Alternative ni ipi hiyo!?
Coal wanamtegemea Russia
Uranium wanamtegemea Russia
Mafuta wanamtegemea Russia
Hata magogo/Kuni wanamtegemea Russia
Hiyo alternative wanayoisema wataitafuta ni ipi na itatoka wapi!?
- Mafuta yapo Venezuela na Iran ila Venezuela na Iran ziko na Putin watawasaidiaje!? Saudia ndio huyo ashaanza kuwa unreliable. Ktk kipindi hiki cha uhitaji Opec wanakataa kupump mafuta zaidi ili kujaza pengo la Russia.
- Gesi ipo qatar ila haiwezi kufika ulaya bila kupitia Syria ambayo ipo chini ya Assad ambaye yupo madarakani mpk sasa kwa hisani ya Putin. Gesi haiwezi kupita kwake. Na ikienda kwa njia ya meli ni lzm itakuwa ghali
- Coal na uranium usipozitoa russia si bei itapanda!?
Hivyo ni vitisho tu. Hawana ujanja
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app