To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,518
- 38,854
Coz hayanipi shida mkuuSo utabaki na mavuzi hivyo hivyo mkuu.
Coz hayanipi shida mkuuSo utabaki na mavuzi hivyo hivyo mkuu.
Idiot kabisa,ndio maana nimekwambia muwe mnaangalia kwanza vyanzo vya habari zenu na kuzihakiki kabla ya kukurupuka kuleta humu jamvin,idiots!Upunguani unao wewe. Russian warship go f*ck yourself hatimaye ilikuwa ndoto ya kweli. Kama meli imeungua yenyewe Russia wamefanya retaliation ya nini?
Wapi uliwahi sikia meli imepata ajari ya moto kisha wamiliki wa meli wameenda shambulia kiwanda cha kukarabati makombora ya kuzamisha meli? Mnajifanya hamna akili sio. Russia imeshambulia kiwanda cha kurekebisha hayo makombora ya Neptune mjini Kyiv kama retaliation. Makombora ndiyo yametuma dhoruba?View attachment 2189177
Hao Iran walikuwa vitani na Marekani? Radar hawawashi tu ovyo ovyo, radar zina muda wa kuwa activated zikiwa kwenye engagement. Japan iliposhambulia Pearl harbor iliharibu silaha za Marekani kwa kuwa hawakuwa kwenye state of war kwahiyo haikutarajiwa mashambulizi, baada ya hapo mpaka vita inaisha Japan haikuwahi peleka pua Marekani tena.Kwa hiyo ant ship za magaidi huwa hazionekani kwenye rada sio?
Mkuu utafananishaje drone na sataraiti kwani satalaiti na yenyewe ina tambuliwa na rada au ina dunguliwa?
Kitendo cha rada kushindwa kuona drone mpaka inakaa zaidi ya dakika 5 juu ya meli zako hizo rada ndio zitaweza kuona kombora linalo tembea kasi?
Mkuu kubali ukatae haya mameli yanatisha tu kwa kuyaangalia lakini uwezo wa kuyalinda huwa ni mdogo mno.
Hata Urusi tangu kumalizika kwa vita ya dunia haijawahi kupoteza meli vitani tofauti na kwenye hii vita na hii meli iliyo zamishwa imesha shiriki vita nyingi na ilikuwa inapewa sifa kama unavyo zipa sifa meli za kimarekani na haikuzamishwa imekuja kuzamiswa juzi, kwa maana hiyo ilikuwa haijakutana na nchi yenye makombora mazuri tu .
Kwa hiyo hata kwa Marekani ni bado tu haijakutana na nchi nyenye uwezo wa kuzishambulia hizo meli utashangaa.
Hata mifumo Ulinzi ya kiMarekani mlikuwaga mnaipamba hivi hivi lakini imekuja kujulikakana ya kwamba ni takataka kama takataka nyingine baada ya waasi wa kiuthi kuiumbua ya kwamba ni machujio.
Meli imezama ni hasara kwa Urusi, haya mambo mengine kuwa ilikuwaje hayana maana tena.Mpaka sasa kuna majibu mawili kwamba Neptune ndio ilitumika kupiga meli, na wamepiga mawili, haya tuelezeeni Neptune zinafanya vipi kazi?
Je zilishawahi kutumika kwenye OP yeyote?
Hivi hizi akili mmerithi wapi? Yaani mtu akivamie nyumbani kwako akugongee mkeo na atake kukua wewe mwenyewe halafu jirani yako anakupa msaada na mbinu ya kukabiliana nae then ugome ujisalimishe,hizi ni akili au matope?Je hii ni spirit ya Russian au Putin. Umejaribu kutafakari Levrov kawa madarakani kwa muda gani? Na Medved ambaye ni just 56. Unadhani Soviet ilivyodondoka walikubali.?. Ukraine wangekuwa smart wangekubali yaishe mapema wajipange shida ni hao wanazi waliona wapambane tu.
Hii Urusi iliyobaki scrapers? Urusi tishio ilishasambaratishwa na Marekani, nayo ni USSRIla Tukubali tukakatae Warusi Wana akili flani tofauti sana nchi hii inaandamwa for Years ili isambaratishwe Infact Marekani inawaza sana kuhusu Urusi kuliko Hata China...IMEKUA shida sana kuisambaratisha Urusi...
Urusi yenyewe ilichanguwa kushinda WW2 kwa Lend Lease program ambayo ilipitishwa na Marekani. Silaha, ammunition na spares ilipewa nyingine kwa msaada wa Marekani.
Bado Russia alijua Ukraine watapewa silaha na alisema atashambulia watakaompa silaha. Ashambulie Poland na UK wafanye kutumia Article 5 ya NATO
Russia haiwezi tumia nuclear kwa nchi iliyojifia kama Ukraine.Sasa hivi wanafikira kutumia tactical nuclear weapons. Maana washamaliza convectional weapons zote kwenye maghala ikiwemo supersonic missile lakini ndio wanazidi kuumizwa.View attachment 2189157
Mimi binafsi sina upande ila masuala ya uvamizi wa nchi yoyote lazima ukemewe na kupingwa vikali. Leo saud arabia inashambulia yemen hakuna anae kemea. Zaid ya watu laki 3 washafariki. Uvamizi wa marekani ulisababisha vifo vya watu zaidi ya milion 1 nusu wakiwa watoto ulimwengu umekaa kimya. Marekani uingereza na washirika wao wana mengi ya kujibu.Umeweka hapa hoja nzito Sana...Lengo la kupeana habari limepotea....ni mwendo wa kubishana na matusi kwa kwenda mbele...Ndiyo hulka yetu Watanzania na hasa wale wa kizazi kipya...ujuaji mwingi na ujanja lmwingi akini substance sifuri...
Sawa mkuu,all the best.Coz hayanipi shida mkuu
Hii picha aione Frank WANJIRU alisema meli za Urusi haziko guided ila za USA ziko guided,nikwamwambia vita Ina mambo mengi sana,USS Cole ilipigwa Yemen na magaidi ila bahati walipambana kuzima moto.
Bado unaconfirm nilichokisema,mpaka Sasa hakuna mwenye uhakika upande upi unasema ukweli!Atleast Russia ana back up ya video ya incident!
AiseeRussia haiwezi tumia nuclear kwa nchi iliyojifia kama Ukraine.
Ukraine imejifia, Russia wana calculation za hatari.
Wamewachezea akili wanaenda Kyiv, jeshi la Ukraine lote likapeleka nguvu zote huko, halafu jamaa wakarudi East kumalizana na majimbo yanayotaka kujitenga, Ukraine wamejiona ni wajinga kwa chenga waliyopigwa.
Russia wapo smart mno😀
Halafu Russia wakitaka kuipiga Kyiv ni usiku mmoja, Russia hajataka bado kutawala anga la Ukraine.
Russia ipo inafanya ku dump silaha zilizopitwa na wakati hapo Ukraine.
Mimi ninachojiuliza, mbona taarifa maalumu haipo?
1-Imepigwa muda gani?
2-Imepigwa na kombora aina ipi?
3-Imepigwa na kombora ngapi?
4-Imepigwa na kombora kutoka ardhini, baharini au angani?
5-Baada ya kupigwa ilichukua muda gani mpaka meli kuzama?
6-Je hilo kombora lililotumika lilisshawahi kutumika wapi?
8-Hio meli ilipigwa ubavuni, chini au juu.
Hayo maelezo kama hakuna, hizo ni ngonjera tu.
Wanajisahaulisha kuwa tushadonoa meli pendwaPutin analo....
[emoji779]️A new front could be opened very soon: the United States is ready to respond to Ukraine's request for anti-ship missiles and other coastal defense weapons.
The requested weapons could be added to the previously announced $800 million aid package, the New York Times reported.
View attachment 2189113
Weka wewe sisi ya Ukraine hayatuhusu, sisi twaangazia ya Urusi kupigwaSamahani mkongwe, kama hautojali. Unaweza kuweka hapa na hasara alizozipata Ukraine mpaka sasa kutokana na hii operesheni ya Mrusi?
Silaha zishaendaSupapawa wa mchongo anaanza kulialiaView attachment 2189153
Putin lazima atatumia Nukes kwenye hii VITAUrusi yenyewe ilichangiwa kushinda WW2 kwa Lend Lease program ambayo ilipitishwa na Marekani. Silaha, ammunition na spares ilipewa nyingine kwa msaada wa Marekani.
Bado Russia alijua Ukraine watapewa silaha na alisema atashambulia watakaompa silaha. Ashambulie Poland na UK wafanye kutumia Article 5 ya NATO