mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
Kosa kubwa wamelifanya mabeberu wa kibongo na wachochezi BBC, one sasa kule hali mbaya Ukraine inazidi kufukiwa wao wanaendelea kushangilia........
Eti tumeua Generali wa kivita,
Eti tumeangusha meli ya kivita
Eti tumeua Generali wa kivita,
Eti tumeangusha meli ya kivita