Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

mbona kama picha ya 1945 huko
na hii hapo Chini hutaki kuona kabisaaa na ni ya mwaka 1945 huko [emoji3][emoji3]

[emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20220419-123030.jpg


Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
yule jenerali mpya aliyewahi kupigana Syria kaja na moto kwelikweli yeye haangalia hathari za historian mbaya kubaki huko Ukraine anachotaka ni kumaliza hiyo operation haraka hata kabla ya may 9 ili mbabe Putin awe na cha kuzungumza
 
Russia wanachezea kichapo cha mbwa mwizi. hii vita putin anatafuta pakutokea apahoni yupo njia panda.

akigeuka kulia kichapo kushoto kichapo Russia inaenda kupata aibu ya karine.

na hii vita ikimshinda soko Lake la uzaji wa siraha lazima liyumbe na icho ndio kinampa mawazo yule super power wa mchongo



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Alisikika Mlevi mmoja Akisema
 
Back
Top Bottom