Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Norway ametuma vifaa 100 vya kudungulia ndege nchini ukraine,

Akizungumza waziri wa ulinzi wa Sweden, Bjon gram amesema nchi Yake imejitolea msaada wa short range missile sysytem zilizotengenezwa Ufaransa kwa ajili ya Ukraine ambazo kwa Sasa hazitumiki Tena na Jeshi la Norway, ila bado ni za kisasa na zinaweza kuwafaa Ukraine kwa sasaView attachment 2194776
Hahaha wanawapa scraper zinapigiwa boda
 
Wewe jamaa ni katuni sana!

Unajifanya unajua mambo kumbe hujui chochote kama wadau wa Tiktok na umebeba bango lao Chenchen ni mashujaa wa Tiktok.

Chenchen hawajaanza kupigana leo mashariki ya Ukraine. Wapiganaji wake walijitoa na kwenda kupigana mashariki ya Ukraine tangu 2014.

Unamjua kamanda Talib wa Chechen aliisaidiaje Donbass mpaka pambano la karibu na uwanja wa ndege? Alikufa 2017.

Nenda kahangaike kama utampata Google au You tube....humpati na wala habari zake hutozisikia. Kwa sababu hujui.

Unamfahamu Eddie Ongaro wewe? Ni Muitalii ambaye alijitolea kupambana kwa kuwalinda wananchi wa LDPR kwa miaka 7. Mwaka 2015 alihama moja kwa moja Italy na kujiunga na 14th battalion of the territorial defense of the LPR ambalo kipindi cha nyuma lilikuwa linaitwa Ghost Brigade. Amekufa mwezi uliyopita wa 3, he covered the ammunition, and saved his comrades.

Kwa nini unahangaika kujifanya mjuzi wakati hujui? Kama hii ya Mariupol umeandika uongo mtupu!
Kaka unahangaika Kuna watu nilikuwa nawaheshimu sana ..ila nimewavua vyeo akiwemo na huyu ... Hata kwenye huu Uzi wamebaki WAPUMBAVU WACHACHE....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inasikitisha sana, kama muda wote huu unabishana humu hujui mambo madogo kama haya!
Nilikuwa nakutafuta kenge wewe na umeingia mzima mbuzi wewe ....[emoji34][emoji34][emoji34].......tuliza tuckel chini nyumbu

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya igizo la Corona kubuma, wazee wameamua kuja na igizo jipya la vita.

The so called SUPER POWER (Russia) imeshindwa kudhibiti kanchi kaduchu kama Ukraine ndani ya miezi miwili!

Mara tunaambiwa wanajeshi wamerudi nyuma (sijui hata nyuma ya wapi?), mara sijui wanajeshi hawana maji wana kiu. POROJO.

Katika maigizo haya yote mawili, kuna jambo linatafutwa ambalo limefichwa machoni pa ulimwengu kwa wakati huu!

Ukweli wa haya maigizo utajulikana kitambo kifupi kijacho!

Dhamira zilizojificha nyuma ya haya maigizo zitafunuliwa!
 
[emoji1787]View attachment 2195193[emoji298]Israel adds China's yuan for the first time ever while cutting its dollar holdings

According to the IMF, the dollar's share of total global currency reserves has fallen to its lowest point in over two decades, sparking speculation over the rise of China's yuan.

Hii taarifa itakolea vizuri nikiacha Source ya taarifa Israel adds China's yuan for the first time ever while cutting its dollar holdings in biggest currency reshuffle in a decade

Ngoja waje pedophile’s wakupinge hapa.
 
Mrusi tajiri Oleg Tinkov aliandika kwenye akaunti yake ya Twita:

“I don’t see a SINGLE beneficiary of this mad war!” wrote the outspoken businessman Oleg Tinkov in a statement on Tuesday. “Innocent people and soldiers are being killed. Generals have woken up from their hangover to understand they have a shit army. And why would the army be good, if everything else in the country is shit and rife with nepotism, lackyism, and servility?

“Dear ‘collective west’, please give Mr Putin a clear exit to save his face and stop this massacre.”
Putin kaanza kupambana na wapinzani wa ndani wa namna hii tokea kitambo sanaa hawa ma oligarch...toka enz za akina Boris Berezovsky, akina Gusinsky and the likes....wafanya biashara hawa wao wanaangalia manufaa yao binafsi tu kwanza na endapo yataathiriwa na hali ya vita usitegemee wakakaa kimya...watapiga kelele tu..ila wanajua kilichowakuta
 
Serikali halali inayopaswa kuheshimika bila kuingiliwa lazima itokane na ridhaa ya watu wake walio wengi. Kama raia walio wengi hawajaiweka serikali madarakani hiyo serikali haina legitimacy ni fair game kwa yeyote anayetaka na anayeweza kuifanyia chochote.
Sijali madikteta wanaondolewa kwa njia zipi, iwe kwa kura, maandamano, mapinduzi au nguvu kutoka nje ya nchi zao.Wakiondolewa wakiwa hai kuenda kuishi uhamishoni kama Iddi Amin, wakinig'nizwa kama Saddam , kupigwa risasi kwenye handaki kama Gaddafi au kutupwa baharini kama Osama kwangu ni sawa tu. Ila sikubaliani kumuondoa kiongozi aliyechaguliwa kwenye uchaguzi huru na wa haki kwa njia zisizo za kidemokrasia na kikatiba
Basi hata hao madikteta wana haki ya kuwashughulikia wale wanao jiita wana demokrasia wanao waona ni hatari kwao kwa hiyo tuliza makalio yako.
 
[emoji1787]View attachment 2195193[emoji298]Israel adds China's yuan for the first time ever while cutting its dollar holdings

According to the IMF, the dollar's share of total global currency reserves has fallen to its lowest point in over two decades, sparking speculation over the rise of China's yuan.

Hii taarifa itakolea vizuri nikiacha Source ya taarifa Israel adds China's yuan for the first time ever while cutting its dollar holdings in biggest currency reshuffle in a decade
why israel ? mbon kam haielewk mana israele ndio uan mwa ameriaka vip wasalit kambi?
 
Hii imekaaje ase [emoji848][emoji1787] View attachment 2195227[emoji298]Russia and Vietnam have agreed to host joint military exercises.
Wazee wa KAZI wavietnam,
Hawa jamaa USA hatawasahau maishani mwao.

Na wangekua wavietnam was miaka ile, bila shaka marekani angeitangazia Dunia kwamba wavietnam Ni magaidi.

Ukiskia jihadi,
Basi ndo ile Vita ya USA na Vietnam miaka iyo.

Unapiga vijitu haviishi,
vinazidi TU kuja mfulurizo utadhan mchwa wametoroka kwenye chuguu[emoji4]
 
Screenshot_20220421-101013.jpg


images (12).jpeg


Yaani hawa mawaziri wote wa Uingereza wamezungumza kauli moja nyakati tofauti.

Tukumbuke Churchill alizungumza hii kauli baada ya kuona hakuna namna zaidi ya kuingia vitani na Hitler, Je huyu Boris anamaanisha nini kuzungumza hivi?

Hizi kauli mbona zinaogopesha? au ni ishara WWIII inakuja?

Kule Azovstal kutakua na askari wengi wa UK, kuna jambo halipo sawa hapa.
 
Back
Top Bottom