Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila raia wa ukraine nao ni wangese, hivi kweli hapa kwetu joti anaweza kugombea uraisi???
Kwani humuoni DJ kutoka chama flani hivi makao yake makuu yako pale mtaa wa UFIPA huyo DJ anakomaa anasema zamu yake kushika dola ......na lile chama lenye rangi ya KIJANI sijui kama litakubali

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Brother bila kufanya double standard Russia pia ni aggressive nation. Angalia kwa mizani sawia Ukraine pia ana haki ya kujilinda kama taifa lenye heshima na uhuru wake. Stalin alichowafanya kama hawawezi kusahau vifo vya watu million nne kwa njaa sio mchezo. Kumbuka Russia alishawahi kuivamia Poland akishikiana na Germany. Russia with its military supremacy aliivamia afighanistan kilichotokea wote ni mashahidi. Tunapaswa kuwa neatral coz ili kujifunza geopolitics vizuri
Vp kule Cuba?US aliivamia Cuba kuondoa Regime ya Fidel Castro,Cuba na Russia wakaingia makubaliano Ili Russia aweke military base na silaha za nuclear Cuba Ili kuzuia uvamizi kama wa US usijejirudia Cuba!US kuona hivyo akasema haiwezekani,akasema Yuko tayari Kwa world war 3 ila sio kuruhusu Russia kuweka military base Cuba!
Baada ya hapo Russia akaona isiwe case,akaachana na Mpango Huo!
Je,Uhuru wa Cuba kujichagulia marafiki wa kushirikiana nao kijeshi ulikuwepo?
Nenda kasome "Cuba Missile Crisis"
 
hawa team ukraine siku 3 za mwanzo walitupiga propaganda za kibabe sana, ilifikia hatua nikiingia kwenye kurasa yangu ya twitter nakutana zaidi na retweet za ukraine kuwadhibiti russia pamoja na sanctions za kufa mtu, nikaamua kumu unfollow maria sarungi na wengineo waliojificha kwa pro nato. huyu maria ndiye alikuwa akinijazia taarifa za ukraine na retweet zake kutoka kwa mabepari. siku hizi nikiichungulia account yake huu mgogoro ameupotezea kwa kiwango kikubwa sana. russia wanapiga wao tu kama mwalimu wa madrassa.
Pro NATO wamebadili mwelekeo[emoji56][emoji56][emoji56]
 
Austria will be able to achieve independence from Russian gas only in a few years, said Chancellor Nehammer.

May be.

“We are 80% dependent on Russian gas. The situation is the same as with Germany: our industry and households need gas ... Maybe in a few years we will be independent of Russian gas,” he said in an interview with NBC.
 
Kuna jamaa bwana USWEETEST. anasemaga humu RUSSIA SIO ********??

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna tofauti Gani kati ya Warusi na Waukrain?

Kwa Nini tusiseme Urusi ni sehemu ya Ukraine?
Wacha utoto basi .....na kwanini tusiseme kuwa MAREKANI ni sehemu ya CUBA

....na kama urusi ni sehemu ya ukraine kwanini ukraine isiivaamie RUSSIA ili kuirudisha himaya yake ........

Au tanzania ni sehemu ya zanzibar kwanini zanzibar wasituvamie ili kukomboa sehemu yao

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Vp kule Cuba?US aliivamia Cuba kuondoa Regime ya Fidel Castro,Cuba na Russia wakaingia makubaliano Ili Russia aweke military base na silaha za nuclear Cuba Ili kuzuia uvamizi kama wa US usijejirudia Cuba!US kuona hivyo akasema haiwezekani,akasema Yuko tayari Kwa world war 3 ila sio kuruhusu Russia kuweka military base Cuba!
Baada ya hapo Russia akaona isiwe case,akaachana na Mpango Huo!
Je,Uhuru wa Cuba kujichagulia marafiki wa kushirikiana nao kijeshi ulikuwepo?
Nenda kasome "Cuba Missile Crisis"
Akikujibu nistue mkuu na mimi nimpe za utosi

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom