Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Walikua wanasema inaelea baada lakini Ukraine walisisitiza kwamba Meli imezama baadae wakaamua tu kukubali kwamba Meli imezama.Afloat maana ake ni kuzama si ndio?? [emoji1787]
Walikua wanasema inaelea baada lakini Ukraine walisisitiza kwamba Meli imezama baadae wakaamua tu kukubali kwamba Meli imezama.Afloat maana ake ni kuzama si ndio?? [emoji1787]
Mkuu hizo ni MANPADS zinabebwa tu begani na wanajeshi.Kwahiyo hiyo air defense system ya UKRAINE haiwezi kushambuliwa na makombora kutoka kwenye meli au ardhini?
Unaonaje ukileta ushahidi kama nilioleta kuliko kubisha kwa maneno matupu.
ukraine washashift toka kwe heavy systems ambazo hazihamshiki na zinalengwa kirahisi, sasa hivi wanatumia light mobile systems ambazo ni ndogo watu wachache wanawza kubeba na kuchange location mara kwa mara na ngumu kuztrack kwakuwa ni nyingi na zinahamahama mda woteKwahiyo hiyo air defense system ya UKRAINE haiwezi kushambuliwa na makombora kutoka kwenye meli au ardhini?
Shukran MKUUtakwimu za mwaka huu zitatoka mwakani ila tu kwa sasa ni kwamba Petroleum Minister Hardeep Singh Puri on Monday said India buying more volumes of crude oil from Russia is still less than 1% of the country's total oil imports. He expects crude oil volumes from the United States to rise significantl
India says oil import from Russia less than 1% of total, sees rise from US huu ndio uhalisia mkuu wangu
Hapana sio kwamba nabishana, Taarifa iliyotolewa na wao niliyoisoma inasema "Moskva flagship Cruiser sinks while Being Towed to Port ..."Russia’s defence ministry has said the Moskva missile cruiser, its flagship in the Black Sea, has sunk, dealing a significant blow to Moscow’s offensive in southern Ukraine.
Ukrainian officials said on Thursday that the Russian vessel had been hit by one of their anti-ship missiles, causing an explosion on board.
The Pentagon assessed that the ship had “experienced significant damage” and was battling a fire, a senior US defence official said. “We can’t say definitively what caused this explosion and the subsequent fire,” the person added. “It could have been the result of a missile strike and it could have been something else. We just don’t know.”
Mkuu unabishana mpaka na wizara ya Ulinzi ya Urusi ambayo wamethitisha kwamba hiyo Meli hatunayo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaonaje ukileta ushahidi kama nilioleta kuliko kubisha kwa maneno matupu.
Mpe ushahidi kuwa haijazama ili msiendeleze mabishano.Unaonaje ukileta ushahidi kama nilioleta kuliko kubisha kwa maneno matupu.
Nafikiri kwa vile wengi wetu ni vijana na wengi wetu ndiyo tunashuhudia kwa kuona military operation ama vita vinakuwaje kwa nukta ya kuwa zao la manufaa ya mitandao ya kijamii inatusaidia kuona kile ambacho mara nyingi kilikuwa cha kufichwa.
Historia ama movie ama kwa kile ambacho tunakishuhudia upande mmoja unapofanya mashambulizi dhidi ya upande mwengine ama kile tunachoonyeshwa baada ya mashambulizi kimetuathiri na tumekuwa na matawi mengi ya fikra kwa kutoa mawazo yetu kwa kuona hapa ni alama A hapa ni F.
Tukubali vita ni sanaa kama sanaa nyengine. Kama sanaa inavyokuwa na ubunifu zaidi vita nazo zina mbinu. Sanaa ya maigizo ipo wazi sanaa ya vita kwa asilimia kubwa ni yenye kufichwa. Muda mwengine nyote mnaweza msielewe, muda mwengine wahusika wenyewe ndiyo wanajua wanachokifanya ni kipi!
Tunaweza tukawa tunajua mwisho wa hiki kinachoendelea baina ya Russia na Ukraine lakini isiwezekane kujua ni njia ipi itakayotumiwa. Pentagon imesema kinachoendelea Ukraine wenyewe hawajui Russia anatumia mbinu gani. Waliyobahatika kufafanua walielezea hivi unachokizungumzia: Russia ilionyesha msafara ule kuelekea makao makuu ya nchi ya Ukraine. Lakini ifahamike makao makuu ya nchi yanalindwa kwa gharama ya namna yoyote.
Kitendo kile sehemu kubwa ya jeshi la Ukraine likatumika kuulinda Kieve. Russia alichokifanya ni kuuzunguka ule mji. Matokeo yake miji mingine ilibakiwa na idadi kiasi cha wanajeshi. Ukumbuke pia lengo ni demilitarize na lengo jengine ni kuondoa Nazi. Demilitarize ikafanyika lakini kukabakiwa na vikundi vidogo vidogo vya jeshi la Ukraine ndivyo hivyo vilivyoleta upinzani wa hapa na pale. Kwa kuwa idadi kubwa ya jeshi la Ukraine lilizungukwa Kieve hawa wanajeshi wa mitaani kupata msaada wa moja kwa moja ikawa ni ngumu. Kuondoa Nazi inahitajika upite mtaa kwa mtaa kwani wahusika hawa walijifícha kwenye makazi ya raia. Hapa utarajie operation itachukua muda mrefu ikiwa utahitaji kupunguza vifo vya raia. Ikiwa haujali unalipua tu!
Ila hakuna mpaka sasa anayejua Russia anatumia mbinu gani! Itakujakufahamika zaidi mchezo utakapo kwisha. Russia siwageni kwenye haya mambo ya kivita. Tujijengee utamaduni wa kuona kwa pande mbili: Ikiwa kitu tukikiangalia kina sintofahamu basi ujue aidha kina makosa mengi au kina mambo ambayoufahamu wetu haujafikia kiwango cha kukielewa kwa wakati huo.
Pamoja Mkuu nimekupata.Hapana sio kwamba nabishana, Taarifa iliyotolewa na wao niliyoisoma inasema "Moskva flagship Cruiser sinks while Being Towed to Port ..."
Ilizama akati inavutwa sio kwamba imzama baada ya kupigwa.
Mfano itokee ajali gari liwake, lije tow lianze kuivuta, njiani wakati linavutwa lidondoke... Hii kauli ya kusema kua Gari limewaka lkapinduka kwako ni sahihi?
Eiwaa sasa unaona namna kunavokuwa na Twisting of information? Taarifa inakuwa ni moja ila inatolewa kimapokeo ya utofauti kulingana na walengwa.
Nmetoka kucheck Habari now Urusi imekana kilichoiripua sio Ukraine ni vilipuzi vilivyokuwa ndani yake na wala haijazama kama wanavyodai source tbc adhuhuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pro nato mna matatizo kwa hiyo umefurahia hiyo meli moja kuzama...ila MELI imeacha LEGACY
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
View attachment 2188224.
.....yaani jana na leo kulikuwa na kelele kama zote kwa sababu ya hako kameli kamoja ....
Hiyo Meli imeshazama kitamboNmetoka kucheck Habari now Urusi imekana kilichoiripua sio Ukraine ni vilipuzi vilivyokuwa ndani yake na wala haijazama kama wanavyodai source tbc adhuhuri
Umeweka hapa hoja nzito Sana...Lengo la kupeana habari limepotea....ni mwendo wa kubishana na matusi kwa kwenda mbele...Ndiyo hulka yetu Watanzania na hasa wale wa kizazi kipya...ujuaji mwingi na ujanja lmwingi akini substance sifuri...Huu uZi unAhAribiwa na watu wanaopenda mabishano sio kupashana hAbari. Hii ndiyo tabia ya watanzania wa hiki kizazi. Ukifuatilia hata mleta uzi kApotea alipoona ujinga.
Amid poor condition 😀😀😀🏃🏃🏃Russian flagship sinks – military
The Russian missile cruiser Moskva, the flagship of the Black Sea Fleet, sank while being towed into port amid poor sea conditions, the Defense Ministry, in Moscow, said on Thursday. According to the Russian military,
Nimekuelewa MKUUNa kufa huo mfumo ushakufa hata tukisema Vita ikome leo. Haitakuwa kama awali.
Tukiweka mahaba kando.
All the financial aid zinazotolewa kwa wa-Ukraine kutoka west is in the form of loans. Kiev is never going to be able to pay those back. So post war the west will likely seek to asset strip Ukraine. Na tatizo kuu being most of the assets reside in the South and East of the country. Na ni kwenye hizi sehem ndipo Russia alipokaa.
Ukiangalia kwa umakini, unaona kama sio West tu wanaorefusha hii vita iwe ndefu bali na Russia wenyewe. Kwasabab uwezo wa kuharibu njia za kuingizia hizo Weapons ndani ya Ukraine wanao kwanini wanaendelea kuuacha wazi?
Utaona ni nchi za west zinazidi kuingizwa mkenge huku nao wakihisi wanazidi kumdhoofisha Russia. West wanaingizwa mkenge gharama za ku-sponsor vita kiasi unasikia uko nje kua kuna nchi zinadai kufikia ukomo wa kupelekka silaha zao Ukraine.
Wakati hali ndani ya Russia wakiendelea kujiimarisha taratib uko Europe na US hali inazidi kua mbaya kwa Raia wa kawaida...nakumbuka ka sikosei 2017 wakati wa Trump kuna taarifa niliisoma kutoka kwao ikisema kua more than 45Millions people wanaishi kwa Food Stamp. Hii ni takriban 14% of US Citizens.
US na Western allies naweza kusema wameover react kiassi cha kuonesha makucha yao. Kitendo cha ku-weaponize currencies zao kunaondoa Trust kutoka kwenye mataifa mengine yaliyohifadh pesa assets zao kuanza kuz'exchange kiasi ambacho itapelekea Hyper Inflation kwenye nchi hizo. Ukizangatia kila taarifa inayokua hivi sasa tunaambiwa Inflations zilizopo ni kubwa kuwah kutokea ndani ya miaka mingi nyuma.
Wakati wao wana'over react, uku Russia anajifanya mjinga, anapigwa sanctions na hayo hayo mataifa ila ha-fight back in rush mfano labda kwa kuzima Gas n.k, kwa wenye akili ndogo wataona ni udhaifu ila wenye macho mapana wanaona namna gan Russia anavojarib kuwin Trust kutoka kwa Rafiki zake, kua no matter how we can argue politically siwezi kufight back kuuharib uchumi wako makusudi.
Hii inamwonesha na kumpamba as reliable partner, that's why tunaeza ona rafiki zake wakubwa wameendelea kushikana nae, Irani nae aliyekuw akifatwa nyuma na US huyo hapo na Russia, Gulf regions hao vibaraka wa US nao wamegomea kushiriki kumlaani na kumwekea vikwazo Russia
Dah issue za kuongea ni nyingi sema mahaba yametamalaki kwenye huu uzi.. So twendeleeni na mapambio ya kubishana kila mtu na upande wake [emoji847][emoji847][emoji847]
Acha uongo wa mchana ndugu.Meli za Marekani zipo well equipped and guided, sio rahisi kuzizamisha kama hizo za Russia.
Sawa imezama,sio ndio vita ilivyo?Pro Russia hawataki kukubali Meli kubwa ya Jeshi la Russia kwenye Bahari Nyeusi imezama,
Ni technolojia gani Urusi ananunua kutoka India!? Tena yenye mkonk wa marekaniMarekani haiwezi kuiwekea India vikwazo kwa kununua gesi au mafuta Urusi.
India itawekewa vikwazo endapo kampuni zake za teknolojia zitaiuzia Russai teknolojia au kutoa huduma ya teknolojia yenye mkono wa kampuni za US au EU.
Vikwazo vimewekwa kwenye teknolojia na mabenki.