Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

In Latvia until December 31 announced an energy crisis in the supply of petroleum products

The agency LETA, referring to the order of the Cabinet of Ministers of Latvia, reported that the police and the state revenue service will ensure that oil products are not exported from the country.

“The release to the market of oil product safety reserves is allowed, and the obligation of holders of oil product stocks to prepare them for release is established,” the message says.

At the moment, Latvia has oil reserves that will allow the national economy to function for 90 days.
20220417_182244.png
 
Kweli? Naona tu bei za petroli Ujerumani zimeshuka tena kwa €1.91 kutoka 2.25, dalili ni itashuka zaidi.
 
Huu ujinga huwa mnaupata wapi?!
Ziko sheria na mikataba ya kimataifa kuhusu vita ndio maana watu wanafungwa.
Nyie si mnasema sio Operation ni Vita,na toka day 1 mnaitambua kama Vita-kama ndivyo hakuna VIta inayochagua sasa unacholalamika ni nini?.Tulia mkipate mnachokitafuta-mmchagua mapambano ndio pambaneni kama unaona uwezi surrender.
 
Kwa nini Putin hakumsaidia kubaki madarakani kama alivyofanya kwa dikteta Assad Syiria?
March 7: Pakistan's PM Imran Khan criticizing foreign diplomats who pressured his country to join a UN resolution condemning Russia: "What do you think of us? Are we your slaves that whatever you say, we will do?"

April 10: Imran Khan ousted as Pakistan's PM.

Bado baadhi wanaendelea kuisashabikia hii western hegemony... View attachment 2193077
 
Tofauti ipo.
Marekani alivamia Afghanistan kwa sababu Al Queda walilipua Marekani 9/11 na pia walilipua balozi za US zilizo Tanzania na Kenya mwaka 1998 na mara zote walikiri na kujigamba kufanya hivyo, Taliban waliambiwa wamkabidhi Osama wakagoma.Russia iliivamia Afghanistan kutanua Himaya yake ya Ukomunisti.

US walikuwa wanawasaidia waandamanaji waliokuwa wanauwawa kwa kutaka kumuondoa dikteta Assad madarakani, Russia inamsaidia dikteta Assad kubaki madarakani ili aendelee kuwakandamiza raia wake ambao wamemchoka.

Russia huvamia majirani zake ili kuchukua maeneo ya nchi zao na kuyafanya maeneo yake, US haifanyi hivyo.
Mimi sioni tofauti ya Rusia na Marekani.
Marekani huwa anaonea mataifa mengine, say mataifa ya kiarabu
Rusia pia amekuwa akionea mataifa mengine, hasa mataifa ya eastern europe.

Marekani alivamia Afghanstan,
Rusia alivamia Afghantan pia.

Marekani alivamia Iraq,
Rusia alivamia Geogia.

Wapi tena Marekani alivamia, recently, no where
Rusia, recently alivamia Ukraine, akateka Crimea, Kaivamia tena, anataka kuiteka yote nasikia.

Marekani alisaidia wapiganaji ndani ya Syria.
Rusia alisaidia wapiganaji na wachechnya.

n.k
 
Tofauti ipo.
Marekani alivamia Afghanistan kwa sababu Al Queda walilipua Marekani 9/11 na pia walilipua balozi za US zilizo Tanzania na Kenya mwaka 1998 na mara zote walikiri na kujigamba kufanya hivyo, Taliban waliambiwa wamkabidhi Osama wakagoma.Russia iliivamia Afghanistan kutanua Himaya yake ya Ukomunisti.

US walikuwa wanawasaidia waandamanaji waliokuwa wanauwawa kwa kutaka kumuondoa dikteta Assad madarakani, Russia inamsaidia dikteta Assad kubaki madarakani ili aendelee kuwakandamiza raia wake ambao wamemchoka.

Russia huvamia majirani zake ili kuchukua maeneo ya nchi zao na kuyafanya maeneo yake, US haifanyi hivyo.
Na kule Iraq, je, USA aliivamia na kumuua Saddam Hussein kwa sababu gani?

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndipo Ile kauli ya Putin kumuonya Biden kuacha kupeleka silaha Ukraine maana yataleta majibu wasiyotarajia ndiyo hii, nahisi hizi silaha zinaishia uarabuni au zimeingizwa ulaya, subiri Hali ya maisha iwe ngumu ndiyo wataziona zinavyotumika 😁😁😁😁😁
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa jamaa wanatwambia wanayo Intelligence yote ya jeshi la Russia... ila hawajui exactly wapi silaha wanazotuma zinakoishia... Hawa ni watu wa HOVYO sana.

[emoji298]The United States cannot track exactly where the weapons they sent to Ukraine end up, CNN reported, citing sources in the country's defense ministry.

"The United States has few ways to track the significant shipments of anti-tank, anti-aircraft and other weapons that they sent across the border to Ukraine," the channel said.

According to CNN, in the long term, some of the weapons sent to Kiev, for example, "may end up in the hands of other armed forces and militias that the United States did not intend to arm."
 
Ooh My God!
Jizas!
Wamswalie Mtume!

Huyu mchekeshaji nafikiri anashirikiana Urusi kuidhoofisha Ukraine!
Nina mashaka makubwa! Huyu ni double agent, anafanya kazi na NATO na Put-in wote! Mwanasiasa malaya huyu siyo bure! Ndiyo maana westerners wapo mguu nje mguu ndani!
Eti ni double agent,only in your own small imaginary World
 
Nafkiri Zelensky atakuwa Rais wa dunia., anajiamini, anatekeleza, anapambana, hachoki, ni jasiri na tunaona na kuthibitisha haya leo ni siku ya 60 almost bado Mrusi wa mchongo yuko Donbas., Kyiv ipo well intact, tuko pamoja naye wengi walimkebehi na kusema ni mchekeshaji lakini ni strong kuliko kiongozi yoyote niliyewahi kumsikia.

Kwa ufupi ni kwamba Mrusi hanusi kitu Ukrean hata huko Donbas atarudi kwao na damu za raia wa Ukraine ambao kwa vyovyote walipaswa kuwa salama na nchi yao.
Mkuu hapa nadiriki kusema tena,wanaume wote hapa pro Putin ni waoga kupindukia,wasikilize sababu wanazotoa za kwanini Zelensiky asijitetee ndiyo utaelewa point yangu, wako radhi hata kuruhusu wake zao kwa wale wenye familia wabebwe na Wanaume wenye nguvu na wakabaki wametazama tu kisa aliyemchukua tena kwa nguvu ana mzidi nguvu na uwezo.

Wanaume jasiri ni Pro Zelensiky maana wanaamini katika kujilinda na kujitetea kwa gharama yoyote.
 
Back
Top Bottom