Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia will not initiate an international investigation into the events in Ukraine, including in Bucha, in the UN, as it doubts the impartiality of the investigation - RIA Novosti with reference to the Russian Foreign Ministry.

20220417_182244.png
 
❗️🇺🇸US Vice President Kamala Harris announced the decision to ban US anti-satellite weapons tests
 
Watu hawashangilii vita,bali mabeberu waliozoea kunyanyasa wengine Russia anavyowatesa. Nchi zaidi ya 30 kuisaidia nchi moja lakini bado wakula za uso hadi baadhi maghala yamebaki tupu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Beberu lazima lile kisu safari hii....
mimi naanda kuni za kuchomea nyama
 
Hana tofauti na yule wa ki tabloid cha hot news na nyota ya Venus.
Come on,unafanya utoto gani?Watu tunafuatilia mjadala humu na updates,hiki unachofanya unafaidika Nini?Grow up bhana!
 
Mkuu mwenyewe wa vikosi Ni yule mchekeshaji kibaraka wa mabeberu au Kuna mwingine mkuu[emoji3]
Haijalishi boss, wao kazi yao ni kutii amri sio kuwachagulia raia raisi wamtakaye.
 
Watu kama hawa hawana hoja ya maana hivyo wanaamua kuchafua uzi tu kwa vitaarifa vyao vya udaku.
Ujinga kama huu ndo ulinifukuza huku, kazi ku copy and paste ushuzi wowote mtandaoni. Hizi habari peleka telegram
 
Hata mm ananikera sana kwakweli mtu kama ahuna cha kuchangia bora ukawa msomaji tu.
 
Kwani humuoni DJ kutoka chama flani hivi makao yake makuu yako pale mtaa wa UFIPA huyo DJ anakomaa anasema zamu yake kushika dola ......na lile chama lenye rangi ya KIJANI sijui kama litakubali

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Dj haina noma hata yule raisi wa Madagascar nu dj na promoter maarufu, tatizo ni mchekeshaji wa kiume anaevaa uhusika wa kike Kama joti na wenzake
 
Russia wanachezea kichapo cha mbwa mwizi. hii vita putin anatafuta pakutokea apahoni yupo njia panda.

akigeuka kulia kichapo kushoto kichapo Russia inaenda kupata aibu ya karine.

na hii vita ikimshinda soko Lake la uzaji wa siraha lazima liyumbe na icho ndio kinampa mawazo yule super power wa mchongo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli Urusi anapigika sanaaaaa yaniiiiii.
 
Back
Top Bottom