kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,563
- 5,170
Sasa Kama wanayo hiyo silaha isiyozuirika si wakaitumie kuwatoa hao nguchiro waliokwama kwenye mahandaki.
Tatizo mnafanya propaganda za Kitoto. Ndo maana huwa nawaangalia tu mnavyojiliwaza. Hatuwaambii Silaha mpya tulizo nazo tukiwafyatua ndo mtajua.
Mnataka tuwaambie silaha mpya tunazopokea ili mjihami. Kama hatuna silaha mpya, nini kimewakimbiza katikati ya Nchi na kukimbilia Mashariki Mpakani Mwa Urusi kwenye Mikoa ya Donbas na Mariupol?
Au ngoja nikudokeze. Marekani katoa Silaha ambazo hata Urusi haijawahi kuona wala hawajui waizue vipi. Inaitwa Switchblades drone.