Ndo maana nimekwambia ntaanza kukuitisha karo, unatka Ukraine wakubadili wamepokea silaha ndo ili adui atume makombora. America operates in secrecy, hata Pakistan hawakujua ndege za Navy Seals ziko nchini mwao kumuua Osama.Taarifa yenu imekanushwa na mamlaka za Ukraine
Hawajapokea ndege yoyote ile kutoka kokote kule.
Pro NATO Acheni propaganda unafiki wazee, mnawaangamiza wenzenu bure.
Kama hamtaki kumsaidia Ukraine Bora muweke wazi tu.
Sio mtu anachapika bila sababu kumbe hata silaha hamjampatia[emoji16][emoji116]View attachment 2195493
Kwan sisi tunajali huu moto anaopelekewa UKRAINESerikali halali inayopaswa kuheshimika bila kuingiliwa lazima itokane na ridhaa ya watu wake walio wengi. Kama raia walio wengi hawajaiweka serikali madarakani hiyo serikali haina legitimacy ni fair game kwa yeyote anayetaka na anayeweza kuifanyia chochote.
Sijali madikteta wanaondolewa kwa njia zipi, iwe kwa kura, maandamano, mapinduzi au nguvu kutoka nje ya nchi zao.Wakiondolewa wakiwa hai kuenda kuishi uhamishoni kama Iddi Amin, wakinig'nizwa kama Saddam , kupigwa risasi kwenye handaki kama Gaddafi au kutupwa baharini kama Osama kwangu ni sawa tu. Ila sikubaliani kumuondoa kiongozi aliyechaguliwa kwenye uchaguzi huru na wa haki kwa njia zisizo za kidemokrasia na kikatiba
Juzi Boris Johnson alikuja na mazuri kyiv mbona hakulipuliwa. Kuna mipaka urussi haiwezi vuka, wataishia kuvamia Georgia na Ukraine tuWaambie waiingize moja kwa moja anga la Ukraine waione show ,
Au hujui ndege zote za misaada zinashushia Poland, Kisha kuingiza mizigo kimagendo .
Tunasubiri TU mizgo itue ghalani tuilipue[emoji4]
NdioPutin aagiza usitishwaji wa kuingia walipojificha Azov ndani ya Azov steel plant...
Je Nuke zinaenda tumika?
Jikite kwa mada. Nieleze vipi India na China wanaweza kua kwa defense alliance moja ukizingatia uhasama baina yao.Usichokijua Ni kwamba mpaka sahv,
Dunia nzima China nchi mstari wa mbele kusimama na RUSSIA kwenye Hii Vita.
Na Jana kwenye Baraza la usalama la UN mwakilishi wa China kalaanj nchi zote zinazopeleka silaha Ukraine kua ndio zinachochea Vita.
Mwakilishi wa China kasema mipango ya Putin haiwez kuusimamishwa na vikwazo walivyoweka, zaidi zaid vinawaumiza raia wao wenyewe walioviweka.
Na wao China wamesema kamwe hawatafuata mkumbo wa kuiwekea vikwazo urusi, maana hawana maslahi yoyote na Hii Vita.
Sijajua Kama unafatiliaga habari za Mara kwa Mara, au umekalia kusoma vitabu vya historia mkuu[emoji4]
Nikukumbushe tu MKUU yakwambaNinachokiona kuhusu wanajeshi waliozingirwa huko kwenye kiwanda Moriupoh. Tujiulize ni kwanini hawataki kujisalimisha.
Kama wanavyowaza wengine hata Mimi ninafikiria huenda kuna wanajeshi wengi wa NATO/USA ndio maana kumekuwa na ukakasi huo. Pili kwavyovyote wamepewa maelekezo kuwa wasijisalimishe.
Cha kujiuliza sasa ni je ni kwanini wakomae kutokujisalimisha, na nini matarajio yao??
Japo sijawahi kusikia RAID zilizowahi kufanywa na nchi za NATO/USA zikaweka historia vizazi hadi vizazi kama ile ya Wayahudi walipowaikoa wenzao kule Uganda kipindi cha Idi Amin ( 19 Min in Entebbe). Lakini huenda hawa jamaa wa NATO/US wanaangalia namna ya kuwaokoa hao jamaa kwa kufanya Raid iwapo njia zote zitashindikana na iwapo hao jamaa wakiangukia mikononi mwa Russia kutahatarisha maslahi yao Kiusalama.
Mwisho kabisa ninachokiona nadhani hao NATO/US ikishindikana njia zote za kuwaokoa basi WAPO RADHI WAFE TU KULIKO KUANGUKIA MIKONONI MWA RUSSIA
Kwan sisi tunajali huu moto anaopelekewa UKRAINE
Kama yeye anapenda demokrasia pamoja na wewe mshaurini aitishe uchaguzi wakati huu ambao hii OP inaendelea
Hata sisi wenyewe tunawapenda madikteta sana nandio maana tunaumia wakitolewa
Inatakiwa huyu komedian apelekewe moto mpaka aachane na demokrasia nandio lengo letu KUU
GOOO PUT IN GOOOO GOOOO