Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Taarifa zinasema kuwa Urusi imeahirisha kulishambulia na kuliteketeza eneo la kiviwanda ambako wanajeshi wa Ukraine wamejificha baada ya kugundulika ya kwamba kuna raia zaidi ya 1,000 walio jificha kwenye eneo hilo.
Sasa Urusi itatumia kikosi maalumu kwa ajili ya kulivamia eneo hilo ili kuepusha maafa dhidi ya raia waliojificha humo.
 
Taarifa kutoka chombo gani cha habari?

Raia hawajajificha, wamechukuliwa mateka.

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Nawasalimu Kwa jina la Shirikisho la Urusi ...Mtaitikia ......Kichapo kiendeleeee
IMG_20220419_191836_459.jpg
 
Putin ana rusha roketi zake hovyo kwa makazi wa watu raia.
Hakuna msingi kwa madai eti "Warusi wanaenda polepole iliwasiumize watu raia"
Wanarusha hovyo kwa shabaha ya kutisha, jinsi walivyofanya Chechnya, na Syria-Aleppo.
Walidai kwamba walitaka kuwaokoa Warusi katika Ukraine, sasa wameharibu makazi ya Mariupol (ilikuwa mji wa 70% Waukraine Warusi) na sasa Kharkiv (angalau 30-40% Waukraine Warusi)

CNN leo>
Kharkiv mayor Igor Terekhov has told CNN that there has been "non-stop bombardment of civilian districts" in the city since Sunday.

Before then, Terekhov said Russian shelling and bombardments had been focused on the outskirts of Kharkiv, Ukraine’s second biggest city located in the east of the country near the Russian border.

Kharkiv has been targeted by Russian strikes since the invasion of Ukraine was launched nearly two months ago.

"In the last few days, [Russian shelling] has been in the center and it’s targeting peaceful civilians," Terekhov told CNN "New Day" Tuesday.

"The enemy is targeting civilians, many people are wounded and some unfortunately dead. In the past day and a half, we’ve had 15 people killed and more than 50 wounded. Those 15 killed was just in one attack."

Terekhov also said that Ukraine would fight for every bit of land and would not agree to territorial concessions while Russian attacks continue.
Nyie si mnasema sio Operation ni Vita,na toka day 1 mnaitambua kama Vita-kama ndivyo hakuna VIta inayochagua sasa unacholalamika ni nini?.Tulia mkipate mnachokitafuta-mmchagua mapambano ndio pambaneni kama unaona uwezi surrender.
 
Urusi anasema ni SPECIAL MILITARY OPERATION, Ukraine na Dunia inasema ni WAR.

Ukraine yuko karibu kuingia EU. Pengine washirika wa EU wakaingia kumkingia kifua Ukraine na vita ikapamba moto zaidi.

Just in case dunia inaingia kwenye vita kubwa zaidi,pengine ya tatu, Je Tanzania inajiqndaa kwa namna yoyote dhidi ya vita hii na athari zake?

Kujiandaa namaanisha;
1- Kuwekeza/kutunza chakula.
2-Kuwekeza/Kutunza mafuta,gesi,umeme.
3-Kununua/Kuhifadhi madawa ya binadamu,mifugo na mazao.
4-Kuwaelimisha watu juu ya matumizi na utunzaji rasilimali. Mfano Vyanzo vya maji,mimea.
5-Ibada kwa wale waamini.
6-Kupunguza matumizi yasiyo lazima na kuwekeza zaidi kwa tahadhari.

Hayo ni baadhi na maandalizi machache tu.

Je kuna haja ya kuenenda kwa tahadhari,kujiandaa kwa kesho tusiyoijua!?

Semper Fi.
Mkuu tunazunguka na chopa Kwanza kuhamasisha anuani ya makazi tukimaliza tutakuja kushughulikia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu ROBOT aliesetiwa humu ..mwenye usemi wake unaosema ......

INASIKITISHA KWAAKWELI / SANA

mi nawashauri tu mumvumilie maana ndo MEDULA kaiseti hivo au kwa lugha ingine anamtindio wa ubongo .....tuvumiliane humu kila mtu anaakili zake .......

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Hahahhh mim mwenye ananishangaza sana, yaani yeye kila kitu "inasikitisha sana" vitu vingine inabidi ucheke tu
 
Vikao viiiiingi bado maamuzi yale yale [emoji241] [emoji241] [emoji241]

[emoji845]Scholz after talks with Biden and Western leaders: The West adheres to the position that NATO should not participate in hostilities in Ukraine[emoji845]

Wakati huo huo Germany kafikia ukomo wa kutoa silaha, [emoji848][emoji847][emoji2958]

[emoji845]We have reached the limit in what we can supply to Ukraine from our own reserves of the German Armed Forces — German Chancellor Scholz[emoji845]

NATO slogan be like No Action Talk Only Msemo wa wadau wa JF
 
Taarifa zinasema kuwa Urusi imeahirisha kulishambulia na kuliteketeza eneo la kiviwanda ambako wanajeshi wa Ukraine wamejificha baada ya kugundulika ya kwamba kuna raia zaidi ya 1,000 walio jificha kwenye eneo hilo.
Sasa Urusi itatumia kikosi maalumu kwa ajili ya kulivamia eneo hilo ili kuepusha maafa dhidi ya raia waliojificha humo.
Hawajajificha wamechukuliwa kama Human shield
 
Back
Top Bottom