President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
"Gazprom" supplies gas for transit through Ukraine on a regular basis, in accordance with the applications of consumers in the amount of 57.2 million cubic meters, the company said
Hayo machuma yaliyoshindwa kuilinda meli yao wenyewe ndio itaweza kuilinda India?Wajanja wanaingiza vitu vya maana...
India imesema imepokea equipment za kufanyia mafunzo ya S-400...
India imesema pamoja na vita inayoendelea Ukraine, Russia imeitumia India silaha za ulinzi wa anga ikiwemo injini za ndege vita.
Ripoti ya India pia imesema kuwa vifaa vya mwisho vya mfumo wa ulinzi wa S-400 tayafi vimeshapokewa na India toka Russia
Wataalamu wa ubora wa silaha, hawataki vyuma chakavu vya Marekani (Patriot PAC-3, THAAD n.k)...hivyo vyuma chakavu aendelee kumuuzia Saudi Arabia
View attachment 2189281View attachment 2189283
Inauma lakini hatuna jinsiKaona na yeye aanze pozi za Zelen,,yeye aendelee kuvaa suti zake.
Chombo kinatitiaatagombana na kila mtu mwaka huu
Kila aina ya mitambo iliwekwa humo ikiwemo S300PHii meli haikuwa na mtambo wa kuzuia makombora ya anga?
makombora gan? meli yetu imepata tu hitilafu baada ya moto kuzuka ila umeshadhibitiwa na sasa tunaivuta kuelekea portHii meli haikuwa na mtambo wa kuzuia makombora ya anga?
dah chombo imeona isiwe tabu! lazima watu wawekwe kifungo cha nyumban huko, utaska tuChombo kinatitiaView attachment 2189357