Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro NATO Mnakumbuka JAVELINI blaah blaah blaah ....ushuzi mtupu hovyo kabisa akili zenu

[emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums1956262378.jpg
asa hivi hamzipigiii debe kabisaa mmekaa kimya kama kuku wa mdondo .....[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Pro NATO Mnakumbuka JAVELINI blaah blaah blaah ....??????hovyo kabisa akili zenu

[emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2192910 asa hivi hamzigiii debe kabisaa mmekaa kimya kama kuku wa mdondo .....[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Shehena na Takataka kibao za javelin zimetelekezwa na azov kule mariupol kwenye kiwanda Cha chuma.

Silaha tupu bila manpower na kumiliki airspace Ni upuuzi mtupu.

Unashambuliwa unakimbia na kuzitelekeza mwenyewe
 
Pro NATO Mnakumbuka JAVELINI blaah blaah blaah ....??????hovyo kabisa akili zenu

[emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2192910 asa hivi hamzigiii debe kabisaa mmekaa kimya kama kuku wa mdondo .....[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Kuna Wale kimbele kimbele akina Coco reborn ,Nyamizi , sasa hivi wako kimyaaaa,wanachungulia vile Shoga wa Kiev anavyopigwa "miti" na Putin.
 
Huyu Ramzan sijui kafunga swaumu!? Ana hasira balaa!

Uyu
Afu wanajeshi wake sijui anawatrain na Nini,
Ni Mara chache Sana kukutana na maiti za chenchens.

Majamaa hayana presha, yanapigana yameshika camera utadhan yanacheza video game.[emoji4]

Ukraine wangekua na kikosi Kama Cha chenchens Nadhan Hali ya kivita ingekua tofauti sana
 
Pro NATO Mnakumbuka JAVELINI blaah blaah blaah ....??????hovyo kabisa akili zenu

[emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2192910 asa hivi hamzigiii debe kabisaa mmekaa kimya kama kuku wa mdondo .....[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Hizi nazo ni siraha kwa super power kujigamba kazibeba [emoji81][emoji81]chek mfano wa hii ngoma ni sawa na hizo na sarafu za dollar zina baki
2033545571.jpg
 
Back
Top Bottom