Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Putin anavyohangaika kumpata Zelensky
Unasema sio kweli halafu hujui ilivyowaponza😅😅Sio kweli,
Kivipi iliwaponza, fafanua
Fb haikwepeki mkuuu kule kuna sources nyingi na michongo mingi kuliko app nyingneHeheee sawa MKUU
Mwaka jana na mwaka huu nimekua muuminj sana wa hio App yaani sanaa sanaa snaaa
Nimeachana na whatsapp na IG
Wale wataachwa kule kule shimoni wafe mdogo mdogo kwa njaa
Wakiona mambo magumu waliishaambiwa watoke mikono ikiwa kichwani wakakaidi
Wale watakufa taratibu taratibu ama watasalimu amri chaguo nilakwao
Urussi ametangaza kuanza operation mpya ya tatu leo, hii sijui itakuja na balaa gani..
Muwe mnawaambia basi Urusi ...pigeni pale na pale hakuna watu.Putin ana rusha roketi zake hovyo kwa makazi wa watu raia.
Hakuna msingi kwa madai eti "Warusi wanaenda polepole iliwasiumize watu raia"
Wanarusha hovyo kwa shabaha ya kutisha, jinsi walivyofanya Chechnya, na Syria-Aleppo.
Walidai kwamba walitaka kuwaokoa Warusi katika Ukraine, sasa wameharibu makazi ya Mariupol (ilikuwa mji wa 70% Waukraine Warusi) na sasa Kharkiv (angalau 30-40% Waukraine Warusi)
CNN leo>
Kharkiv mayor Igor Terekhov has told CNN that there has been "non-stop bombardment of civilian districts" in the city since Sunday.
Before then, Terekhov said Russian shelling and bombardments had been focused on the outskirts of Kharkiv, Ukraine’s second biggest city located in the east of the country near the Russian border.
Kharkiv has been targeted by Russian strikes since the invasion of Ukraine was launched nearly two months ago.
"In the last few days, [Russian shelling] has been in the center and it’s targeting peaceful civilians," Terekhov told CNN "New Day" Tuesday.
"The enemy is targeting civilians, many people are wounded and some unfortunately dead. In the past day and a half, we’ve had 15 people killed and more than 50 wounded. Those 15 killed was just in one attack."
Terekhov also said that Ukraine would fight for every bit of land and would not agree to territorial concessions while Russian attacks continue.
Pro NATO Mnakumbuka JAVELINI blaah blaah blaah ....ushuzi mtupu hovyo kabisa akili zenu
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2192910 asa hivi hamzipigiii debe kabisaa mmekaa kimya kama kuku wa mdondo .....[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Unarudi unakuta thread imesogea kama page 4 hivi ..unasema yes ntakutana na madini mbalimbali unakutana na Mzee wa "inasikitisha sana Kwa kweli " page mbili au tatu kabisa ...daaah ndio tumeumbwa Kwa mfano wa Mungu na yeye ni mfano wa Mungu. Tumvumilie tu ukikuta unapita tu.Ila jamaa yetu nimeamua kutukera tu?
Hivi ignore button hauijui boss?nilishapiga block kitambo.Ila jamaa yetu umeamua kutukera tu?
Acha aisee.
JAVELINA...JAVELINI [emoji777]
JAVELINA [emoji736]
Ni ndugu yangu na ana stori nzuri tu kipindi kingine. Nashindwa kum ignoreHivi ignore button hauijui boss?nilishapiga block kitambo.
Basi mvumilie maana hakuna namnaNi ndugu yangu na ana stori nzuri tu kipindi kingine. Nashindwa kum ignore
Mimi si mpenzi page Gani nzuri mkuuHeheee sawa MKUU
Mwaka jana na mwaka huu nimekua muuminj sana wa hio App yaani sanaa sanaa snaaa
Nimeachana na whatsapp na IG
Huyu ROBOT aliesetiwa humu ..mwenye usemi wake unaosema ......
INASIKITISHA KWAAKWELI / SANA
mi nawashauri tu mumvumilie maana ndo MEDULA kaiseti hivo au kwa lugha ingine anamtindio wa ubongo .....tuvumiliane humu kila mtu anaakili zake .......
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Basi vumilia tu mzee.Ni ndugu yangu na ana stori nzuri tu kipindi kingine. Nashindwa kum ignore
Hata mm nimeisha Block hii kengeHivi ignore button hauijui boss?nilishapiga block kitambo.