Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Mifumo ipi😂😂😂?Mifumo yetu ya ulinzi haiwez ruhusu hilo litokee
Jwtz ama?
Mifumo ipi😂😂😂?Mifumo yetu ya ulinzi haiwez ruhusu hilo litokee
Happy waliobet sio ajabu wakamuua ili mkeka uticki[emoji1787][emoji1787] Uzuri wale jamaa mambo yao huwa hawafanyi bahati mbaya. Kila kitu kinapikwa na kuwekwa hadharani taratibu kama maandalizi ya tukio litakalofuata...
Nikiitizama hii mambo kwa utashi wangu nahisi huyu mzee kutolewa kafara endapo watashindwa na Russia hapo Ukraine... Kulitizama hili maandalizi yako wazi utaona ile Hunter Biden Laptop ishaingia Congress...
Wale walokuwa wakiipinga mwanzo wakiita Russia Propaganda wameanza kuikiri ni Hunter Biden Laptop z real... Na picha za yule mwanae zimetapakaa kila kona ya ulimwengu wa Internet namna alivokuwa anafanya drug and human trafficking.
Sasa kama hapo imagine bado upo hai kisha watu wanaanza kupandia dau kifo chako na hivi sasa yakadiriwa waliobet in favour dau jumla iko zaid ya dollar Mil. 1 karib Billion 2.3 za Tz.. Ajab hao ni raia wa nchi unayoiongoza, ila cha ajab zaidi wengine wanatoka kwenye chama ulipo wewe mwenyewe.
Wapige Lile bomu la Moshi mweupe la kukera Koo na mapafu,Putin aagiza usitishwaji wa kuingia walipojificha Azov ndani ya Azov steel plant...
Je Nuke zinaenda tumika?
Labda Anazungumzia Yale matofali ya nchi 6 kule ngerengere[emoji4]Mifumo ipi[emoji23][emoji23][emoji23]?
Jwtz ama?
Umewaza mbali Sana, Bravo[emoji106]Ninachokiona kuhusu wanajeshi waliozingirwa huko kwenye kiwanda Moriupoh. Tujiulize ni kwanini hawataki kujisalimisha.
Kama wanavyowaza wengine hata Mimi ninafikiria huenda kuna wanajeshi wengi wa NATO/USA ndio maana kumekuwa na ukakasi huo. Pili kwavyovyote wamepewa maelekezo kuwa wasijisalimishe.
Cha kujiuliza sasa ni je ni kwanini wakomae kutokujisalimisha, na nini matarajio yao??
Japo sijawahi kusikia RAID zilizowahi kufanywa na nchi za NATO/USA zikaweka historia vizazi hadi vizazi kama ile ya Wayahudi walipowaikoa wenzao kule Uganda kipindi cha Idi Amin ( 19 Min in Entebbe). Lakini huenda hawa jamaa wa NATO/US wanaangalia namna ya kuwaokoa hao jamaa kwa kufanya Raid iwapo njia zote zitashindikana na iwapo hao jamaa wakiangukia mikononi mwa Russia kutahatarisha maslahi yao Kiusalama.
Mwisho kabisa ninachokiona nadhani hao NATO/US ikishindikana njia zote za kuwaokoa basi WAPO RADHI WAFE TU KULIKO KUANGUKIA MIKONONI MWA RUSSIA
Kuna yule bingwa wa kuleta maiti za wanajeshi upande wa Russia humu ndani.We unachekesha kweli
Ulichokisema ni kwamba chechens ni shitty fighters. Acha ujanja wa kupindisha maneno yako. Hiyo quote inasema kbs jamaa wana reputation ya kuwa wapiganaji wazuri 'fiercest fighters'
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kachanganyikiwa uyo[emoji4][emoji849][emoji849]View attachment 2195091
Hawawezi kumuua... Hapo hiyo nahisi ipo ka Collection of Public Opinionsjuu ya kile walioko nyuma ya Pazia wanachotaka kukifanya... Tutaona mengi mwaka huu.Happy waliobet sio ajabu wakamuua ili mkeka uticki[emoji1787]
Sisemi kituSlava ukraine Slava ukraine.View attachment 2194973
Wale jamaaaa Chechens ni wataalamu wa Urban Warfare..... Miji ikipigwa wao wanapemda kusweep ... Hatari mno wale wajomba.Alfu Kuna kikojozi mmoja anakwambia ni tiktok worior wat f**k jamaa wanapiga hivi je wakimaliza mfungo itakuwaje
JWTZ ndio jukumu lao haswa kulinda mipaka ili kisipite kitu hatarishMifumo ipi[emoji23][emoji23][emoji23]?
Jwtz ama?
Netflix nao hawako nyuma kwenye kampeni ile ile... Na hizi ndizo kampuni zilizo jitangaza mapema kujiondoa Russia baada ya Operation kuanza...Hivi mshajiuliza kwanini hiki kipindi cha huu mgogoro hizi mambi za ushoga zinapigiwa promo kwa speed ya 5G...
Hawa Apple nao wanaendeleza kampeni ile ile View attachment 2195163
Anaweza kuwa, 1) Depressant 2)Hypnosis au 3) Hallucinogenic .... Muonee huruma tu.Ndiyo maana nasema una elements za fanaticism....Mtu mzima unaamua kutuma au kusambaza picha za watu waliokufa...watu wa psychology wanaweza kuelezea vizuri ni Mtu wa Aina gani anayeonekana kufurahia kusambaza picha za waliokufa kwa kurudia na kurudia...yaani it appears ni hobby..siyo Jambo la kawaida kwa tabia ya Aina hiyo...
Tunaichukua yote hiyo....Mkuu unataka kuzidisha ujuaji na uongo yaani jiji muhimu kwa Uchumi wa Ukraine kama Maliopol lilindwe na wanajeshi 5000 uko siliasi kweli ww?
Unaambiwa Maliopol ni kati ya eneo lililokuwa limejizatiti na likiwa na wapiganaji wazoefu na wenye mbinu za hali ya juu.
Kundi la Azov lilikuwa na wapiganaji zaidi ya 6000 ambao wengi wameuawa na bado hujakewa wanajeshi wa Ukraine na bado hujaweka mamruki kutoka nchi mbali mbali walio kuwa wanapigana sambamba na jeshi la Ukraine, sasa ww hiyo idadi ya 5000 umeitoa wapi?
Urusi ina wanajeshi 7000 ambao walikuwa wanapigana kwa kujigawa vikosi 7 kila kikosi kikiwa na wanajeshi 1,000.
Mji wa maliopol na mwambao wote wa Azov ni muhimu mno kwa Uchumi wa Ukraine kuliko hata Odesa na Karkiv.
Nimecheka sana hhhhhh dah! Putin ni namba ingine[emoji849][emoji849]View attachment 2195091
Shughuli imepata vijora 😂😂😂Hii imekaaje ase [emoji848][emoji1787] View attachment 2195227[emoji298]Russia and Vietnam have agreed to host joint military exercises.