Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hv telegram ni made in wap MKUU!!!??
Dah hili swali jibu la moja kwa moja gumu...

Telegram founded by two Russian brothers Pavel na Nikolai...

Telegram haijasajiliwa Russia bali Visiwa vya BVI huko Caribbean so hii tunaeza ita legal Domicile ya Telegram.. Ila operations zao zinafanyiwa UAE.

BVI British Virigin Island hiki kisiwa kipo chini ya Malkia wa Uingereza ingawa chajiendesha chenyewe bila kuingiliwa na serikali ya UK...

Sijui utakuwa umenelewa? Ka bado unaeza ingia mtandaoni kufatilia zaidi.
 
Kumekucha, Putin amzuia msichana wake kusafiri ng'ambo akihofia kwamba amepanga kutoroka kabisa.
[EMOJI1787] [EMOJI1787]

Vladimir Putin has blocked his elder daughter from travelling abroad amid fears she did not intend to return to Russia, according to reports from Moscow.

Scientist Dr Maria Vorontsova wanted to fly to a “friendly” country for a tropical beach vacation to mark her 37th birthday next week, it has been claimed.

She planned the romantic getaway with Yevgeny Nagorny, 33, her partner since the breakup of her marriage, according to the General SVR Telegram channel which claims to have inside knowledge from the Kremlin

“Putin responded with a categorical refusal, strengthening the security protection of Maria,” said the report on the Russian outlet.

“According to our information, the president’s eldest daughter did not plan to return to Russia.”
anajua baba ake ni kichaa
na akifanikiwa kutoroka yatakuw kama ya Snowden vs Us
 
Operesheni imewashinda mmehamia huku ...mjue nyie no wehu
 
A native of the village of Abadzekhskaya, Krasnodar region, a member of #1ak #roa colonel "Kuvalda" named Statsenko Alexey Valerievich heroically everything near Mariupol 03/31/22

Ndo maana nimekwambia ntaanza kukuitisha karo, unatka Ukraine wakubadili wamepokea silaha ndo ili adui atume makombora. America operates in secrecy, hata Pakistan hawakujua ndege za Navy Seals ziko nchini mwao kumuua Osama.
Sasa ulileta iyo taarifa ya uwongo Hapa ili iweje?

Au ulikua umelewa mkuu[emoji16]
 
31-year-old native of Surovikino senior lieutenant #10obspn Evgeny Zelenkov carried out the order and laid down his head on the battlefields. No wonder he graduated from the RVVDKU

View attachment 2195345

View attachment 2195339

Yaani hawa mawaziri wote wa Uingereza wamezungumza kauli moja nyakati tofauti.

Tukumbuke Churchill alizungumza hii kauli baada ya kuona hakuna namna zaidi ya kuingia vitani na Hitler, Je huyu Boris anamaanisha nini kuzungumza hivi?

Hizi kauli mbona zinaogopesha? au ni ishara WWIII inakuja?

Kule Azovstal kutakua na askari wengi wa UK, kuna jambo halipo sawa hapa.
Si UK US NATO wala nani atakae ingia vitani na RUSSO
nakama ndio watajaribu kuingia vitani na RUSSO basi UK itabakia historia
Pale US kutatokea mataifa mengi sana sna sanaaa
RUSSIA pia haitakua kama ilivyoleo hii tuionavyo
UCHINA nayo itaparaganyika
Ila macho yangu zaidi nitayaelekeza SPAIN na KOREA 2
 
A minute of denazification in Russian: "today ( 20/04/22 ) is the birthday of our colleague and friend, who has become an example for many of us"
h#Hitler #rashizm
 
Jambo Jena Sana,
Naona sasa na Wewe PRO-NATO Umeanza kukubali UKWELI Sasa kwamba Russia wameichukua mariupol [emoji16]

Mzee ngoma bado mbichi Mariupol, Azov battalion bado wanapeleka moto. Putin amekataa ombi la Chechens la kulipua azovstal steel plant. Hii ni ishara Chechens/ urussi wamelemewa na battalion ya watu 500 peke yake kwa mwezi mzima

President Vladimir Putin called off plans for the Russian military to storm the sprawling Azovstal steel plant in the Ukrainian port city of Mariupol and said on Thursday he wanted Ukrainian forces there to be hermetically sealed in instead.
 
Kumekucha, Putin amzuia msichana wake kusafiri ng'ambo akihofia kwamba amepanga kutoroka kabisa.
[EMOJI1787] [EMOJI1787]

Vladimir Putin has blocked his elder daughter from travelling abroad amid fears she did not intend to return to Russia, according to reports from Moscow.

Scientist Dr Maria Vorontsova wanted to fly to a “friendly” country for a tropical beach vacation to mark her 37th birthday next week, it has been claimed.

She planned the romantic getaway with Yevgeny Nagorny, 33, her partner since the breakup of her marriage, according to the General SVR Telegram channel which claims to have inside knowledge from the Kremlin

“Putin responded with a categorical refusal, strengthening the security protection of Maria,” said the report on the Russian outlet.

“According to our information, the president’s eldest daughter did not plan to return to Russia.”
Hii nayo habari? Bongo bhana
 
Hizo kauli za uingereza zisikutishe hao ni waoga kama nini, tena uingereza ya Churchill ilisha ondoka tena haiwezi kurudi tena hi ya Johnson haina lolote hata haiwezi kuanzisha vita peke yake bila US, uwezo wake au size yake ni nchi kama Zimbabwe, Russia is in other world in military arsenal.

Tena na Zimbabwe yenyewe ikiwa imejipanga iwezi kuipiga kumbuka nwaka 1982 vita ya n Rhodes, UK hana military supremancy kwasasa alisha decline kitambo anabebwa kwa mkumbo wa Nato, huyu cha muhimu alicha bakia nacho ni premier league, tena nayenyewe wanao zimiliki timu sio raia wa uingereza.........
Ukweli mtupu UK akiongea wala hatishi yaani
 
Ukrainian nationalists have almost no armored vehicles left on the territory of the Azovstal plant in Mariupol.

This was reported by the correspondent of "Izvestia" Roman Polshakov.

“Yesterday they had one tank left, and then it was knocked out,” he said.
 
Screenshot_20220421-173813.jpg
Mkuu wa polisi Kharson ... Ameuliwa akiwa kwenye gari lake
 
Jikite kwa mada. Nieleze vipi India na China wanaweza kua kwa defense alliance moja ukizingatia uhasama baina yao.
India na China wote wako upande wa Russia

1. Baada ya katazo la kununua gesi na mafuta kwa rubo, India ndiyo nchi ya kwanza duniani kununua mafuta kwa urusi. Na Putin kwa ubabe katangaza India ndo marafiki wa kweli

2. Mpaka sahivi Hakuna sanction yoyote kutoka China kuhusu urusi, majiran zake China wote wameelekea upande wa NATO.
Yeye kakomaa na msimamo wake ule ule

Ndo maana nakwambia Wewe sujui hii vita inaenda vipi,

Au vyanzo vyako vya habar sio vya kuaminika

Au hufatiliagi Hii Vita Mara kwa Mara mkuu[emoji848]
 
Back
Top Bottom