifa kabla kulipua kambi zao Iraq.
Yaani Iran generali wao auliwe alafu bado wanatoa taarifa za mashambulizi kabla kuzifanya. Kweli Marekani anaogopewa
View attachment 2195575
Ntakuja kuposa kwako bila taarifa !?? Nyie wachumba tu...au kama vipi TUPIGE mechi ya kirafiki Jeshi la Kenya na Tanzania
 
Tuna tofautiana kwa mengi lakini hili nakuunga mkono India na China ni maadui ni ngumu kuwa upande mmoja kwenye masuala ya kijeshi.
Sema tu wamejikuta wakiwa upande mmoja kwenye huu mgogoro kwa sababu wote Wana maslahi makubwa kwa Urusi.
BRICS.
B- Brazil.
R- Russia.
I -India.
C- China.
S- South Africa.

Putin hua anafanya kazi ya Ziada kuwaweka pamoja maadui Hawa wawili.
 
Bro nakubishia tena Kwa hoja Kwenye swala la Ujasusi Urussi imeachwa nyuma hasa kwenye hii ishu.amendwa kupachika kibara Ukrain licha ya hiyo nchi kuwa na Warussi wengi,Marekan anachua point Kwa sababu huu uvamizi Alisha Anza kuutangaza tangu mwezi wa kumi na mbili public
Sasa hoja gani hapo. Aliyekwambia Urusi anataka vibaraka nani?
Mambo ya vibaraka mashoga ndio wanafanya kwasababu ni wezi,madhalimu na wenye wivu wa kike kwa nchi zingine

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom