Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

mtangazaji mkongwe nchini korea kaskazini anayetwa ri chun hee amepewa zawadi ya apartment na supreme leader kim jong un.
huyu mama ameanza mwaka 1971, habari zote muhimu za korea kaskazini utaisikia sauti yake.

korea kaskazini ni masikini kuliko chato
Huyu mwanamama alipeleka barua/ombi lakustaafu miaka kadhaa huko nyuma kwa bwana kiduku
Bwana kiduku alimkubalia ila akamwambia kwaumahiri wako ulotukuka kwenye hio idara itabidi uendelee na kazi mama aliendelea kwakipindi kile sasa sijajua kwasasa
Ila nimiongoni mwa wanahabari ama watangazaji maarufu zaidi hapo korea maana kaanza muda na anautangazaji wakipekeeee
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Na mimi Nilikua naona hamna haja ya kuwapiga mabomu Wala Nini,Ni kuhakikisha tu Kuna ulinzi wa kutosha eneo zima la kiwanda then OP inaendelea sehemu nyingine Kama Kule Donbass.Kule chini wakae hata mwaka mzima njaa haina mbabe uvumilivu utawashinda tu.
Kabisa njaa mbaya utachomoka tu mwenyewe ama ufe mwenyewe
 
Habari hizi kamwe hutozisikia BBC, CNN nk... ukraine wana hali mbaya jamani, huruma ya kibinadamu imeanza kuniingia.. putin wasamehe baba.. chukua donbase cremea na mariupol basi. Waachie vipande vingine View attachment 2192999
Wewe kuanzia leo tunakushusha vyeo unakua kuruta
Inatakiwa jamaa apeleke moto sawa sawa yaani apeleke moto kila eneo linalistahili
Jamaa anatakiwa aibebe UKRAINE yote kama inawezekana nakam uwezekano upo apite pia na FINI na SWEDE
Jamaa hutufai team PUT IN team DUMA hatuna mioyo hio aseee[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Ajab zaidi kadri unavyozidi kumfatilia ndivyo unavozidi kuegemea upande wake...

Putin yupo tofauti kabisa na Media zinavyomwelezea... The MAN is SMART... My top Favourite Leader wa 21st Century...
Kabisa jamaa ukiwa unamfatilia unakua upande wake
Uzuri nilianza kumfatilia huyu mwamba miaka takriban saba ama nane nyuma kwahio kelele na propaganda za wamagharibi kwa huyu jamaa kwaupande wangu zilishanikosa muda sanaaa
Leo kuna muda nilipitia official page ya UNICEF walipost ama wamepost pics za wamama wajawazito wanaodai wapo UKRAINE kwenye OP inayoendelea
Aseee WESTERN wanapoteza ama washapoteza sana kwenye angle ya propaganda sababu ya hii OP
Ukipata wakat pitia kule uone koments za waungwana na raia wema
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
As families seek truth, Kremlin refuses to discuss Moskva sinking
Relatives of sailors who were on board Russia’s guided-missile cruiser Moskva have been demanding answers about their missing family members following the sinking of the vessel last week.

Africa lazima tuhakikishe hatupati Marais Madikteta
 
Wewe kuanzia leo tunakushusha vyeo unakua kuruta
Inatakiwa jamaa apeleke moto sawa sawa yaani apeleke moto kila eneo linalistahili
Jamaa anatakiwa aibebe UKRAINE yote kama inawezekana nakam uwezekano upo apite pia na FINI na SWEDE
Jamaa hutufai team PUT IN team DUMA hatuna mioyo hio aseee[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Analeta huruma huruma .......hafai kuwa pro russian

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
mtangazaji mkongwe nchini korea kaskazini anayetwa ri chun hee amepewa zawadi ya apartment na supreme leader kim jong un.
huyu mama ameanza mwaka 1971, habari zote muhimu za korea kaskazini utaisikia sauti yake.

korea kaskazini ni masikini kuliko chato

😂😂😂 Unaona sawa mwanaume tena Mzee kubebeshwa maua hadharani?
 
Back
Top Bottom